Uongo Wikipedia kuhusu Dini Tanzania

Uongo Wikipedia kuhusu Dini Tanzania

Mkuu, nashangaa sijui kwa nini hili limekuuma... Kama mnataka zaaneni ili muweze kuwa wengi kuliko wa upande wa pili... Its not our faulty that we are more than you guys...
The World is full of ignorant people, smart people are very few in number, the same applies in religious statistics in Tanzania.

sent from Sokoro nkorambokande
 
Mkuu, nashangaa sijui kwa nini hili limekuuma... Kama mnataka zaaneni ili muweze kuwa wengi kuliko wa upande wa pili... Its not our faulty that we are more than you guys...
Hii nayo ni NONDO tosha kabisa!!!
 
It has been verified by a source who claims she was there that then-CIA Director William Casey did in fact say the controversial and often-disputed line “We’ll know our disinformation program is complete when everything the American public believes is false,”
--- hivi ndivyo link yako anavyoanza kuelezea kua imethibitishwa na chanzo/mtu "anaedai" alokuepo wakati director wa CIA akikiri hilo!!! Na wewe unaniita mimi mjinga kwa kukuuliza unaiamini vipi hiyo link? Kweli wewe umekua brain washed!!!!!

Na ukitaka zipo nyingi usihangaike na niliyokutumia vitu vingi sana wanadanganya jaribu tu kutafuta utapata
 
It has been verified by a source who claims she was there that then-CIA Director William Casey did in fact say the controversial and often-disputed line “We’ll know our disinformation program is complete when everything the American public believes is false,”
--- hivi ndivyo link yako anavyoanza kuelezea kua imethibitishwa na chanzo/mtu "anaedai" alokuepo wakati director wa CIA akikiri hilo!!! Na wewe unaniita mimi mjinga kwa kukuuliza unaiamini vipi hiyo link? Kweli wewe umekua brain washed!!!!!

Haya nimekutana na nyingine hii aliyeandika alikuwa executive assistant wa deputy director wa CIA

Propaganda and Disinformation: How the CIA Manufactures History
 
Naelewa mkuu lakini
Inakataa nilishajaribu nikaweka unknown wamefuta jaribu wewe

Kingine mamalaka zetu ziko wapi kuona kama data za nchi zinawekwa za hovyo inatakiwa wakemee
Lazima uweke source yako ukiedit.
Kwa mfano hiyo 65% Christians ni research ilifanywa na Pew Center.
We ya kwako umetoa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kweli ubongo wako una capacity kama username yako.
Una maana gani kusema hivyo.Au ulitaka ayo makadirio yao yawe vipi labda ili ujue ni sawa.Maana usikute una mawazo yako yaliyojificha nyuma ya hiyo hoja.Nijuavyo mim sio nchi zote zinafanya takwimu zawatu wake zikijumuisha na dini zao lakin hiyo haiondoi maana kua makadirio ya watu kidini hayapo toka vyanzo mbali mbali.Kwaiyo hayo ni makadirio tu kutoka kwa huyo aliyeweka hizo taarifa.
 
Haya nimesearch Kenya nimekuta hao hao jamaa wameweka takwimu za MAKABILA lakini hawakuweka za DINI.

Ndio muwe mnajua hawa watu ni hatari wanajua kumanipulate vitu.

Sasa sijui hizo za makabila kenya wamezipata wapi pia na ikawaje wakashindwa kupata za dini huko.

IMG_0648.PNG
 
Sipendi mada za Udini.

LAKINI;

Hii tabia eti ya kuoa wake wengi na kuzaa hovyo hovyo watoto wengi ili dini hiyo iwe na watu wengi eneo hilo ni upuuzi.

Matokeo yake tumejaziwa vijana wazururaji, na mapanya road mitaani.

TUBADILIKE;

Dini ni moyo wa mtu; Dini ni uhusiano binafsi wa mtu na Mungu wake katika kuyatenda yale mema aliyoamuru na si upuuzi mwingine.
 
Kinacho kusumbua wewe wala hakita badilisha walicho kiandika wikipedia, na nadhani wengi pia hawaijui wiki pedia inafanyaje kazi na wala hawajui CIA inafanyaje kazi. Hivyo endeleeni kudanganyana
Ss km huamini basi! Wikipedia kila mtu anaweza kuandika na kuedit chochote ndo maana waalimu wengi hawapendi wanafunzi wao waitumie km reference point! KAMA UNAAMINI WIKIPEDIA INA UHUSIANO NA CIA HAYA ENDELEA..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 558921 Habari ndugu,
Nimefungua wikipedia nlikuwa napitia nchi yetu hii TANZANIA lakini ajabu nimekuta takwimu za dini, lakini nijuavyo mimi nchi yetu huwa haina idadi wala makadirio kati ya WAISLAMU NA WAKRISTO.

Sasa hawa wikipedia wanadai hizi data wamezipata kutoka CIA.

Tanzania - Wikipedia
Mkuu wikipedia ni free encyclopedia hata wewe unaweza andika chochote pale na unaweza edit kitu ukaweka taarifa sahihi wakithibitisha wanaruhusu
 
Kinacho kusumbua wewe wala hakita badilisha walicho kiandika wikipedia, na nadhani wengi pia hawaijui wiki pedia inafanyaje kazi na wala hawajui CIA inafanyaje kazi. Hivyo endeleeni kudanganyana
fa50c47e9cc033441ea55dcd78067c2c.jpg
haya angalia hiyo screenshot alaf uniambie unaiamini hiyo wikipedia kwa kiasi gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 558921 Habari ndugu,
Nimefungua wikipedia nlikuwa napitia nchi yetu hii TANZANIA lakini ajabu nimekuta takwimu za dini, lakini nijuavyo mimi nchi yetu huwa haina idadi wala makadirio kati ya WAISLAMU NA WAKRISTO.

Sasa hawa wikipedia wanadai hizi data wamezipata kutoka CIA.

Tanzania - Wikipedia
Inajulikana idadi ya watanzania. Pia wakristu wanajua idadi yao sababu kila dhehebu linajia lina waumini wangapi.Ukitoa kwenye jumla utapata hesabu za harakaharaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom