Update: Lema kufikishwa Mahakamani Jumatatu

Update: Lema kufikishwa Mahakamani Jumatatu

Badala ya mimi kutafuta hela niisaidie familia yangu eti nikaandamane . Huu ni upuuzii uliotukuka . Wajinga ndio wafuate mawazo yako .[/QUOTE

Nyerere angekuwa na mawazo kama yako,tusingepata uhuru!
 
Badala ya mimi kutafuta hela niisaidie familia yangu eti nikaandamane . Huu ni upuuzii uliotukuka . Wajinga ndio wafuate mawazo yako .

na hutakaa upate pesa zaidi ya 7000 unazopewa na Nepi Lumumba,afu isitoshe na ww ni wa kiume....magamba bhana
 
Badala ya mimi kutafuta hela niisaidie familia yangu eti nikaandamane . Huu ni upuuzii uliotukuka . Wajinga ndio wafuate mawazo yako .

Toka umeanza kutafuta hizo pesa unashingapi?
au ndio unaganga njaa
 
Hivi kwanini watanzania tusifuate mfano wa wananchi wa
Misri,Tunisia na Libya?

Kuna haja gani ya kuendelea kuwavumilia hawa watawala wanaofanana na
madikteta?

Mkuu ili swala mimi nimeshaliongelea sana. Nimeshaongea sana kwamba
imefika wakati inatakiwa tuwena mawazo m-badala. Lakini inavyoonekana
watanzania tumelizika na unyanyasaji wa ccm, watu wako kama mazuzu hivi.
Ingawa ccm inatufanyia vitendo vya kifirauni, lakini watu wanaishia
kulalamikia kwenye JF.

Mimi nasema, kama waTZ tumeridhika na ccm, na tumekubali waendelee
kututawala, kwa hiyo tusilalamike, tuendelee kuwavumilia tu. Mpaka
watutie vidole vya masaburi ndo tutatia akili...
 
mtu kaama shekhe ILUNGA yupo huru sasa wachochezi ni wakina nani?yote yana mwisho polisi wa tanzania wana pelekwa na wanasiasa,navyo wajua ma CCM kwa sasa watakuwa wana haha na Vodacom WAFUTE UJUMBE MFUPI wa simu aliotuma MULUGO MAGESA kwenda kwa LEMA ila njia ya muongo ni fupi,na mwisho wa ubaya ni aibu
 
Yule first lady mwalimu alimchota mpiga muziki yule wakizaire. Yule msanii akatunga wimbo wenye jina la mwalimu. Of course alikuwa bado hajawa first lady. Ushuhuda unaonyesha mwalimu akimpatia kijana zawadi keme kem hasa akienda kwenye show zake. Fastjet akiwa anakula bata mitaa mbali mbali mama akaamua kumega kijana.

Habari zikamfikia mwenye mali, bahati akawa rais na kama utani vile, familia yote ikafungwa maisha. Huyu ndie fastjet aliyeletwa kwetu na sisi wenyewe. Nakubaliana na wewe mkuu, presida ana chuki, na visasi zaidi ya Boko haram.

Naitwa mdudu , mtu mwenye kuishi kwenye nyumba pekee yenye choo ndani kwa ndani.

"KAZI YA MOYO NI NINI, KUISHI AU KUFA'' HAAHAHH napenda kuimba leo jamani. Muungano etii.

Salima ooh salima ooh. ULINIDANGANYA , NIKAKUPENDA WEWE , OOH SALIMA WANGU EEH,,,,,,
 
Mungu ni mwema. Yanamwisho haya hata kama yataexist kwa miaka 2000, mubaraka chali, osama chali, gadafi chali, sadam hussein chali, charles teilor chali..........
fastjet chali
 
Badala ya mimi kutafuta hela niisaidie familia yangu eti nikaandamane . Huu ni upuuzii uliotukuka . Wajinga ndio wafuate mawazo yako .

Halafu mnashangaa kwanini Tanzania imekuwa shamba la bibi! Watu kama hawa ndio jibu.
 
na hutakaa upate pesa zaidi ya 7000 unazopewa na Nepi Lumumba,afu isitoshe na ww ni wa kiume....magamba bhana

Wafata mkumbo wa CDM hamuwezi kunielewa hata siku mmoja maana vichwa vyenu vimejaa viroba .
 
Badala ya mimi kutafuta hela niisaidie familia yangu eti nikaandamane . Huu ni upuuzii uliotukuka . Wajinga ndio wafuate mawazo yako .

Mkuu,
Kama hauna Solid Points za Kuchangia Huu uzi nakushauri uwe "Reader Only".
Wengine tumeamua Ku Comply na JF Rules so usinitafutie Ban.
PS, you will be in My Ignored list soon.
 
natabiri lema kuwa shujaa wa taifa.
Mambo yanamtokea kama unaroho nyepesi huwezi kuyavumilia!
 
Tusigombane wana jf kwani mahakamani sio kuzimu naamini hata dhamana itakuwepo sijaona tatizo kwa lema kwani yeye ni kiongozi kujumuika na wananchi wake nadhani ni sawa au alifanya nn zaid mliokuwepo tujuzeni
 
kama mambo yenyewe ni hivyo,
Lema atatimiza lini ahadi zake .Toka amechaguliwa mahakamani
 
Badala ya mimi kutafuta hela niisaidie familia yangu eti nikaandamane . Huu ni upuuzii uliotukuka . Wajinga ndio wafuate mawazo yako .

"You cant be free if others are oppressed" Julius Kambarage Nyerere....The Late Father of Nation!
 
Sina uoga wowote ila mimi sio bendera fuata upepo kama wewe .

Bendera ikiacha kufuata upepo ujue imenyeshewa mvua....bila shaka umenyewa na mvua ya dhuluma na udhalimu!
 
Back
Top Bottom