Update ya Kujitongozesha Si Rahisi. Nimemnawa Osokoni

Update ya Kujitongozesha Si Rahisi. Nimemnawa Osokoni

Hahahahaaaaa! Najua nimejitia aibu si kidogoooo. Ila Osokoni mgumuuu, hands down. I bet the sun and moon Maestro ataambulia patupu. Mwanaume mgumuuu sijapata onaaaa. Khaaaaaa! Che moto kiteme nimemtema puuuuutuuuuu, ptuuuuu
Usikute jamaaa hafanyi kazi, can be a reason ujue, so analinda heshima yake kwa style hiyo
 
Sister jambazi nawe dozi ya maumivu ya mapenzi imekupenya, tulia hivyo hivyo usikilizie maumivu yako ili kubalance ecosystem, imeandikwa kila nafsi itayaonja maumivu ya kupenda usipopendwa baada ya hapo ndo utajua thamani ya mapenzi
 
Daah pesa sabun ya roho, ulipenda pesa hukumpenda Osokoni kauzu. Wanaume wote tungekuwa kama Osokoni hawa ke wangekuwa na heshima debe
 
Lara me nijitongozesha kwani rasmi kuanzia muda huu.
 
Hahahahaaaaa! Najua nimejitia aibu si kidogoooo. Ila Osokoni mgumuuu, hands down. I bet the sun and moon Maestro ataambulia patupu. Mwanaume mgumuuu sijapata onaaaa. Khaaaaaa! Che moto kiteme nimemtema puuuuutuuuuu, ptuuuuu
Ningekua nakufahamu Physically ningeweza kukubali kama Osokoni ni mgumu au Lah, mimi siyo mgumu ila kuna videmu vya aina flani vikijipendekeza navipotezea mbaya kwasababu havina mvuto
 
Hadi utakwe na mwanamke lazima uwe na vigezo 300% anavyovitaka. Asante kwa 'dare' ila sina nafasi, nimetulizwa nikatulia tuliii. Na sioni mapenzi haya yakipoa anytime soon.
ahahahahhahahahhahhahahahha i loove the last touch!metamani kummapenzisha mtu chaaaa!
 
huyu mmama huwa anaeleweka na wale aliosoma nao tu/schoolmates\!
 
Dada jambazi Osaka sindio alitaka kuku kopa or nachanganya madesa???? akakwambia ata nzii akitulia anaweza tengeneza Asali kama nyuki.
 
KUBWA LA MAADUI pole sana, bora umempotezea huyo Osokoni bwana, it's the high time uje tuyajenge yetu mamy!!
you know what I mean uraaaaa....😡😡
 
Lara huyu jamaa sio kwamba hakupendi, nahis anakupenda ila anakujua vizur kuwa wewe ukimtaka mwanaume humkosi, na sana kwa pesa aliyonayo. Anataka akufunze tu kuwa si kila mwanaume u can win him easily that way bse he is a man. Anataka akuoneshe tu tupo wanaume we never care on the fame au goodlukin ya gal. Wot we consider ni being honest. He is all urs, trust me
 
Unazingiua , au unatumia old trics kuwinda? ..
 
Kumbe Lara ulishindwa?
Sijui kwanini nami nimetamani ningepata ligi kama hiyo.
Nifanye just for fun tu...
Maana Nifah sijawahi kushindwa aiseee [emoji12][emoji12]
(Sijawahi kujitongozesha,wish ningejaribu tena kwa mtu wa maana sio broke)
 
unataka ufanye for fun? usijaribu sumu kwa kuilamba
 
Back
Top Bottom