Update: Lema kufikishwa Mahakamani Jumatatu

Update: Lema kufikishwa Mahakamani Jumatatu

Hivi kwanini watanzania tusifuate mfano wa wananchi wa Misri,Tunisia na Libya?

Kuna haja gani ya kuendelea kuwavumilia hawa watawala wanaofanana na madikteta?
Wala haipo mbali ndugu yangu, subiri utaona. Seriously, mwaka 2013 hautaisha kabla hakujatokea Tanzania tukio ambalo halijawahi kutokea na ambalo litakuwa la kihistoria. Lets wait and see...
 
Only one man Prophet Lema amesababisha Radio call nchi nzima zinafoka ! Kweli nimeamini Mbunge Mmoja tu wa Cdm ana thamani ya polisi 200 wa Tanzania ! Swali la kizushi ni kwamba kwa mwendo huu , tutaweza kulikomboa Ziwa Nyasa kutoka Malawi ?

jibu la ilo swali linajulikana wazi kuwa nchi inaendeshwaa kikanjanja mkuu.
Najivunia kuwa mmoja kati ya watu nitakaowasimulia wajukuu juu ya habari ya Mbunge wangu Lema kwasababu mpaka sasa ameshaingia kwenye vitabu vya historia ya wapambania haki inayonajisiwa na dola.
Kwa historical analyst ambaye yuko makini atagundua kuwa haya yanayomkumba Lema sio mageni sababu nidhahiri kuwa yameshawatokea wanaharakati wengi wa mataifa mbalimbali duniani na mpaka sasa tunasoma historia zao na wanakumbukwa milele kwa utetezi wa haki ya mnyonge.

"the will of the people shall be rulling force of any society"
 
Watz amkeni sasa tuko vitani, hii ni vita ya haki juu ya udhalimu wa serikali ya ccm inayongozwa na mapunguani nashindwa hata kupatia jina linalo faa ila najua ki2 kimoja hawa majamaa ni wauaji tena wameshajua fika kwamba mwisho wao umefika na tena,wanatudharau sana kwa kila namna.
Ukweli ni kwamba Lema amekamatwa kwa agizo la ikulu na siyo vinginevyo na walewale wauaji na magenge ya kihuni yanaongozwa na ccm ndio sasa yako kazini ila ukweli, utaibainika mchana kweupe, Polisi sasa tunajua rasmi kuwa nyie ni tawi rasmi lA CCM. Ndugu vijana amkeni popote pale mlipo hii sio vita chadema na ccm au Lema na RC wa Arusha bali ni vita vya wanyonge na tabaka la kidhalimu linaongozwa na ccm chini ya ufadhili wa magaidi kama JANGILI MKUU KINANA,NAPE, MWIGULU NCHEMBA NA KAMBI YA LOWASSA.
SASA TUNAJUA KWAMBA TUKO KTK VITA HII YA UDHALIMU YOTE HAYO NI MAAGIZO YA IKULU NA OFISI YA LUMUMBA PALE DSM.
JAMBO MOJA LA FARAJA NI KWAMBA UKOMBOZI UMEKARIBIA.
Mh. lema usiogope chochote ujue ww ndio ishara ya kupigania haki na utetezi kama STEKE BIKO,MARTIN LITHER JR NA MANDELA.
"RC MULONGO, RPC ARUSHA NA KIKWETE NYIE ENDEENI NA MIKAKATI YENU DAIMA MANA MWANGA WA MATUMAINI IMEANZA KUCHOMOZA KWA WATZ WOTE".
 
That until the basic human rights
Are equally guaranteed to all,
Without regard to a political affiliation
[FONT=Times New Roman, Times, serif]There is no way we can stop this country to engage itself in civil war.[/FONT]

[FONT=Times New Roman, Times, serif]Killing ain't fair but in certain circumstances somebody gotta to do it.[/FONT]
 
Wanapoteza muda na kodi zetu, ngoja tuone. Nafikiri yule mwingine ndio aliharibu.
 
Anapetaje Ilhali kila Anapopita watu wanazomea, what kind of Life is that??????
Mkuu ni watu wa vyama tu wanaofanya kazi kwa sentiments kama hizo, polisi ukimzomea au usimzomee atakukamata tu ukutenda kosa,vile vile watu walioajiriwa serikalini.
 
Wewe ni mbumbumbu kweli unapata posho Lumumba ndiyo maana huoni shida.Wananchi kujikomboa sio jambo rahisi ,tuungane pamoja tuonesha sisi ndio wenye nchi hii kama wenzetu Misri,Libya n.k; Diplomasia katika nchi hii haiwezi kufanya kazi.
 
MODS naomba muache Thread hii,nitaitumia kuleta Updates za kinachojiri:

Salaam WANAJF,

Taarifa za uhakika muda huu kutoka Mahabusu kituo cha polisi Arusha ni kwamba Mbunge wa Arusha Mh.Godbless Lema ameendelea kufanyiwa vitendo vya udhalilishaji alipopelekewa kifungua Kinywa na ndugu zake asubuhi hii


UDHALILISHAJI

-Mke wake alimpelekea Mswaki na Dawa ya meno lakini polisi wamekataa kabisa kwamba hairuhusiwa.Kama mjuavyo Mswaki hauruhusiwi kuingia nao ndani mahabusu kwa hiyo Lema alikua ametoka kwenye chumba cha mahabusu na kanuni hazimfungi au kumzuia kutumia Mswaki katika kujiweka katika mazingira mazuri kiafya.Hili ni jambo la kawaida kwa mwananchi yeyote na ni haki ya mahabusu
-Pia wakati huo huo askari walianza kuikagua chai aliyoletewa kwa kutumia fimbo aliyokua nayo jambo lililomchukiza Leman a kuhoji hii humiliation ni ya nini?Kama vile haitoshi askari akaendelea kumshinikiza kuwa wamempa dakika mbili za kunywa chai kitu ambacho kimezua mabishano na Lema akagoma na kudai kwamba ni lazima sasa Mwanasheria wake aje kwanza amfafanulie kama kweli haki zake hazijakiukwa.
-Pia ameletewa magazeti na akiwa ameshika gazeti la Mwananchi askari polisi alimnyang'anya na kumwambia ahairuhusiwi hata kupata taarifa zozote
Lema amemuta Mwanasheria wake

KESI YA MAUAJI INASUKWA KUTUMIA UJUMBE ALIOTUMA RC

Wakati huo huo kuna taarifa nyeti kabisa na za uhakika kwamba muda huu jeshi la polisi likishirikiana na ofisi ya mkuu wa mkoa wanafanya jitihada za kubadili uamuzi wa kumfungulia kesi ya uchochezi kama nilivyoweka hapa jana baada ya kuongea na mwanasheria wake jana na sasa wanataka kumfungulia kesi ya mauaji kwa kuzingatia ujumbe ule wa simu uliotumwa na mkuu wa mkoa.Lengo ni kumnyima dhamana.
Tunaendelea kufuatilia kwa karibu na JF kitakua chombo cha kwanza kabisa kuhabarishwa yanayojiri.Katika muda wote huu nitalinda heshima ya JF kwa habari za ukweli na uhakika kama nilivyofanya nilipothibitisha taarifa za kufuatiliwa gari ya Dr.Slaa ambazo zimekuja kuthibitishwa baadae kuwa ni kweli.

CC: Moderator, Paw, PainKiller, Invisible na WanaJF wote
 
KESI YA MAUAJI INASUKWA KUTUMIA UJUMBE ALIOTUMA RC

Wakati huo huo kuna taarifa nyeti kabisa na za uhakika kwamba muda huu jeshi la polisi likishirikiana na ofisi ya mkuu wa mkoa wanafanya jitihada za kubadili uamuzi wa kumfungulia kesi ya uchochezi kama nilivyoweka hapa jana baada ya kuongea na mwanasheria wake jana na sasa wanataka kumfungulia kesi ya mauaji kwa kuzingatia ujumbe ule wa simu uliotumwa na mkuu wa mkoa.
Tunaendelea kufuatilia kwa karibu na JF kitakua chombo cha kwanza kabisa kuhabarishwa yanayojiri.Katika muda wote huu nitalinda heshima ya JF kwa habari za ukweli na uhakika kama nilivyofanya nilipothibitisha taarifa za kufuatiliwa gari ya Dr.Slaa ambazo zimekuja kuthibitishwa baadae kuwa ni kweli.
Nadhani lengo lao niu kutaka kwemweka ndani kwa muda mrefu ili 'wapumue'
 
Ivi jamani wanachokifanya serikali huko Arusha ni sawa kwani inashangaza sana wadau mbunge anakamatwa kama kibaka afu huu ushabiki wa vyama kwa viongozi wa serikali utatufikisha pabaya me nawaomba police wasikubali kutumiwa kisiasa kwani itakuja kuwa cost baadae, katika maisha yangu mm ni mwana chadema asilia lakini mtu akifanya vizuri lazima nimpongeze haijalishi ni wa chama gani kiukweli mh.SITTA wakati akiwa spika alifanya kazi nzuri sana mpaka nidhamu kwa wabunge ilikuwepo lakini leo tumebugi sana, ilaa nawaomba polisi wawe makini sana kwani wananchi watashindwa kuvumilia hatupendi kuona yanayotokea syria to day yatokee na hapa kwetu jamani tunaomba amani na utulivu kwa wanachama wote wa CHADEMA tumuombe mungu atatusaidia katika mageuzi ya haki na bila kumwaga damu kama tulivyojitwali uhuru..
 
"Hatuwezi kumwachia kwa sababu anatarajia kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili"alisema Sabas.

Dhamana ni haki ya kimsingi ya raia na mwenye mamlaka ya kukataa dhamana ni mahakama i stand to be corrected.Kutarajia kumfikisha mtu mahakamani hakumnyimi mtu haki ya kupewa dhamana na akatakiwa mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili........... Mwanasheria na haki za binadamu hii imekaaje?
 
Lema anapata malipoya utendaji wake usio makini katika majukumu ya ubunge
 
Rc na huyo sabas wote mabwege ...wanafanya mambo kwa kufuata maelekezomya vilaza wenzao huku makao makuu ya polisi...it doesnt make sense at all
 
KESI YA MAUAJI INASUKWA KUTUMIA UJUMBE ALIOTUMA RC
Nafikiria kwa sauti tu yaan Lema wanataka kumbambika kesi kuwa yeye ndiye aliyemua huyo mwanafunzi au kuna mtu mwingine? Tatizo mlilonalo CCM kwa kushirikiana na Serikali yake ni Kuendelea kila uchwao kuongeza uhasama na wananchi kwa kukandamiza Democrasia kwa kuwafanyia visa wale wote wanaonekana ni mwiba kwao. Kuna mengi sana ambayo mmeyaanzisha kwa lengo hilo Mengine yamewashinda(Mmeaibika)Kuna Mengi mnaendelea nayo na yanaendelea kuwatesa kila uchwao. Mlijaribu kumvua Lema Ubunge wake Mmeshindwa imekuja na hili Time will tell...........
 
Lema anapata malipoya utendaji wake usio makini katika majukumu ya ubunge

Kikwete Kwa raha zake anajisuza chai ya harua huku akihakikisha anafinya haki za mtoto wa mwanamke mwingine kama alivyo mama yake, lakini akumbuke anajiingiza tuu kwenye mlengo wa kuongeza kesi zakupelekwa mahakama ya Afrika Mashariki na the Hagues
 
Badala ya mimi kutafuta hela niisaidie familia yangu eti nikaandamane . Huu ni upuuzii uliotukuka . Wajinga ndio wafuate mawazo yako .


Amesema Watanzania, kwani na wewe ni mtanzania?
Hela unatafuta wewe? Kina EL waseme nini?
Upuuzi ni huu uliouandika.
 
Back
Top Bottom