Uongo Wikipedia kuhusu Dini Tanzania

Uongo Wikipedia kuhusu Dini Tanzania

Asante ndugu mi nashangaa watu wanaleta udini hata ingeandikwa 50% kwa 50% siyo sawa na pia CIA kupitia source zao wakiamua kuandika hicho kitu kwa wanavyoamini wao kwenye website zao au vitabu vyao hiyo ni shauri yao lakini kwenye page ya WIKIPEDIA AMBAYO INAHUSU NCHI YETU ilibidi vitu vingi vya takwimu vitolewe na serikali yetu au viwe approved na serikali.
Mkuu JF siku hizi ilishavamiwa na watu wa ajabu sana!

Mtu anakurupuka tu kucomment bila kusoma na kuelewa maudhui ya thread yenyewe!!
 
Kweli kabisa ndugu, maana yangu wahusika wa serikali wako wapi kuedit hayo mambo kwa mfano Hiyo hiyo WIKIPEDIA ingeandika Rais wa Tanzania ni Lowasa ingeabaki hivyo hivyo au wahusika wangehusika katika kubadili uongo huo...

Wikipedia kama walivyosema wadau wengine ni kutowachukulia seriously maana hata wakisema Prof. Lipumba ni Rais, hakuna haja ya kuwatilia maanani maana Wikipedia ni kama canvas ya kila mtu kutia graffiti yake anapojisikia hivyo serikali itapelekwa mchakamchaka wanaedit kitu mtu anaweka kingine muda huo huo.
 
View attachment 558921 Habari ndugu,
Nimefungua wikipedia nlikuwa napitia nchi yetu hii TANZANIA lakini ajabu nimekuta takwimu za dini, lakini nijuavyo mimi nchi yetu huwa haina idadi wala makadirio kati ya WAISLAMU NA WAKRISTO.

Sasa hawa wikipedia wanadai hizi data wamezipata kutoka CIA.

Tanzania - Wikipedia
uelewa mdogo kuhusu wikipedia ndio tatizo...jifunze kwanza ufaham zile taarifa za kwenye wikipedia zinaandikwa na kina nani kabla ya kushutumu,hata ww unaweza andika kwe wikipedia ukifuata masharti yao
 
CIA wana data nyingi kuliko hata google... They have all the information that is available below and above the Earth's crust!
 
Ndugu nimeanza kutumia wikipedia na mitandao siku nyingi sana ukitaka na ushahidi ntakupa nimekuwa nachangia mambo mbali mbali sana kuanzia michezo mpaka elimu.

Sasa muwe mnasoma kwanza sio kudakia mimi NIMEEDIT baada ya muda wakatoa na wakanitumia notification.

Na kwa taarifa yako kuna baadhi ya articles huwezi kuedit kirahisi au unaweza ukashindwa kabisa kuedit kwa sababu mbalimbali zinakuwa protected.

Kwa hivyo ni ushauri tu kuwa wahusika wetu wawasiliano nao labda wao wataweza kusikilizwa.
 
CIA wana data nyingi kuliko hata google... They have all the information that is available below and above the Earth's crust!

Mnajua msiwe mnaonyesha ujinga wenu mbele ya wengi mnajidhalilisha ili muonekane mnachangia, mada nyingine kama hamna cha kuchangia mnakausha tu au muulize tu mjifunze.

Haya hii hapa link inayokuonesha jinsi CIA WANAVYOTUMIA MEDIA KUPOTOSHA WATU
https://www.google.com/amp/www.glob...edia-to-distribute-disinformation/5424860/amp
 
Hizo takwimu ni kwa mujibu wa CIA. kama ulikua hujui CIA wanafahamu vitu vingi kuhusu nchi yako ambavyo hata raisi wako havijui. Kwa kifupi dunia ipo kiganjani mwao
 
Hizo takwimu ni kwa mujibu wa CIA. kama ulikua hujui CIA wanafahamu vitu vingi kuhusu nchi yako ambavyo hata raisi wako havijui. Kwa kifupi dunia ipo kiganjani mwao

Halafu kuhusu CIA kujua kila kitu sio kweli hizo hadithi za wajinga

Mitume na Manabii pamoja na Mashetani hawakujua kila kitu hata malaika hawajui kila kitu kwa mujibu wa imani yangu na kwa mujibu wa wanasayansi pia na kwa mujibu wa mtu yoyote.

Nimewapa link hapo CIA wakikiri kuwa huwa wanadanganya public sana kupitia media na njia nyingine.

Takwimu wanazitoa wapi yaani simple logic tu halafu hizo ni za kwao na mimi nachoshangaa kabisa ni kuwa hiyo issue serikali yetu long time haikutaka kujua idadi hiyo

Nachokwambia mfano wangeandika kuwa raisi wetu ni Lowasa lazma wahusika wangehusika lakini kwenye hili tena ambalo huwa wanalikataa sana mbona hawachukui hatua kutoa hizo data za uongo
 
Swali rahisi kwako, nini kimekufanya uamini hicho kilicho andikwa kwenye hiyo link????

Kaka kwaheri naona wewe hata kusoma hujui wapi nimeonesha kuwa nimeamini.

Mi nimekuonesha wao walivyobanwa wakakubali na tume ya kwao huko.

Sasa watetee useme pia kuwa hiyo link makusudi wameitengeneza ili kutudanganya kwa hivyo pia watakuwa bado waongo vilevile
 
CIA wana namna yao ya kupata data. Vyombo vya ndani vinaposhindwaga uchunguzi wa mauaji au chochote huita vyombo vya nje huku muda ukiwa umeenda sana. Kwa hiyo wao watakuwa na namna yao ya kupAta data.

HAYA NI MAMBO YA KITAARAMU SANA MWANANGU
''KITAALAMU''
 
Unasema kweli????Ngoja na mimi niangalie!!

Angalia mkuu halafu utanipa majibu tena hiyo factbook ni ya 2010.
lakini kuichukua hiyo data, wikipedia wameichukua 2017.
Kwa nilivyoelwwa ina maana hizo data ni za mwaka 2010 kurudi nyuma.
 
View attachment 558921 Habari ndugu,
Nimefungua wikipedia nlikuwa napitia nchi yetu hii TANZANIA lakini ajabu nimekuta takwimu za dini, lakini nijuavyo mimi nchi yetu huwa haina idadi wala makadirio kati ya WAISLAMU NA WAKRISTO.

Sasa hawa wikipedia wanadai hizi data wamezipata kutoka CIA.

Tanzania - Wikipedia
Ndio sisi hatuna makadirio ya dini ila CIA wanatujua idadi yetu!!!

Sikiliza Toka Kwangu!
 
Back
Top Bottom