Update: Lema kufikishwa Mahakamani Jumatatu

Update: Lema kufikishwa Mahakamani Jumatatu

Huyo Chuwa mbona hakumsaidia mchaga mwenzake sasa..wachaga andamaneni
 
Jeshi la polisi are "settling scores" on behalf of ruling party? Jeshi la polisi must learn neutrality na kupotelezea saa nyengine. Damn afadhali homeguards who served colonial masters.
 
Hivi kwanini watanzania tusifuate mfano wa wananchi wa Misri,Tunisia na Libya?

Kuna haja gani ya kuendelea kuwavumilia hawa watawala wanaofanana na madikteta?

Anzisha wewe ili watu wengine wafuate.
 
Mbona ni Godbless Lema tu kila mara? Chadema Ina wabunge 23 wa kuchaguliwa lakini hawakamatwi isipokuwa Lema! Picha ya kuwa mbunge lakini ni Raia . Ni lazima atii sheria na kuwa mfano kwa wananchi waliomchagua. Hauko juu ya sheria.
 
mwisho wa ubaya ni aibu the hague ipo kwa ajili ya watu kama JK na Said Mwema.hivi tangu lini mkuu wa mkoa anakuwa mpelelezi,jaani watu kama wakina RAMA walio husika na utekaji wa kina kibanda bado wapo huru,mtetezi wa raia anaswekwa rumande,hata mandela ali wekwa kizuizini miaka 27 kwa makosa ya ugaidi wa kubambikwa,yote yana mwisho watanzania

Kwa kweli ifike mahali huu uonevu ufikie mwisho Watanzania. Tuamke na tuukatae uzandiki huu.
 
Hivi kwanini watanzania tusifuate mfano wa wananchi wa Misri,Tunisia na Libya?

Kuna haja gani ya kuendelea kuwavumilia hawa watawala wanaofanana na madikteta?
Kwanini msisubili muda ili mtumie democracy mkuu?
 
Mtaweweseka sana kwa JK. Wapo waliodiriki kusema kuwa yeye ni dhaifu na sasa wanathibitishiwa kuwa si dhaifu. Alikuwa anawalea tu lakini wao hawana fadhila

Ha ha haaa! Angalia signature yangu. Iliandikwa 2010. JK ni dhaifu tena dhaifu kweli kweli.....dokta zaifu.
 
Mkuu,
Kama hauna Solid Points za Kuchangia Huu uzi nakushauri uwe "Reader Only".
Wengine tumeamua Ku Comply na JF Rules so usinitafutie Ban.
PS, you will be in My Ignored list soon.
Point ni ipi hiyo unayotaka kumchagulia kuchangia. Mkuu huwezi kuweka bandiko hapa JF na kuwa 'SELECTIVE' kwa yale unayopenda watu wayaongee na kuchangia. This is JF. Hakuna kutishana nyani au Nyani ngabu kama miafrika tulivyo.

You can ignore him but you can't shanty him.
 
Hivi kwanini watanzania tusifuate mfano wa wananchi wa Misri,Tunisia na Libya?

Kuna haja gani ya kuendelea kuwavumilia hawa watawala wanaofanana na madikteta?

baada ya wananchi hao kuandamana na kuutoa uongozi uliokuwapo wamenufaika nini zaidi ya kutaka tena kuandamana na kuutoa uongozi walioushangilia? njia ya kufanya mageuzi ni kutumia sanduku la kura
 
cha msingi ni kwamba haki itendeke kwa mheshimiwa LEMA,MAHAKAMA NDIKO HAKI ITAPATIKANA.
 
Mbona ni Godbless Lema tu kila mara? Chadema Ina wabunge 23 wa kuchaguliwa lakini hawakamatwi isipokuwa Lema! Picha ya kuwa mbunge lakini ni Raia . Ni lazima atii sheria na kuwa mfano kwa wananchi waliomchagua. Hauko juu ya sheria.

Hujuhi kuwa anabifu na Mh. dr. Jakaya Mrisho Kikwete?
Umesahau alivuliwa Ubunge alisema nini kuhusu dr. Kikwete? Je ikulu ilikanusha?

Lakini mimi hili naona ni sawa na CHUMA kukitia kwenye Moto, Nadhani unajua matokeo yake ni CHUMA cha PUA.
 
tilia wewe usiyo jua njia umewahi kufika nchi zenye vita au? waulize kenya 2007 wao wenyewe hawataki kurudia tena hali ile....wanasiasa wote lao ni moja tu..
Isingekuwa wamarekani weusi kupinga ubaguzi mpaka leo wangukuwa ni nyani ndani ya USA, isingekuwa south african black kupinga ubaguzi leo hii wangekuwa watumwa wa kuwatumikia ma bwana mkubwa. Hakuna mabadiliko yasiyo husisha harakati. Njia ya maelewano tanzania naona inazidi kupungua, ni bora watu zikapigwa kwanza ili tutiane adabu ili tuweze kuheshimu sheria, huwezi ukawa na utawala unaovunja sheria ukadumu madarakani lazima watu wataupindua tu, wewe kama ni mmoa ya watu wa serikali ujue hilo linakuja!
 
cha msingi ni kwamba haki itendeke kwa mheshimiwa LEMA,MAHAKAMA NDIKO HAKI ITAPATIKANA.

Kwa mahakamani naamini hawana uwezo wa kushinda kwani mawakili wa chadema ni level nyingine na hicho ndicho kinachowasaidia chadema kwa sasa, kama si Ivyo wangeshapotea kwenye siasa siku nyingi.
Kosa wanalofanya Chadema ni pale wanaposhindwa kuwachukulia hatua kwa kudai fidia hawa viongozi uchwara pindi wanaposhinda kesi.

Pia lile la msg nadhani wangachukua hatua dhidi ya Mkuu wa mkoa kwa kumshtaki tume ya maadili ya umma na pia ikiwezekana mahakamani.
 
Mulongo,Mulugo,Muhongo haya majina and the bearers quite interesting!
 
Back
Top Bottom