Update: Rais Magufuli atazikwa Machi 26, 2021

Update: Rais Magufuli atazikwa Machi 26, 2021

Duh utalii sasa huu wangalie jinsi ya kufanya angalau watu watowe rambi rambi ya pesa kumuona Mheshimiwa
 
Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli atazikwa nyumbani kwao Chato Machi 26, tofauti na tarehe iliyotajwa awali ambayo ilikuwa Machi 25.

Mwili wa Rais Magufuli utaagwa na wananchi wa Dar, Machi 20 na 21 Uwanja wa Uhuru kabla ya kusafirishwa kwenda Dodoma ambapo utaagwa Machi 22.

Baada ya Dodoma mwili utapelekwa Zanzibar ambao watapata nafasi ya kuaga Machi 23. Kisha utaelekea Mwanza ambapo wataaga Machi 24.

Ukitoka Mwanza, mwili wa Rais Magufuli utapelekwa Chato ambapo utaagwa Machi 25. Kisha Machi 26 itakuwa siku ya Mazishi huko Chato Mkoani Geita.
Kama kweli corona ipo,then hii ni kusambaza kwa maksudi.
Tungependa tumpe heshimakubwa sana lakini hali halisi hairuhusu na hili tukubaliane nalo.Ku compromise maisha ya wengi kwa ajili "maiti" si sahihi na ndio maana Madaktari hawakimbilii ku certify death bali kusaidia walio hai.
 
Ilisahaulika?

VP alisema nchi itaomboleza kwa siku 14
Mwenezi akasema chama kitaomboleza Siku 21
Raisi akasema nchi itaomboleza siku 21

Raisi akasema Hayati Jemedari atazikwa target 25/03
Siku nano kasema kuwa atazikwa tarehe 26/03

VP alisema ugonjwa uliomuondoa mwamba alikuwa nao kwa miaka 10.
Rekodi zinasema alifanyia upasuaji wa moyo akiwa anasoma uzamili, ambapo ni kabila ya 1995.

Ni mwanzo wa namna gani huu?
Good argument. Hii issue imewakuta ghafla hawakujipanga, hata lile tangazo la usiku wa saa tano nina wasiwasi nalo kama lilipangwa muda ule.
 
Kuhusu ugonjwa inawezekana Raisi aliyepita hakutaka taarifa zake kuhusu ugonjwa zijulikane? Na mjane wa raisi alikuwa kachanganyikiwa kuhusu taarifa za msiba wa mumewe? Cha msingi tushikamane kama Taifa kipindi hiki.
 
Anapelekwa Zanzibar kufanya nini? any way wawe makini asije akafufuka bure huyo azikwe haraka sana
 
Good argument. Hii issue imewakuta ghafla hawakujipanga, hata lile tangazo la usiku wa saa tano nina wasiwasi nalo kama lilipangwa muda ule.
Inawezekana. Pengine tungejua kama hakuna utaratibu maalumu wa kufuata linapotokea jambo kama hill ili tuuanzishe kuliko kufanya hayo makosa kwenye level ile.

Nani anapaswa kuthibitisha umauti wa raisi? Nani anapaswa kutangaza? Nini anapaswa kutangaza?

Kama unavyosema, sio kutojipanga, ni kukurupuka na kuonesha picha mbeya kwetu, kwamba hakuna usalama ndani kwa ndani.

Sifa mojawapo ya Brigedi ya Jeshi ni kuweza kuhamisha kambi kwa muda mfupi iwezekanavyo, sasa ulazima wa kutangaza msiba wa kitaifa akiwa Tanga kusikokuwa na resources zote za state ni nini?
 
Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli atazikwa nyumbani kwao Chato Machi 26, tofauti na tarehe iliyotajwa awali ambayo ilikuwa Machi 25.

Mwili wa Rais Magufuli utaagwa na wananchi wa Dar, Machi 20 na 21 Uwanja wa Uhuru kabla ya kusafirishwa kwenda Dodoma ambapo utaagwa Machi 22.

Baada ya Dodoma mwili utapelekwa Zanzibar ambao watapata nafasi ya kuaga Machi 23. Kisha utaelekea Mwanza ambapo wataaga Machi 24.

Ukitoka Mwanza, mwili wa Rais Magufuli utapelekwa Chato ambapo utaagwa Machi 25. Kisha Machi 26 itakuwa siku ya Mazishi huko Chato Mkoani Geita.
Hata mkiamua kumzungusha tanzania nzima lakini haitabadilisha maana, atabaki kuitwa marehemu. Ndio maana waislam humsitiri mtu mara tu anaporehemika
 
Wazanzibari kwa wingi wao Ni waislamu na huwa hawaagi marehemu kwa kumtazama sura ni kharamu kwao.!
RIP JPM
 
Marehemu mwenyewe hakupenda kusafiri wamuhangaisha mzee wa watu wakati anaumwa sana.
 
Back
Top Bottom