Inferior Complex
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 3,655
- 5,008
Mkuu mbona unachezea shilingi chini?
Kivipi tena mkuu?Mkuu mbona unachezea shilingi chini?
Kwanini hio Elimu usiiweke hapa tukafaidi wote? Wahitaji ni wengi ndugu. Barikiwa saaanaNaweza kukupa semina kwa ajili ya hao mende tena utavuna pesa mingi!.
Hebu ni Pm Tafadhali
Lengo la uzi wangu ni kujua kama kuna mtu yeyote mwenye taarifa za upatikanaji wa soko la hao wadudu wenye faida nyingi pindi watumikapo kama chakula kwa binadamu na hata wanyama kwani wana kiwango kikubwa cha protini.
Aiseeee naomba nifundishe nikawalishe kuku wanguNdugu wana JF
Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu lilipo soko la wanunuzi wa wadudu aina ya mende kwa matumizi ya chakula cha binadamu na wanyama.
Kwa kipindi cha nyuma nilibahatika kuona makala ya ufugaji wa mende katika televisioni ya kimataifa ya CNN ambapo mwandaaji alimtembelea mkulima mmoja aliyekua na shamba la kufugia mende. Katika mahojiano yao nilipata kutambua mende wana soko kubwa kwa sasa duniani kutokana na faida ambazo walizitaja. Na mwenye shamba lile ambaye ni Mchina alisema mende wanahitajika sana hasa na makampuni makubwa ya madawa (pharmaceutical companies)View attachment 788157
Kwa sababu nilipendezwa na makala ile nilimfuata ndugu yangu na kumpa wazo lile, awali alikataa lakini baada ya kumshawishi sana alikubaliana nami na tukaanza shamba la majaribio. Matokeo ya majaribio yale tulizalisha mende wengi sana, lakini ilituwia vigumu kutafuta na kupata soko jambo lililotulazimu kusitisha mradi ule.
Lengo la uzi wangu ni kujua kama kuna mtu yeyote mwenye taarifa za upatikanaji wa soko la hao wadudu wenye faida nyingi pindi watumikapo kama chakula kwa binadamu na hata wanyama kwani wana kiwango kikubwa cha protini.
Utakua unazungumzia panya!Mende siwapendi kwanza hawana adabu. Unaweza kua na mgeni wa heshima yeye ndiyo anaona huu ndo muda wa kuzurura.
Ni kazi rahisi sana kuwazalisha, kama ni kwa ajili ya kuku unahitaji tu maboksi ya mbao yenye kipenyo kidogo kisha weka masalia ya chakula kidogo na makaratasi kisha weka sehemu yenye hoto la wastani.Aiseeee naomba nifundishe nikawalishe kuku wangu
Kama unawafuga sehemu maalumu hawawezi kusambaa hovyo.Mende siwapendi kwanza hawana adabu. Unaweza kua na mgeni wa heshima yeye ndiyo anaona huu ndo muda wa kuzurura.
Unawakausha baada ya kukauka vizuri wanaweza kukaangwa na mafuta kama senene au kumbikumbi.Na huku kwetu wanaliwa?
Namna ya kuwpika ikoje?
Nimewahi kufungua biblia kanisani wakatoka mende zaidi ya saba. Panya ana heshima kidogo angeona biblia inanyanyuliwa angechoropokaUtakua unazungumzia panya!
Acha kuwa na mawazo mgandoNaona MTU anaanzisha maada na kujijibu mwenyewe kwa Multiple ID ili kuvuna wajinga
Hahahaha..hiyo ni zaidi ya kujamba hadharani!Nimewahi kufungua biblia kanisani wakatoka mende zaidi ya saba. Panya ana heshima kidogo angeona biblia inanyanyuliwa angechoropoka
Kwa bahati nzuri sisi ni wafugaji wa kuku pamoja na bata pia. Hivyo kwa kiwango kikubwa tuliwapa kuku na bata ambao wanawapenda sana na kiwango fulani niliwala mimi mwenyewe kwani mengine waligoma.Nimewaza.
Mlianzisha shamba.
Kutokana na soko kujificha mkasitisha mradi.
Umesema wana protini nyingi.
Wale mende wa shamba la majaribio mliwapeleka wapi?
Ule urojo wake mweupe mtamu eeh?Kwa bahati nzuri sisi ni wafugaji wa kuku pamoja na bata pia. Hivyo kwa kiwango kikubwa tuliwapa kuku na bata ambao wanawapenda sana na kiwango fulani niliwala mimi mwenyewe kwani mengine waligoma.
Na mpaka sasa bado tunafuga kienyeji kwa ajili ya kuku na bata.
Pindi tukipata soko la uhakika tutaurejelea tena mradi wetu kwa kuboresha changamoto zilizojitokeza hapo awali, kwani tayani mwanga wa ufugaji wa wadudu hao tunao kwa kiwango fulani kizuri.
wanakaangwa kama senene au inswa a.k.a kumbikumbiNa huku kwetu wanaliwa?
Namna ya kuwpika ikoje?
Ha ha ha naona mate yanajaa mdomoni, sijui ni ishara ya uchu au kichefuchefuKwa bahati nzuri sisi ni wafugaji wa kuku pamoja na bata pia. Hivyo kwa kiwango kikubwa tuliwapa kuku na bata ambao wanawapenda sana na kiwango fulani niliwala mimi mwenyewe kwani mengine waligoma.
Na mpaka sasa bado tunafuga kienyeji kwa ajili ya kuku na bata.
Pindi tukipata soko la uhakika tutaurejelea tena mradi wetu kwa kuboresha changamoto zilizojitokeza hapo awali, kwani tayani mwanga wa ufugaji wa wadudu hao tunao kwa kiwango fulani kizuri.