St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
Subirini matokeo ya uchaguzi wa 2020 ndipo mtakapogundua kuwa chama kilijengwa na Dr Slaa na sio Mbowe kama mnavyojaribu kuaminisha watu..
imara kwa kula ruzuku peke yake or??Imara kwa lugha nyingine
Jifunze kiswahili kwa mapana yake
Toa T weka D
Ninachojua slaa ambae mlimnunua aliondoka kabla ya uchaguzi na chama kiliitisha ccm Mpaka mkaiba kura za rais wetuSubirini matokeo ya uchaguzi wa 2020 ndipo mtakapogundua kuwa chama kilijengwa na Dr Slaa na sio Mbowe kama mnavyojaribu kuaminisha watu..
Mbona husemi wenyeviti wengine....Mrema.cheyo..lipumba.....kwanini Mbowe anawauma sana..Mbowe dikteta tuu hana lolote wewe toka 1998 yeye tu ndo mwenyekiti tukimpa uraisi jee c ndo atakuwa kama mseveni
Mu7 alikuja leo alionana na Mbowe ???Mbowe dikteta tuu hana lolote wewe toka 1998 yeye tu ndo mwenyekiti tukimpa uraisi jee c ndo atakuwa kama mseveni
Sawa umeeleweka maelezo yako swali atetee kwa kumueleza nani ili haya yanayotokea kwa wapinzani yazibitiwe yasitokee tena?. Policcm unaiyona ndio wanafanya kila njia kuudhoofisha upinzani. Malalamiko apewe nani? Serikal ndio mtatuzi WA hayo Malalamiko?Hakuna cha madhubuti wala nini, Mbowe yuko soft sana siku hizi, kawa muoga sana, watu wake wanaonewa na kuumizwa kila siku hakuna kitu cha maana kinafanyika zaidi ya press zisizo na kichwa wala miguu, unaambiwa Mbunge wako kaumizwa na police huko na kalazwa mahabusu bila kosa unashindwa kusimama kiume kumtetea, upole huu wa upinzani ndo unafanya haki zinaminywa na katiba haifuatwi, upinzani umekua wa kimaneno zaidi kuliko vitendo, siku watu wagome kuonewa afu police waue watu zaidi ya 20 muone hii nchi itakavyokua na adabu... Ila kwa mwendo huu wa upinzani, haki tusahau.
Umwamba WA ccm uko wapi?Wewe kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri KWAMBA CCM NI MWAMBA HASWA!
KabisaWewe kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri KWAMBA CCM NI MWAMBA HASWA!
Hujanielewa..Ninachojua slaa ambae mlimnunua aliondoka kabla ya uchaguzi na chama kiliitisha ccm Mpaka mkaiba kura za rais wetu