Update ya Kujitongozesha Si Rahisi. Nimemnawa Osokoni

Update ya Kujitongozesha Si Rahisi. Nimemnawa Osokoni

Kama muvi la kihind Sterling anakufa mapema anabak mbwa ndio Sterling..... lara umeniangusha swahiba
 
Kwani Lara alisema amempenda? Yeye si alitaka mbuyu coz hakutegemea ungekuwa na asali.....
So sidhani kama kaumia moyo kwa kumpenda but coz shostito kampiga teki so kazidiwa ujambazi.....
But Lara huyo mwenzio anakudanganya wala sio jambazi wala nini huyo atakuwa ni MPULiZAJI kwa BABU sema anajifanya komando
 
Kubwa la maadui umekomeshwaje! Ndo ukome sasa, banana na wale uliowabatiza "free P*" yaani haina kujichosha ukijitega tu tayariiii lol! utakoma kuringa....
 
Aisee, kumbwa la maadui chaliiii, naona movie hii haiishi mpaka sterling naye afe.........
 
Daah pole ila hawa watu sijui niwaite slow motion unaeza muona kakupotezea kumbe ashakukubali ila ni madomo zege hata uwazoee vipi wao ni wa kimya tu
Ulitakiwa upige moyo konde uvumilie
Sababu mie ishanikuta situation hiyo yako ilimchukua kama miezi8 hivi kujakusema unajuwa G wewe ndio mtu pekee uliyenielewa nataka nini nikamshangaa

HAHAHHAAHAAAAAA! 8? Mi sina miezi 8, hata mwezi sina, na ikitokea kaja nitamtoa mdimaaaa usisikie.
 
Yaani nimekushangaa Sana. How dare you hit a miss? Siamini Kama mwanamke akimtaka mtu anamkosa. What happened to pretending you have no interest and let him do all the hunting and think that he wanted you from the word go?

Wonders will never cease.

Hahahahaaaa! Acha tu ndugu yangu. Nimeuvagaa mwamba wa gagilonga
 
HAHAHHAAHAAAAAA! 8? Mi sina miezi 8, hata mwezi sina, na ikitokea kaja nitamtoa mdimaaaa usisikie.
Hahahaha basi ushafeli hao watu wakuwa wanajisikilizia mnooo
Halafu swaga zao za kizamani wanapenda uvae kiheshima flani hivi umsifie vitu vyake utaona anaingia kingi kidogokidogo
 
Hahahaaaa! Hi style ya kujitia wagumu sio nzuri wala nini
Sijifanyishi best; hata wewe ukitaka nijaribu uone nitakavyokulia buyu! Tena ukitaka ku-verify kwamba namaanisha, we timba tu hadi ghetto uone!
 
Hadi utakwe na mwanamke lazima uwe na vigezo 300% anavyovitaka. Asante kwa 'dare' ila sina nafasi, nimetulizwa nikatulia tuliii. Na sioni mapenzi haya yakipoa anytime soon.
Acha habari zako bhana... hapa tunazungumzia kufanya research uone watu tulivyo ngangari... seeing is believing!
 
Jaman madomo zege tunatabu!!, tatizo letu fnshng!! Na tukipa tunazimaa!!
 
Imebidi nimgugo osokoni
 
Attachments

  • Screenshot_2016-06-18-17-15-52.png
    Screenshot_2016-06-18-17-15-52.png
    38.9 KB · Views: 50
Hadi utakwe na mwanamke lazima uwe na vigezo 300% anavyovitaka. Asante kwa 'dare' ila sina nafasi, nimetulizwa nikatulia tuliii. Na sioni mapenzi haya yakipoa anytime soon.

Shabashiiiii, he is the lucky one
 
Kwanza kabisa natanguliza samahani.
Kiukweli mtoa mada nimeshindwa kukutambua ni jinsia gani achilia mbali avatar yako yaani kila nikiisoma mind yako akili yangu inakataa kuamini kuwa wewe ni KE samahani lakini.Na nikilinganisha na mind kama ya Sonia G na wengine ambao bila ukakasi najua tu moja kwa moja kuwa huyu ni KE.Na ikiwa ni KE basi nitakuwa nimepata somo lingine maana akili za wanawake nazijua kiasi chake.Hebu nithibitishie.SAMAHANI LAKINI.
 
Mburaaaaaaa. Ote Mae. Ngastukaaaa
cha wapi hicho?
 
Yaani nimekushangaa Sana. How dare you hit a miss? Siamini Kama mwanamke akimtaka mtu anamkosa. What happened to pretending you have no interest and let him do all the hunting and think that he wanted you from the word go?

Wonders will never cease.

Mmmh sema hujakutana na wa hivyo nitakuelewa
 
Back
Top Bottom