TREND YA AFRICAN POLITICS. Historia Itajirudia Tanzania?

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,199
17,991

Habari Wana JF….

Kwa woote ambao ni wadau wa Siasa from whatever side wapo…. Ni wazi na dhahiri kua the Political party na Uongozi wa sasa wa CCM’s days are numbered… it may not be very soon; But soon enough. Kila Kiongozi wa vyama mbali mbali (CCM na vingine vyoote), Wadau wa Siasa na Wananchi wanatambua kua Uongozi wa juu hadi wasaidizi wa ngazi za juu na chini wa chama tawala wanagubikwa na in most cases kuhusishwa moja kwa moja na hizo kashfa za Ufisadi… Kashfa ambazo in one way or another zaonekana wazi na evident kua zina chembe na ingredients za ukweli ndani yake; ikiwa Manifasted na mlipuko ya tuhuma na kashfa nzito kila kukicha!! Mpaka sasa ufisadi ni wimbo wa taifa letu hili changa, maskini na lililochakachuliwa….

Maelezo ya hapo juu hakuna jipya hapo…. Ila kubwa lipo katika trend ya hizi Siasa zetu za nchi zetu hizi za kimasikini (hasa Sub-saharan nations) na utekelezaji wake katika utendaji. Nime observe jinsi nchi nyingi hasa majirani wetu ambavo hua na Viongozi mafisadi ambao eventually huweza watoa either by force or democracy na the way hu-handle the so called Mafisadi. Huo Uongozi mpya wa a new president na Chama huja na nguvu za soda za kuwashtaki Ex-viongozi alafu hatimae hayo mashtaka huishia hewani bila sababu zozote za msingi wala Maelekezo ya kutosheleza…. Hizi inchi ni fundisho na somo tosha saana kwa Siasa zetu hapa nchini hasa in the lines za the way Viongozi wenye tuhuma nzito hua handled.

Mifano Halisi:-A]. Via Lethal Force.

In Democratic Republic of Congo (then Zaire) - Tunaona in 1997 kua the late Mobutu Sese Seko anaikimbia nchi yake alotawala for more than three decades baada kuzidiwa nguvu na Upinzani ulokua chini ya the late Kabila Sr. hivo kupinduliwa na kutawaliwa na the new reign. It is/was common knowledge kua Mobutu ni moja wa Viongozi duniani ambao walilijimbikizia mali all over the world mpaka it is believed mpaka leo kua zingine zilipotea simply because hamna ambae angeweza account Mali zooote. Mobutu as much as alitolewa Uraisi, mali hizo hazikuweza rudishwa to date. Na as much as aliweza toroka na kuishi Morroco ambako alifia, IMO Uongozi mpya haukuweka much effort kumkamata ama ku revive the wealth Mobutu ali accumulate in power ambayo ilikua ni mali na haki ya wananchi…

B]. By Democracy (IMO ya kudimba dimba)

Zambia - tunaona the way a well rooted party ya UNIP under the leadership ya Kenneth Kaunda ilishindwa na kupinduliwa in 1991 na Chama changa na pinzani cha MMD under Uraisi wa the Late Chiluba. Chiluba dragged to court Kaunda under the allegations za Ufisadi na case baada ya mda mrefu ikaishia hewani… Ironically enough Chiluba alipomaliza Uongozi wake akawa na kashfa nzito zaidi ya zile za Kaunda na hivo nae kubulutwa hadi kortini kwa tuhuma hizo hizo za ufisadi na the late Mwanawassa… However kesi yake nayo iliishia hivo hivo hewani. Mpaka hapa ambapo sasa wamempata Raisi mpya Mheshimiwa Sata (ingawa naamini kua Banda ambae ndo mstaafu - katika ufisadi nafikiri kidogo kapona hizo kashfa). IMO Zambia ni moja ya nchi ambayo kubadilika kwake kwa Uongozi wa Chama tawala na uongozi haujaonesha mabadiliko yoyote ya kuonesha kua Chama kipya kimekuja na kuwa gusa wanachi moja kwa moja, yaani MMD walikua hawana jipya zaidi ya UNIP, labda sasa tu-observe hawa PF..

Kenya - tunaona jinsi another well rooted Chama – KANU chini ya Moi kinavo shindwa na kupinduliwa kwa kishindo na Chama kipya na kichanga cha PNU under Kibaki (baada ya kuungana vyama vyote – Mfano ambao vyama pinzani wa Tanzania inabidi waige walau kuweza kwa uhakikika kabisa kuwang’oa CCM uchaguzi ujao); Wakenya wameongea wee kuhusu Ufisadi na allegations mbali mbali wa Moi na wasaidizi wake kama akins Nicholas Biwott, India Kald, Kamlesh Pattin na kama sikosei hata George Saittoti yupo katika hio list thou the list continues… But nothing has been done… Or whatever efforts the results in vain… na hapo nahisi imetoka! IMO walau Kenya ni nchi moja wapo ambayo ina mfano mzuri wa change ya Chama tawala na Uongozi ambavo imekua beneficial katika sectors mbali mbali (ingawa bado hali ni mbaya but afadhali) na pia kuongeza power of vote kwa mwanachi wa kawaida katika decision making related to their Nation na mambo husika e.g swala la Kenyatta in relation na mahakama ya ICC.

Areas of Concetration and Interest…
  • Chama pinzani kinapofanikiwa kupindua chama tawala… Lets say CDM ifanikiwe kuwapindua CCM; Naamini kua moja ya malengo when in Presidential office ni kuwawajibisha Viongozi woote walofisadi/wanafisadi in one way or another. Je inatosha wao Viongozi walofisadi/wanafisadi kutolewa tu Uongozi bila adhabu (tena productive adhabu) au kuna umuhimu wa kwenda beyond??

  • Ikumbukwe kua “usongo” na “hasira” za vyama pinzani na wanachi dhidi ya Viongozi wa sasa (i.e. CCM) na wale ambao ni wastaafu na wanausishwa na UFISADI kama vile Mkapa, Rostam, Lowassa na zaga zaga nyingine zoote za pembeni na chini ni sawa kabisa na zile ambazo:-
- The late Kabila Snr alikua nazo dhidi ya the late Mobutu & Co.
- PNU ilikua nazo dhidi KANU via Moi & Co.

- MMD walikua nazo dhidi ya UNIP via Kaunda & Co. and then later on Chiluba.

Bahati MBAYA or NZURI depending on one’s side of interest hakuna la maana ilifanywa zaidi tu ya kutolewa Uongozi ama kupelekwa kortini kwa nguvu za soda tena ilokua diluted. Hypothetically thinking… Wapinzani (hasa CDM) ni jinsi gani wamejipanga kupambana na MAFISADI baada ya kuvuliwa Uongozi – Kwamba walau hayo mabilioni in Cash and Assets zirejeshwe kwa wananchi?? Ili walau kuto fanya Mistakes ambazo hufanywa mara nyingi na nchi zingine kama tulivo observe baadhi hapo juu??

  • Ikumbukwe pia kua Ufisadi wa Uongozi kama vile Raisi in most cases hayaishii tu kwake bali hutembea hadi kwa familia… Hio yategemea pia na First lady na watoto wa raisi nafasi na role yao pia katika huo Ufisadi na jinsi gani wahusika waweza abuse power just because ya ukaribu na raisi (i.e. Husband or father ) kama ilivopia rumored saana kuhusu baadhi ya wake za Maraisi wastaafu hapa nchini kwetu….
Tukiangalia inchi nyingine namely Egypt; Mfano mzuri ni Bi Suzanne Mubarak ambae baada ya yeye na familia yake yoote kua chini ya ulinzi mkali na interrogations aliweza rudisha millions in dollars ya Mali in Cash and Assets…. Ambazo alipata as a result of the abuse of power - kua she is the First lady (kwa Hosni Mubarak), hivo kuchukulia kama inchi ilikua yao na all its mali for their taking…. IMO Eygpt is one of the best examples ya the way Ufisadi ulikua/umekua handled… Pesa kwanza irudishwe kwa wanachi mashtaka badae…. Woote toka Raisi, mke the sons pamoja na kundi loote la uongozi na wasaidizi wamewajibishwa na pesa kwa kiasi kikubwa kurudishwa. Really Impressive!! Na wafaa kuigwa…

  • Narudi kwenye heading ya hii topic (thou at this stage still Hypothetical) Tokana na Trend ya Siasa zetu za Africa… The way upepo unaenda, na the way Viongozi pinzani muonekano wao; ikitokea wakafanikiwa kuwavua CCM Utawala (which is just a matter of time) Is history going to repeat itself in Tanzania???
In relation to the Topic I quote Mwalimu;

“We spoke and acted as if, given the opportunity for self-government, we would quickly create utopias. Instead injustice, even tyranny, is rampant.”Pamoja Saana
AshaDii.
 
Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,836
1,164
What a pithy and substantive exegesis to reach JF. Limpidly indited and pellucidly composed making it apprehensible to both the pundits and gormless thinkers of this forum. I'm still ruminating and try out to decipher its content before I dignify it with any reply. Laconicaly speaking, it deserves to be thread of the month.
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
45,222
95,816
kujirudia tanzania ni lazima
kwanza kuna tatizo la mahakama

je ziko independent vya kutosha?
je huko mahakamani hakuna mafisadi?
je kuisafisha mahakama bila kuingilia uhuru wake inawezekana?
 
AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,199
17,991
What a pithy and substantive exegesis to reach JF. Limpidly indited and pellucidly composed making it apprehensible to both the pundits and gormless thinkers of this forum. I'm still ruminating and try out to decipher its content before I dignify it with any reply. Laconicaly speaking, it deserves to be thread of the month.

Ati Mkuu did you really have to upload me all these meaning complicated words to swallow to get what the heck you are talking about: I had to borrow an Harvard dictionary to get exactly what you were hitting at. And as much as i have accepted the acknowledgement i do look forward to the promise (thou salient) you have made of deciphering the content of the thread.
 
AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,199
17,991
kujirudia tanzania ni lazima
kwanza kuna tatizo la mahakama

je ziko independent vya kutosha?
je huko mahakamani hakuna mafisadi?
je kuisafisha mahakama bila kuingilia uhuru wake inawezekana?Boss are you saying kua yale ambayo yanawezesha Uongozi mpya kufanya kazi yao kikamilifu kama vile adhabu dhidi ya wahalifu iko nje ya uwezo wa Rais?? And if so kuna faida gani ya kua na a new President plus crew kama nchi itaendeshwa kama hao waloshindwa walivoendesha...
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,772
6,531
kwa hili ADI nakupa saluti kumbe na wewe si tu MMU hata si hasa wanaozifahamu umo
kudos ashadii..

na kikubwa nahitaji leo kesho hawa wapanga matokeo watoke madarakani halafu tuone upande wapi wa si hasa nao tuuone..
 
LINCOLINMTZA

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
1,640
513
What a pithy and substantive exegesis to reach JF. Limpidly indited and pellucidly composed making it apprehensible to both the pundits and gormless thinkers of this forum. I'm still ruminating and try out to decipher its content before I dignify it with any reply. Laconicaly speaking, it deserves to be thread of the month.
Jaribio
Chagua jibu liliosahihi
Pangilia neno lifuatalo ili lileta maana katika JF jukwaa la siasa,
atiwm
(a) twima
(b)mwati
(c)tamwi
(d)mwita
 
AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,199
17,991
kwa hili ADI nakupa saluti kumbe na wewe si tu MMU hata si hasa wanaozifahamu umo
kudos ashadii..

na kikubwa nahitaji leo kesho hawa wapanga matokeo watoke madarakani halafu tuone upande wapi wa si hasa nao tuuone..

Asante for the acknowledgement Ndetichia.... Mie Politics napenda saana. Kikubwa naelewa my views in most cases huwa watu hawanipati kabisa... Ni wachache ambao huweza nipata hivo kuepusha hizo contradictions i just keep it to my self and observe.
 
Azimio Jipya

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
3,363
1,124
Haha ADii what is all this.. Hizo nondo ulizoshusha ..Utafikiri ndio tunaanza wiki ?? Lol ... It need deep contemplation to come up with something meaningful here.. be assured am goin to full force do the contribution.. this is ma country ... But its true ..Go left or right ... we have the same products... but ...
 
Azimio Jipya

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
3,363
1,124
.... na kikubwa nahitaji leo kesho hawa wapanga matokeo watoke madarakani halafu tuone upande wapi wa si hasa nao tuuone..

Na huu ni mtizamo wa msingi ... ilikuweza kulinganisha lazima kuwa na pande mbili ... zianzofahamika na kueelweka...
 
Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
9,965
Bi Asha katika jukwaa tukufu la siasa zamani nilikuwa mchangiaji ,baadae niliamua kuacha nikawa napitia tu kama Yohanna mtembezi(john walker), ila kwa hili ullilopost naomba niseme hivi:
WANASIASA WOTE DUNIANI MAMA YAO MMOJA BABA YAO MMOJA.
Na la muhimu zaidi,and you can quote me on this:
ALL POLITICAL CAREERS ENDS UP IN FAILURE!
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
45,222
95,816
Boss are you saying kua yale ambayo yanawezesha Uongozi mpya kufanya kazi yao kikamilifu kama vile adhabu dhidi ya wahalifu iko nje ya uwezo wa Rais?? And if so kuna faida gani ya kua na a new President plus crew kama nchi itaendeshwa kama hao waloshindwa walivoendesha...

hatutaki mabadiliko ya rais tu
tunataka mabadiliko ya system yote
na hapo ndio tabu ilipo...
kusema kuwa tutahakikisha hatuingilii mahakama
na wakati huo huo kuheshimu mahakama iliyojaa rushwa...watawezaje ku walk that thin line??????/
 
Mlamoto

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
351
135

Habari Wana JF….

Kwa woote ambao ni wadau wa Siasa from whatever side wapo…. Ni wazi na dhahiri kua the Political party na Uongozi wa sasa wa CCM’s days are numbered… it may not be very soon; But soon enough. Kila Kiongozi wa vyama mbali mbali (CCM na vingine vyoote), Wadau wa Siasa na Wananchi wanatambua kua Uongozi wa juu hadi wasaidizi wa ngazi za juu na chini wa chama tawala wanagubikwa na in most cases kuhusishwa moja kwa moja na hizo kashfa za Ufisadi… Kashfa ambazo in one way or another zaonekana wazi na evident kua zina chembe na ingredients za ukweli ndani yake; ikiwa Manifasted na mlipuko ya tuhuma na kashfa nzito kila kukicha!! Mpaka sasa ufisadi ni wimbo wa taifa letu hili changa, maskini na lililochakachuliwa….

Maelezo ya hapo juu hakuna jipya hapo…. Ila kubwa lipo katika trend ya hizi Siasa zetu za nchi zetu hizi za kimasikini (hasa Sub-saharan nations) na utekelezaji wake katika utendaji. Nime observe jinsi nchi nyingi hasa majirani wetu ambavo hua na Viongozi mafisadi ambao eventually huweza watoa either by force or democracy na the way hu-handle the so called Mafisadi. Huo Uongozi mpya wa a new president na Chama huja na nguvu za soda za kuwashtaki Ex-viongozi alafu hatimae hayo mashtaka huishia hewani bila sababu zozote za msingi wala Maelekezo ya kutosheleza…. Hizi inchi ni fundisho na somo tosha saana kwa Siasa zetu hapa nchini hasa in the lines za the way Viongozi wenye tuhuma nzito hua handled.

Mifano Halisi:-A]. Via Lethal Force.

In Democratic Republic of Congo (then Zaire) - Tunaona in 1997 kua the late Mobutu Sese Seko anaikimbia nchi yake alotawala for more than three decades baada kuzidiwa nguvu na Upinzani ulokua chini ya the late Kabila Sr. hivo kupinduliwa na kutawaliwa na the new reign. It is/was common knowledge kua Mobutu ni moja wa Viongozi duniani ambao walilijimbikizia mali all over the world mpaka it is believed mpaka leo kua zingine zilipotea simply because hamna ambae angeweza account Mali zooote. Mobutu as much as alitolewa Uraisi, mali hizo hazikuweza rudishwa to date. Na as much as aliweza toroka na kuishi Morroco ambako alifia, IMO Uongozi mpya haukuweka much effort kumkamata ama ku revive the wealth Mobutu ali accumulate in power ambayo ilikua ni mali na haki ya wananchi…

B]. By Democracy (IMO ya kudimba dimba)

Zambia - tunaona the way a well rooted party ya UNIP under the leadership ya Kenneth Kaunda ilishindwa na kupinduliwa in 1991 na Chama changa na pinzani cha MMD under Uraisi wa the Late Chiluba. Chiluba dragged to court Kaunda under the allegations za Ufisadi na case baada ya mda mrefu ikaishia hewani… Ironically enough Chiluba alipomaliza Uongozi wake akawa na kashfa nzito zaidi ya zile za Kaunda na hivo nae kubulutwa hadi kortini kwa tuhuma hizo hizo za ufisadi na the late Mwanawassa… However kesi yake nayo iliishia hivo hivo hewani. Mpaka hapa ambapo sasa wamempata Raisi mpya Mheshimiwa Sata (ingawa naamini kua Banda ambae ndo mstaafu - katika ufisadi nafikiri kidogo kapona hizo kashfa). IMO Zambia ni moja ya nchi ambayo kubadilika kwake kwa Uongozi wa Chama tawala na uongozi haujaonesha mabadiliko yoyote ya kuonesha kua Chama kipya kimekuja na kuwa gusa wanachi moja kwa moja, yaani MMD walikua hawana jipya zaidi ya UNIP, labda sasa tu-observe hawa PF..

Kenya - tunaona jinsi another well rooted Chama – KANU chini ya Moi kinavo shindwa na kupinduliwa kwa kishindo na Chama kipya na kichanga cha PNU under Kibaki (baada ya kuungana vyama vyote – Mfano ambao vyama pinzani wa Tanzania inabidi waige walau kuweza kwa uhakikika kabisa kuwang’oa CCM uchaguzi ujao); Wakenya wameongea wee kuhusu Ufisadi na allegations mbali mbali wa Moi na wasaidizi wake kama akins Nicholas Biwott, India Kald, Kamlesh Pattin na kama sikosei hata George Saittoti yupo katika hio list thou the list continues… But nothing has been done… Or whatever efforts the results in vain… na hapo nahisi imetoka! IMO walau Kenya ni nchi moja wapo ambayo ina mfano mzuri wa change ya Chama tawala na Uongozi ambavo imekua beneficial katika sectors mbali mbali (ingawa bado hali ni mbaya but afadhali) na pia kuongeza power of vote kwa mwanachi wa kawaida katika decision making related to their Nation na mambo husika e.g swala la Kenyatta in relation na mahakama ya ICC.

Areas of Concetration and Interest…
  • Chama pinzani kinapofanikiwa kupindua chama tawala… Lets say CDM ifanikiwe kuwapindua CCM; Naamini kua moja ya malengo when in Presidential office ni kuwawajibisha Viongozi woote walofisadi/wanafisadi in one way or another. Je inatosha wao Viongozi walofisadi/wanafisadi kutolewa tu Uongozi bila adhabu (tena productive adhabu) au kuna umuhimu wa kwenda beyond??

  • Ikumbukwe kua “usongo” na “hasira” za vyama pinzani na wanachi dhidi ya Viongozi wa sasa (i.e. CCM) na wale ambao ni wastaafu na wanausishwa na UFISADI kama vile Mkapa, Rostam, Lowassa na zaga zaga nyingine zoote za pembeni na chini ni sawa kabisa na zile ambazo:-
- The late Kabila Snr alikua nazo dhidi ya the late Mobutu & Co.
- PNU ilikua nazo dhidi KANU via Moi & Co.

- MMD walikua nazo dhidi ya UNIP via Kaunda & Co. and then later on Chiluba.

Bahati MBAYA or NZURI depending on one’s side of interest hakuna la maana ilifanywa zaidi tu ya kutolewa Uongozi ama kupelekwa kortini kwa nguvu za soda tena ilokua diluted. Hypothetically thinking… Wapinzani (hasa CDM) ni jinsi gani wamejipanga kupambana na MAFISADI baada ya kuvuliwa Uongozi – Kwamba walau hayo mabilioni in Cash and Assets zirejeshwe kwa wananchi?? Ili walau kuto fanya Mistakes ambazo hufanywa mara nyingi na nchi zingine kama tulivo observe baadhi hapo juu??

  • Ikumbukwe pia kua Ufisadi wa Uongozi kama vile Raisi in most cases hayaishii tu kwake bali hutembea hadi kwa familia… Hio yategemea pia na First lady na watoto wa raisi nafasi na role yao pia katika huo Ufisadi na jinsi gani wahusika waweza abuse power just because ya ukaribu na raisi (i.e. Husband or father ) kama ilivopia rumored saana kuhusu baadhi ya wake za Maraisi wastaafu hapa nchini kwetu….
Tukiangalia inchi nyingine namely Egypt; Mfano mzuri ni Bi Suzanne Mubarak ambae baada ya yeye na familia yake yoote kua chini ya ulinzi mkali na interrogations aliweza rudisha millions in dollars ya Mali in Cash and Assets…. Ambazo alipata as a result of the abuse of power - kua she is the First lady (kwa Hosni Mubarak), hivo kuchukulia kama inchi ilikua yao na all its mali for their taking…. IMO Eygpt is one of the best examples ya the way Ufisadi ulikua/umekua handled… Pesa kwanza irudishwe kwa wanachi mashtaka badae…. Woote toka Raisi, mke the sons pamoja na kundi loote la uongozi na wasaidizi wamewajibishwa na pesa kwa kiasi kikubwa kurudishwa. Really Impressive!! Na wafaa kuigwa…

  • Narudi kwenye heading ya hii topic (thou at this stage still Hypothetical) Tokana na Trend ya Siasa zetu za Africa… The way upepo unaenda, na the way Viongozi pinzani muonekano wao; ikitokea wakafanikiwa kuwavua CCM Utawala (which is just a matter of time) Is history going to repeat itself in Tanzania???
In relation to the Topic I quote Mwalimu;

“We spoke and acted as if, given the opportunity for self-government, we would quickly create utopias. Instead injustice, even tyranny, is rampant.”Pamoja Saana
AshaDii.

What a bright a Lady? I did'nt know you! I hope Mwit25 could be as constructive and as objective. WE REALLY HAVE INTELECTUALS FOR SURE!
 
Azimio Jipya

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
3,363
1,124
Kwa ukamilifu kabisa Tuangalie hili...Historia itadjirudia Tanzania?

Hapa tunaangalia mabadadiliko ya kisiasa yanayopelekea kukukua kwa maendeleo na jamii ya kitanzania. Kila palipo na growth of some kind hata kama ni kwa binaadamu au hata kama tunaangalia mchakato wa kibiasha nk. lazima kuna kuwa na pande mbili. Inaweza kuwa ikaendelea vizuri auisiende kama ilivyotarajaiwa.

Kimsisngi Mimi singependa kusimami zaidi kwenye aiana gani ya mabadiliko yatatokea jambo la msingi ni MABADILIKO yapo kutusaidia kusonga mbele. Maendeleo au kukua kwa jaimii kuna ups and downs kama msingi wa mchakato ... HILO HALIKWEPEKI!!

Kama kilichotokea kwa Nchi nyingine za afrika kitarudia kwa Tanzania hiyo itakuwa sio hoja ...Jambo la msingi ni kutizama Tanzania iko wapi kwa sasa na nini kinatakiwa kwa sasa kutokea. Na hakuna shaka kuwa kama mada ilivyoonyesha kuwa kuna haja ya kuwa na mabadiko ya kina ..hata ikibidi kubadilisha kwa chama kinachoongoza na kutawala Nchi kwa sasa. Walipofikia na kuifikisha nchi ..its a sad story ..and have to go!!

Nani haoni hilo?

Kama historia itajirudia hiyo itakuwa sehemu ya mchakato wa kukuwa kwa jamii kisiasa, kiuchumi na kimaendeleo ..jambo ambalo ni la kawaida na ni sehemu ya mabadiliko ya kijamii.
 
AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,199
17,991
hatutaki mabadiliko ya rais tu
tunataka mabadiliko ya system yote
na hapo ndio tabu ilipo...
kusema kuwa tutahakikisha hatuingilii mahakama
na wakati huo huo kuheshimu mahakama iliyojaa rushwa...watawezaje ku walk that thin line??????/

Boss sielewi kuhusu mambo ya mahakama but I do know kua the "Supreme Court" huchaguliwa na Raisi ambae typically uhakikisha ni mhusika/wahusika ni from their party hivo directly or indirectly agrees with the Judicial philosophy of the ruling government. Sasa kama ni hivo, are you saying nje ya hao walo katika hizo positions hakuna candidates wafaa kua katika hilo jopo - Ambao waweza chaguliwa na chama kipya?? Haya basi kama hio haiwezekani si basi bora wale woote wenye case za mafisadi Wawe "Project Ocambo" – Ama they do not qualify ni mpaka tu damu ya watu imwagike ndo wa qualify??

Your statement shows kua Kubadilika raisi haitoshi… IMO Kubadilika kwa raisi yatosha kabisa, kama huyo Raisi kweli atakua ni mzalendo na yupo kwa ajili ya Watanzania. For if he is a Mzalendo believe me you the whole system of governance will inevitably CHANGE and hopefully for the better…. Na uzuri wa kuja Chama kipya hasa hapa Tanzania ni kwamba ni rahisi saana wao kufanya changes for the better kwa kukwepa mistakes ambazo walotangulia wamefanya… kama vile makundi ndani ya chama…. Maraisi nyuma ya Raisi… Vitu ambavo ndo vimechangia Mno most ya matatizo ambayo sie wa Tanzania tumegubikwa nayo.
 
AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,199
17,991
Jaribio
Chagua jibu liliosahihi
Pangilia neno lifuatalo ili lileta maana katika JF jukwaa la siasa,
atiwm
(a) twima
(b)mwati
(c)tamwi
(d)mwita

jibu ni (D)

What a bright a Lady? I did'nt know you! I hope Mwit25 could be as constructive and as objective. WE REALLY HAVE INTELECTUALS FOR SURE!

umeandika nini?Wakuu Please if you don't mind PLEASE stick to the Topic at hand na leave out hio topic ya Mwita25.... Kama hamjatambua ni kama vile ndo mna escalate his name na matendo, why not just ignore?? In one way or another he thrives on the fact kwamba mnakua rattled (and that evident on your mentioning him mara kwa mara)
 
AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,199
17,991
Kwa ukamilifu kabisa Tuangalie hili...Historia itadjirudia Tanzania?

Hapa tunaangalia mabadadiliko ya kisiasa yanayopelekea kukukua kwa maendeleo na jamii ya kitanzania. Kila palipo na growth of some kind hata kama ni kwa binaadamu au hata kama tunaangalia mchakato wa kibiasha nk. lazima kuna kuwa na pande mbili. Inaweza kuwa ikaendelea vizuri auisiende kama ilivyotarajaiwa. Kimsisngi Mimi singependa kusimami zaidi kwenye aiana gani ya mabadiliko yatatokea jambo la msingi ni MABADILIKO yapo kutusaidia kusonga mbele. Maendeleo au kukua kwa jaimii kuna ups and downs kama msingi wa mchakato ... HILO HALIKWEPEKI!!.

Hio paragraph ambayo umeongea hapa…. That is my line of thought, I always say kua tokana na hali zetu mbaya kwa most Wanachi, Watanzania wakaze vibwebwe, kwamba kuwepo tu kwa a new Ruling government does not necessarily mean kua kutakua na hali nzuri kwa Mtanzania – these things take time; hali itaendelea kua mbaya uzuri labda tu ile hope kwamba new changes will work for the better kwa kila Mtanzania. For hio change in governance under a new part is just the first step to improvement (which nayo ikienda vibaya ya weza kua for worse); Napenda niongezee kua as much as you have expressed kua Ups and Downs hazikwepeki... I agree to that na hio ndo ufanya taifa iwe STRONG but narudi kua hilo la kuwajibishwa kwa MAFISADI ni suala linalowezekana kama kutakua hamna unafiki kama vile wa Mrema.... Uko chama kingine unakula Dinner na kusifia chama kingine....

Kama kilichotokea kwa Nchi nyingine za afrika kitarudia kwa Tanzania hiyo itakuwa sio hoja ...Jambo la msingi ni kutizama Tanzania iko wapi kwa sasa na nini kinatakiwa kwa sasa kutokea. Na hakuna shaka kuwa kama mada ilivyoonyesha kuwa kuna haja ya kuwa na mabadiko ya kina ..hata ikibidi kubadilisha kwa chama kinachoongoza na kutawala Nchi kwa sasa. Walipofikia na kuifikisha nchi ..its a sad story ..and have to go!! Nani haoni hilo?

Kama historia itajirudia hiyo itakuwa sehemu ya mchakato wa kukuwa kwa jamii kisiasa, kiuchumi na kimaendeleo ..jambo ambalo ni la kawaida na ni sehemu ya mabadiliko ya kijamii.

AJ I have looked into what you have said na nakubaliana na most of what you have said. But in relation to this topic I am more interested na hii the above para of your post. Hilo naamini kua ndio huwa mistakes ya Uongozi mpya na Vyama vipya ambavo huja in power kwa kuwatoa wale ambao mara nyingi huonekana kama hawafai…. Hii topic ni mepost na swali nilouliza la Historia kujirudia ni moja ya eneo ambayo inatakiwa Chama pinzani hasa CDM waliweke akilini mapema…. For wakiliweka akilini mapema, ina maana by the time wanaingia Madarakani they will have in hand Pro-actions ya jinsi gani ku handle the whole situation badala ya kusubiri wahusika wasambae kwanza….
 
18 Reactions
Reply
Top Bottom