Update: Lema kufikishwa Mahakamani Jumatatu

Update: Lema kufikishwa Mahakamani Jumatatu

Watanzania sio wajinga tena me naamini kesi ikifika mahakani itafutwa mapema sana huyu Lema ni Mbunge wa wananchi kwenda kwenye vulugu ni moja ya kazi yake me naamini Lema kinachomponza ni kauli ya bungeni aliitoka Mungu atamsimamia kwavile alisimamia haki
 
Muda wa kuwasilisha uthibitisho wa udini wa mwenyekiti wa CCM, Jakaya Mrisho Kikwete umefika, wanachofanya ni kujaribu kila mbinu LEMA asiwasilishe ushahidi, nina wasiwasi na uhai wa kamanda Lema. Mungu amlinde
 
Wafata mkumbo wa CDM hamuwezi kunielewa hata siku mmoja maana vichwa vyenu vimejaa viroba .

Sitalia sababu nahisi kuonewa,sitanyamaza kwa
hofu ya kukanyagwa kichwa na buti ya
dola.maana woga wa mama na bibi yangu,hofu
ya babu na baba yangu,ndiyo unaolitesa taifa
leo...ee Mungu ikamilishe safari uliyoianzisha
moyoni mwangu.
 
Watanzania sio wajinga tena me naamini kesi ikifika mahakani itafutwa mapema sana huyu Lema ni Mbunge wa wananchi kwenda kwenye vulugu ni moja ya kazi yake me naamini Lema kinachomponza ni kauli ya bungeni aliitoka Mungu atamsimamia kwavile alisimamia haki
Mkuu, tatizo lako unaandika kitu usichokijua na unaendekeza ushabiki tu. sisi tuliokuwepo eneo la tukio tunathiitisha kuwa lema anastahili kuchukuliwa hatua kali za kisheria
 
Sitalia sbb nahisi kuonewa,sitanyamaza kwa
hofu ya kukanyagwa kichwa na buti ya
dola.maana woga wa mama na bibi yangu,hofu
ya babu na baba yangu,ndiyo unaolitesa taifa
leo...ee Mungu ikamilishe safari uliyoianzisha
moyoni mwangu.
Hiyo ni sala ya shetani na mungu hawezi kukusikiliza hata chembe.. Labda kama ni mungu wa machame na kibosho tu. si mungu aliyeumba mbingu na ardhi
 
My Out Look:
Nazidi kuyasadiki Maneno ya Rafiki yangu SSP Chuwa kuwa Tatizo sio Mulongo.
Yeye ana execute to Matakwa ya Mkulu Dhidi ya Lema.
Ile Issue ya Lema kumpa Live Mkulu kuwa analea Udini imemchoma sana Mkulu.
Wao wana Mamlaka na Fedha, Lema ana Mungu

Mkuu nakubaliana na habari yako isipokuwa na conclusion yako.
Lema seems to be too adventurous with his mouth and he is getting more than he bargained for.

Matatizo ya Lema yanatokana na matamshi yake mwenyewe, mengine ambayo hayana akili sana na hayategemewi kutoka kwa mwanasiasa.
Mwanasiasa anatakiwa kupima matamshi yake na si ila kitu anachokisikia au kukiona kubwabwaja tu.
Ujumbe unaweza kufikishwa kwa anayehusika kwa staha na kwa mbwebwe za kisiasa bila kuudhi mtu.

Kuhusu suala la kumhusisha Mungu, naona hapo umeteleza.
Wiki haijapita na Lema alijilinganisha kiuwezo katika siasa za Arusha na kudiriki kusema ni yeye au Mungu tu wanaomuweza hapo jijini Arusha.
Leo anasumbuliwa na mtu anayemuona mdogo sana Mkuu wa Mkoa.
Busara hainunuliwi na maandiko yanasema ya Kaisari mpe Kaisari(natumai asije kukasirika).
 
Yaani masaa 6 upelelezi umeshakamilika na wanatolea tamko kuwa j'tatu anafikishwa mahakamani? Daa, hapa kuna jambo nyuma ya huyu mkuu wa mkoa.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Muda wa kuwasilisha uthibitisho wa udini wa mwenyekiti wa CCM, Jakaya Mrisho Kikwete umefika, wanachofanya ni kujaribu kila mbinu LEMA asiwasilishe ushahidi, nina wasiwasi na uhai wa kamanda Lema. Mungu amlinde
Mungu hana urafiki na gaidi, mchochezi, mgombanishi
 
unatumia masaburi kufikiri we mtoto wa cha arusha

silipwi hela kuchangie jf wewe fa,,la.alafu jitazame uzuri wewe ni mtoto wa kiume kuzoea vya bure ni mbaya na ipo siku utakuja ombwa visivyoombeka!
 
Mkuu nakubaliana na habari yako isipokuwa na conclusion yako.
Lema seems to be adventurous with his mouth and he is getting more than he bargained for.

Matatizo ya Lema yanatokana na matamshi yake mwenyewe, mengine ambayo haya akili sana na hayategemewi kutoka kwa mwanasiasa,
Mwanasiasa anatakiwa kupima matamshi yake na si ila kitu anachokisikia au kukiona kubwabwaja tu.
Ujumbe unaweza kufikishwa kwa anayehusika kwa staha na kwa mbwebwe za kisiasa bila kuudhi mtu.

Hebu tuambie, kwenye hizi Video hapa Chini, nani amekosa Busara kati ya RC na Lema???

Hapa Lema akiwatuliza Wanachuo

‪Mhe Lema akiwatuliza wanachuo Arusha‬‏ - YouTube

Na Hapa RC akionesha Dharau ya Hali ya Juu kwa Wafiwa (Wanachuo)
‪Mkuu wa Mkoa wa Arusha akizungumza na wanachuo‬‏ - YouTube

Kama kichwa chako kinafanya Kazi Sawa Sawa utaona ni Jinsi gani RC alileta Kiburi Msibani

Kuhusu suala la kumhusisha Mungu, naona hapo umeteleza.
Wiki haijapita na Lema alijilinganisha kiuwezo katika siasa za Arusha na kudiriki kusema ni yeye au Mungu tu wanaomuweza hapo jijini Arusha.
Leo anasumbuliwa na mtu anayemuona mdogo sana Mkuu wa Mkoa.
Busara hainunuliwi na maandiko yanasema ya Kaisari mpe Kaisari(natumai asije kukasirika).

Mungu hapimwi hivyo Mkuu, Majaribu ya Shetani kwa Mtu wa Mungu ni Kawaida sana, hata Mungu Mwenyewe alimpa Kibali Shetani Kumjaribu Mtumishi wake Ayubu, Lakini itategemea kama utasimama kwenye imani yako, Mfano Ayubu alivyo simama na Lema anavyoendelea Kusimama, ama Lah, unyooshe Mikono na Kumsujudia Shetani (Kitu Ambacho Lema na Ayubu wamekikataa)
 
Badala ya mimi kutafuta hela niisaidie familia yangu eti nikaandamane . Huu ni upuuzii uliotukuka . Wajinga ndio wafuate mawazo yako .

wewe ni mwerevu sana! lakini ujinga wako utagharimu muda si mrefu nchi itakapokuwa inakombolewa,tunajua kesi nyingi mtatutengenezea,najua kucha zetu,meno yetu macho yetu yako rehani kwa ajili ya ukombozi wa taifa hili na kizazi kijacho,najua hata hapa ninapoandika damu yangu inaweza kumwagika kwa style Maccm watakayoona ina faa,wala hilo hatuna hofu nalo,maana roho zetu sisi wapigania haki ni zetu kwa kuwa ziko kwenye kiwiliwili chetu lakini kimsingi ni roho za watanzania kwa maslahi ya watanzania.Hakika msitutishe sana kwa kumkamata Kamanda Lema,najua kesi mnaiandaa,najua simu zinatembea kupata ushauri namna gani m-frame kesi nzuri lakini hakika roho za watu wote wanaosikia maumivu ya Lema kufanyiwa uonevu huu hakika zitmpigania kwa gharama yoyote,mpaka Mungu atakapoonyesha miujiza yake.
Kamanda Lema Tangulia huko gerazani siku ya jumatatu maana najua watazuia dhamana lakini kumbuka tuko wengi tutakukuta huko magerezani.ALUTA CONTINUA
 
Tittle ya uzi huu ibadilishwe. Iwe, " gaidi jingine la chadema kufikishwa mahakamani jumatatu
 
siku za ccm na washirika wake kuishi zinahesabika,ole wenu!
Haziwezi kwisha kwa vile mnacheza mchezo mchafu na sasa mmegunsulika. Saa hizi ni kunyea debe kwa kwenda mbele. Hatuwezi kuwaachia mnatukana hovyo hovyo tu vyombo vya dola
 
Mungu hana urafiki na gaidi, mchochezi, mgombanishi

1. Gaidi ni JK na kundi lake, rejea kesi ya Mtikila aliyoshinda mahakamani.
2. Mchochezi ni JK na CCM kwa kuachia na kuulea udini ushamiri nchini.
3. Mgombanishi ni JK na CCM, wanawachonganisha watanzania kwa dini zao na makabila yao.
 
Yule first lady mwalimu alimchota mpiga muziki yule wakizaire. Yule msanii akatunga wimbo wenye jina la mwalimu. Of course alikuwa bado hajawa first lady. Ushuhuda unaonyesha mwalimu akimpatia kijana zawadi keme kem hasa akienda kwenye show zake. Fastjet akiwa anakula bata mitaa mbali mbali mama akaamua kumega kijana.

Habari zikamfikia mwenye mali, bahati akawa rais na kama utani vile, familia yote ikafungwa maisha. Huyu ndie fastjet aliyeletwa kwetu na sisi wenyewe. Nakubaliana na wewe mkuu, presida ana chuki, na visasi zaidi ya Boko haram.

Naitwa mdudu , mtu mwenye kuishi kwenye nyumba pekee yenye choo ndani kwa ndani.

"KAZI YA MOYO NI NINI, KUISHI AU KUFA'' HAAHAHH napenda kuimba leo jamani. Muungano etii.

Salima ooh salima ooh. ULINIDANGANYA , NIKAKUPENDA WEWE , OOH SALIMA WANGU EEH,,,,,,

aiseeeeeeeee kumbe wote vipanga!
 
Back
Top Bottom