punga wewe
4 sure kwani tunangoja nini?am tired with this stupid ccm;;;;;tired nalia kabisa kwanini wenzetu wanateseka kwa kupigania haki zetu?hivi hii nchi c yetu sote?am tired with ccmHivi kwanini watanzania tusifuate mfano wa wananchi wa Misri,Tunisia na Libya?
Kuna haja gani ya kuendelea kuwavumilia hawa watawala wanaofanana na madikteta?
Mbona ni Godbless Lema tu kila mara? Chadema Ina wabunge 23 wa kuchaguliwa lakini hawakamatwi isipokuwa Lema! Picha ya kuwa mbunge lakini ni Raia . Ni lazima atii sheria na kuwa mfano kwa wananchi waliomchagua. Hauko juu ya sheria.
Anapetaje Ilhali kila Anapopita watu wanazomea, what kind of Life is that??????Mkuu wahenga walisema kipenda roho hula nyama mbichi,kwako wewe Lema ni malaika.
Kama waona Lema ana ubavu wa kupimana na Mkuu wa Mkoa basi sisi tutabaki kuwa watazamaji.
Picha inaendelea, Lema yuko lupango na Mkuu anapeta.
Haihitaji akili nyingi kuelewa nani anaumia.
Point ni ipi hiyo unayotaka kumchagulia kuchangia. Mkuu huwezi kuweka bandiko hapa JF na kuwa 'SELECTIVE' kwa yale unayopenda watu wayaongee na kuchangia. This is JF. Hakuna kutishana nyani au Nyani ngabu kama miafrika tulivyo.
You can ignore him but you can't shanty him.
Anza ww kuiga ya misri, mmezoea kuiga hamtumii akili umbulula huo! Nyie mna akili za gong'onda.Hivi kwanini watanzania tusifuate mfano wa wananchi wa Misri,Tunisia na Libya?
Kuna haja gani ya kuendelea kuwavumilia hawa watawala wanaofanana na madikteta?
Anza ww kuiga ya misri, mmezoea kuiga hamtumii akili umbulula huo! Nyie mna akili za gong'onda.
Hapo kwenye rangi Nyekundu inaonyesha jinsi mkuru anavyotumia madaraka yake vibaya lakini hapo kwenye Njano inaonyesha jinsi Mungu anavyopigania watenda haki.MAMBO yamezidi kumwendea kombo Mbunge wa Arusha Mjini, (Chadema) Godbless Lema baada ya Jeshi la Polisi kutangaza rasmi kwamba itamfikisha Mahakamani, siku ya Juma tatu.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Liberatus Sabas amema kwamba Mbunge huyo hawezi kuachilia huru kwa sababu mashtaka dhidi yake yameshakamilika na atafikishwa Mahakamani siku ya Juma tatau.
"Hatuwezi kumwachia kwa sababu anatarajia kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili"alisema Sabas.
Wakati Kamanda huyo akitoa msimamo huo, taarifa za ndani ya Jeshi hilo zinaeleza kwamba Mbunge huyo amehojiwa kwa zaidi ya saa nane sasa na bado yuko katika chumba maalum kwa mahojiano zaidi na maofsa wa Polisi huku akitakiwa kuonyesha ujumbe mfupi wa vitisho aliyodaiwa kuwa ametumiwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mulongo.
Katika hatua nyingine Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Arusha, kimekuwa na kikao kirefu kinachoongozwa na Mkuu wa Mkoa Mulongo na kwamba ajenda kubwa inayojadiliwa ni tukio zima la vurugu zilizotokea katika Chuo cha Uhasibu mkoani humo.
Lema alikamatwa usiku wa kuamkia leo baada ya Askari wa Jeshi la Polisi kumfuata nyumbani kwake na kuzingira nyumba yake kabla ya zoezi la kumchomoa ndani ya nyumba hiyo kufanyika.
Mbune huyo anatuhumiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo kosa la kuchochea vurugu katika chuo hicho baada ya kutokea mauaji ya Mwanafunzi Henry Koga aliye uawa kwa kuchomwa kisu juzi akirejea chuoni hapo kutoka kwenye matembezi yake, hata hivyo haijajulikana mara moja sababu za kuawa kwa mwanafunzi huyo wala watuhumiwa hawajakamatwa.
My Out Look:
Nazidi kuyasadiki Maneno ya Rafiki yangu SSP Chuwa kuwa Tatizo sio Mulongo.
Yeye ana execute to Matakwa ya Mkulu Dhidi ya Lema.
Ile Issue ya Lema kumpa Live Mkulu kuwa analea Udini imemchoma sana Mkulu.
Rafiki Yangu SSP Chuwa Akaongeza, "CCM ni Wepesi Mno na Weupe Suala linapofika Mahakani"
Wao wana Mamlaka na Fedha, Lema ana Mungu
Sina uoga wowote ila mimi sio bendera fuata upepo kama wewe .
Sina uoga wowote ila mimi sio bendera fuata upepo kama wewe .
Tch!!!ya kwako imeishia wapi ? Chooni au ?
Badala ya mimi kutafuta hela niisaidie familia yangu eti nikaandamane . Huu ni upuuzii uliotukuka . Wajinga ndio wafuate mawazo yako .