YAGHAMBA
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 545
- 147
Mtaweweseka sana kwa JK. Wapo waliodiriki kusema kuwa yeye ni dhaifu na sasa wanathibitishiwa kuwa si dhaifu. Alikuwa anawalea tu lakini wao hawana fadhila
JK na CCM ndio wanaoweweseka mpaka kufikia hatua ya kuajiri na kuwadhalilisha miji.tu kama wewe kuwatetea kwenye mitandao ya kijamii kwa maovu wanayotenda, shughuli ambayo hata hivyo imewawia vigumu kutokana na watanzania kuamka na kutambua haki zao, yaani hawadanganyiki.
Kuhusu udhaifu wa JK hata mwanangu wa miaka mitano anaujua, hapo hapahitajiki maelezo yoyote.