Update: Mashtaka dhidi ya makampuni manne ya simu

Na hili la kutoa matangazo yao kwa kukusikilizisha limo kwenye mikataba pia kuwa tupokee matangazo yao bure?
Tangazo sio mkataba ni offer au invitation to treat. Kama mteja kampuni inaweza kujitetea ni namna ya kukupa habari unufaike na huduma wanazotoa.

Kama unaona txt zimezidi au audio ni ndefu wakati una top up hilo ni swala ambalo una haki ya kulillamikia TCRA.
 
Tupo Pamoja
Haya Makampuni Ni Kama Ndorobo/Kupe Yanatunyonya Tu ■●○•
 
Pia kuna usumbufu wa mtu ananunua line, asipoitumia kwa muda Fulani, wanaiuza kwa mtu mwingine.Unapiga ukijua unampigia fulani kumbe iliishauzwa kwa MTU usiyemjua!
Ukute unauziwa line kumbe ilikuwa ya changudoa, unaanza kukutana na mimeseji ya ngono Bora wawe wanatuambia kuwa hii line Ni used.
 
Vipi mkuu hapo kwenye Aya ya pili Kama muda umekwisha vipi hawaruhusu kuchukua chakula kilicho baki na kukitia ndani ya mfuko (au chombo chochote Cha kwako) then ukaenda kula mbele ya Safari ?
 
Wasiwasi wangu Ukishikishwa kitu kidogo Utakuwa haurudi tena hapa na kesi kwisha.
 
Wasiojulikana sijui wako wapi
 
Asante kwa kazi nzuri, naomba uunde group ya WhatsApp wote tunaomuunga mkono tujoin na tupashane habari ikiwezekana tukuchangie hela ya mafuta ya gari.
Naunga mkono hoja,weka link ukiunda,tujiunge
 

Utakuwa mmoja wa wanaompigia simu na kumtisha
 

Units za Tanesco hua zina expire dates?
 
Asante kwa kazi nzuri, naomba uunde group ya WhatsApp wote tunaomuunga mkono tujoin na tupashane habari ikiwezekana tukuchangie hela ya mafuta ya gari.

Watu mnapenda sana ma-grp ya whatsaap kidogo tu utasikia tuunde grp,sijui kwny simu zenu mna hizo groups ngapi?
 
Hiyo neno walaji, nadhani limetumika kumaanisha consumers, lakini nahisi neno consumer lipewe maana nyingine kwa context yako

Ingependeza zaidi kama Wewe sasa ndiyo ungependekeza ni neno gani sahihi litumike hapo kuliko kuishia Kukosoa pekee.
 
Vipi mkuu hapo kwenye Aya ya pili Kama muda umekwisha vipi hawaruhusu kuchukua chakula kilicho baki na kukitia ndani ya mfuko (au chombo chochote Cha kwako) then ukaenda kula mbele ya Safari ?
Units za Tanesco hua zina expire dates?
Tatizo ndio lipo hapa tunachanganya mambo na kuweka kila kitu kwenye kapu moja kwenye mkataba ‘value of exchange’ ndani ya kampuni moja tu la simu vifurushi havilingani let alone huduma tofauti za biashara tofauti.

Muhimu hapo kuna mambo matano yanayoangaliwa kwenye ‘consensus in idem’ ili kampuni iwe na makosa lazima kuwe na ushahidi wa legal error (by contractual tests).

Kwenye vifurushi legal errors tatu ndio ambazo zinahusika:

Subject matter: wewe unadhani unanunua muda na data ambazo zinatakiwa zitumike mpaka ziishe, wakati wao wana offer minutes na data za kutumia ndani ya masaa waliyokuwekewa.

Bei; wewe unadhani hiyo ni bei ya data na minutes pekee; wao wanauza kifurushi ambacho kimeambatana na minutes, data and time limit kwa bei hiyo.

Nature: Wewe unadhani minutes na data ni independent, wao wanauza vyote ivyo kutumia ndani ya muda waliokuwekea umalize; usimalize juu yako.

Ni hivi ivyo vifurushi vingekuwa vimetangazwa vingine na wanachofanya ndio kungekuwa na tatizo la ‘legal error’, lakuweza kwenda mahakamani kwa madai ya consensus in idem.

Sasa tena ku compare sijui restaurant ambao wamekupa muda tu kwa ku book meza na kutumia, ukiisha na ujamaliza chakula ni haki yako kuondoka nacho similary Tanesco wanauza units ambazo hazina time limit.

In any contract the devil is in the details unatoa nini na kupewa nini which is exclusively that (unless were statute law provides other inclusive terms) lakini sio nani mwingine ana fanya nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…