Je, una imani na jeshi la polisi kuomba escort unapokuwa na fedha au madini?

Nyamesocho

JF-Expert Member
May 5, 2023
476
1,244
Kutokana na matukio yanayofanywa na baadhi ya askari wa jeshi la polisi la kuwanyang'anya kwa nguvu raia mali zao na kuwaua wengine ili kupoteza ushahidi Kama ilivyotokea huko Mtwara,Dar na kwingineko , bado jeshi la polisi linawataka wafanyabiashara kupewa escort ya jeshi la polisi

Je huyu mfanyabiashara atakuwa na imani kwa escort ya askari polisi hao.

---

Wafanyabiashara wakubwa wilayani Songwe wametakiwa kuwachukua Askari Polisi kwa ajili ya kuwasindikiza (Escort) wanapokuwa kwenye shughuli zao za kwenda kuuza madini na kuchukua hela na kuzipeleka benki ili kuepuka kufanyiwa uhalifu wanapokuwa njiani.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe ACP Theopista Mallya ameyasema hayo leo Desemba 12, 2023, alifungua mafunzo ya ulengaji wa shabaha kwa wamiliki wa silaha za kiraia wilaya ya Songwe na kusema kuwa, ni vyema unapokuwa unaenda kupima dhahabu au unapokuwa na hela nyingi ni bora kuchukua askari kwa usalama wako na mali yako.

"Unakuta mtu anaenda kupima dhahabu au kupeleka hela benki bila ulinzi kutokana na hivyo anavamiwa na kuchukuliwa hela pamoja na mali zake, mara nyingine na yeye anapoteza uhai kwa jambo ambalo angefuata utaratibu wa kuchukua Askari Polisi kwa ajili ya ulinzi madhara hayo yasingeweza kutokea," amesema Kamanda Mallya.

Kwa upande wa wafanyabiashara hao walimuahadi Kamanda Mallya kutekeleza agizo hilo ili kuwa salama wao na mali zao.
 
Unless ilo gari litakalo beba muokoto liwe na CCTV cam, namaanisha
Iive CCTV just incase side b uwe na Ushahidi, maisha yalivyo tough huo upande plus walivyo addicted na mserereko . Kupigwa Tukio ni nje nje

Siku izi kubeba maokoto mengi si big deal ni kujitakia matatizo yanayoepukika
 
.
MKOA WA SONGWE UNA PAKANA NA NCHI YA ZAMBIA NA MALAWI.
KWAMBA YAWEZEKANA POLISI WANAO ONGELWA HAPA NI WA KUTOKA NCHI HIZO
 
Ukweli ni kwamba RPC ametoa wazo na ushauri mzuri sana, isipokuwa tatizo linakuja kwamba Wananchi wengi sana tayari wameshapoteza Imani dhidi ya Jeshi la Polisi. Hii ni kutokana na rekodi mbaya waliyonayo Polisi ya kuhusika na matukio mbalimbali mabaya na ya uhalifu dhidi ya raia. Matukio mabaya kama lile la Kamanda Abdallah Zombe na Kamanda Christopher Bageni kuwaua makusudi wale wafanyabiashara wa madini wa kutoka Mahenge Morogoro, tukio lingine kama hilo la wale Askari Polisi kule Mtwara yamechafua sana taswira ya Jeshi la Polisi kiasi cha kulifanya Jeshi hilo lisiweze kuaminika tena na Wananchi au na mtu yoyote yule mwenye akili timamu.
 
Habari Wakuu!
Binafsi naomba nichangie hivi,

Kutokana na mfululizo wa matukio ya hivi karibu kutoka kwa Jeshi la Polisi sina imani kabsa na escort yao, kwani imani yangu ni ndogo kama umepata kutazama tamthilia ya The Kill Point ndo uhalisia wa maisha sasa hivi. Sio Polisi wa Tanzania tu hata Marekani, pesa ama madini ni yangu hivyo ni juu yangu kutafuta ulinzi kutoka makampuni binafsi ya usalama kama GardaWorld na mengine ambayo yanaweza kutoa huduma hiyo kwa ufanisi zaidi.

Kwa mtu ambaye ana macho na masikio sio mara ya kwanza au ya pili kuona polisi wakibariki matukio ya ovyo sana kwenye ulinzi na usalama. David Mack alikuwa ni polisi ila alikwenda kuiba zaidi ya 1,812,220,000 kwa pesa za madafu, André Stander alikuwa ni polisi ila aliwatesa Waafrika kusini balaa. Sina imani kabsa na mtu linapokuja suala la fedha au mali yangu.
 
Unless ilo gari litakalo beba muokoto liwe na CCTV cam, namaanisha
Iive CCTV just incase side b uwe na Ushahidi, maisha yalivyo tough huo upande plus walivyo addicted na mserereko . Kupigwa Tukio ni nje nje

Siku izi kubeba maokoto mengi si big deal ni kujitakia matatizo yanayoepukika
Aisee
 
Habari Wakuu!
Binafsi naomba nichangie hivi,

Kutokana na mfululizo wa matukio ya hivi karibu kutoka kwa Jeshi la Polisi sina imani kabsa na escort yao, kwani imani yangu ni ndogo kama umepata kutazama tamthilia ya The Kill Point ndo uhalisia wa maisha sasa hivi. Sio Polisi wa Tanzania tu hata Marekani, pesa ama madini ni yangu hivyo ni juu yangu kutafuta ulinzi kutoka makampuni binafsi ya usalama kama GardaWorld na mengine ambayo yanaweza kutoa huduma hiyo kwa ufanisi zaidi.

Kwa mtu ambaye ana macho na masikio sio mara ya kwanza au ya pili kuona polisi wakibariki matukio ya ovyo sana kwenye ulinzi na usalama. David Mack alikuwa ni polisi ila alikwenda kuiba zaidi ya 1,812,220,000 kwa pesa za madafu, André Stander alikuwa ni polisi ila aliwatesa Waafrika kusini balaa. Sina imani kabsa na mtu linapokuja suala la fedha au mali yangu.
Asant kwa mchango murua mkuu
 
Back
Top Bottom