GIUSEPPE
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 5,239
- 6,240
Hoja yako nyepesi. Hata tanzania tumesaidiwa sana na bado ni masikini. Pili hata China bado no Third world nazani lakini huwezi kulinganisha Israel au China na nchi za kiafrika. Nchi ya israeli kufika ilipofika ni kama miujiza maana inazungukwa na nchi maadui za kiarabu tena zenye mafuta na watu kibao na yenyewe haina mafuta.
Kwanza: Sihitaji pesa yako.Ninaomba mbadilishe chochote kile kwenye Wikipedia alafu mnipe mrejesho naahidi kuwapa pesa. Chochote kile ilimradi uthibitishe hilo, unionyeshe before and after kuedit. Badilisha hata mwaka wa kuzaliwa wa mtu yeyote
Naahidi kutimiza nadhiri yangu
Nitaamini vipi kama hiyo picha haikuwa photoshopped?Kwanza: Sihitaji pesa yako.
Pili:Mkuu kuna screenshot niliituma iliyokuwa ikimwelezea daudi bashite huko wikipedia ss kaangalie sshv kama kama yale maelezo ya kwny screen shot ndo yaliyopo sshv...means mtu yoyote anaweza kubadili data za Wikipedia long as amejisajili..thats why WALIMU na LECTURER WENGI HAWAPENDI WANAFUNZI WAO WATUMIE WIKIPEDIA MAANA DATA NYINGI NI ZA UONGO AU MAELEZO YAKE HAYAJITOSHELEZI.
Tatu: Sikulazimishi kuamini. Take it or leave it.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unamatatzio na hufuatilii nl events zinazotokea tz...Hayo maelezo yalikuwa famous kweli na watu wengi waliokuwa wanafatilia sakata la vyeti feki waliingia wikipedia na kujionea..hizo screenshots zilisambaa kwny social media nyingine...Nahisi nilikwambia KWAMBA SIKULAZIMISHI UAMINI..SO KM HUAMINI POTEZEA TU..SIO LAZIMA!!Kwanza: Sihitaji pesa yako.
Pili:Mkuu kuna screenshot niliituma iliyokuwa ikimwelezea daudi bashite huko wikipedia ss kaangalie sshv kama kama yale maelezo ya kwny screen shot ndo yaliyopo sshv...means mtu yoyote anaweza kubadili data za Wikipedia long as amejisajili..thats why WALIMU na LECTURER WENGI HAWAPENDI WANAFUNZI WAO WATUMIE WIKIPEDIA MAANA DATA NYINGI NI ZA UONGO AU MAELEZO YAKE HAYAJITOSHELEZI.
Tatu: Sikulazimishi kuamini. Take it or leave it.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unamatatzio na hufuatilii nl events zinazotokea tz...Hayo maelezo yalikuwa famous kweli na watu wengi waliokuwa wanafatilia sakata la vyeti feki waliingia wikipedia na kujionea..hizo screenshots zilisambaa kwny social media nyingine...Nahisi nilikwambia KWAMBA SIKULAZIMISHI UAMINI..SO KM HUAMINI POTEZEA TU..SIO LAZIMA!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kwa utaratibu uliopo Wikipedia wa mtu kujiandikia anachokijua... Sasa uhakika wa kuwa hizo takwimu amezipata CIA unatoka wapi? Pengine aliamua tu kuandika chanzo ambacho yy (aliyeweka hizo data) anaamini ni chanzo sahihi.Mleta mada naona wengi hawajakuelewa bado!! Mleta mada kauliza kua in Tanzania watu hawahesabiwi kwa dini zao,sasa hao CIA wamepata wapi hiyo accurate figure?
Naona umewakamata..Hakuna aliye-edit akaleta mrejesho.Kila mmoja anaona rahisi kuedit habari Wikipedia Ila hakuna anayeleta mrejesho.Ungeokoa nguvu na muda kwa kuedit kitu na kuthibitisha kwamba mtu yeyote wakati wowote anaweza kuedit Wiki badala ya kuendeleza hizi ngonjera mnazodanganyana vijiweni.
Au page inayoweza kuwa edited ni ya Bashite tu zingine haiwezekani? Kaedit hiyo ya Makonda basi kisha leta mrejesho
Piga kimya basi..maana naona unakichwa kizito..Wewe unamatatzio na hufuatilii nl events zinazotokea tz...Hayo maelezo yalikuwa famous kweli na watu wengi waliokuwa wanafatilia sakata la vyeti feki waliingia wikipedia na kujionea..hizo screenshots zilisambaa kwny social media nyingine...Nahisi nilikwambia KWAMBA SIKULAZIMISHI UAMINI..SO KM HUAMINI POTEZEA TU..SIO LAZIMA!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly Mkuu. Hii ndo point yangu muda wote, Wiki isn't perfect but isn't that sloppy either.Naona umewakamata..Hakuna aliye-edit akaleta mrejesho.Kila mmoja anaona rahisi kuedit habari Wikipedia Ila hakuna anayeleta mrejesho.
Wikipedia sio reliable 100% lakini hawaandiki vitu vya Uongo pia.
Kumbe wewe ni mdiniImefika wapi ISRAEL!? Hiyo ni mada NYINGINE, ukitaka ntakupa vitu hapa sio m na haijazungukwa na maadui wakati wanabebwa kwa malaki kama mbuzi wamepelekwa,na wapalestina wakawapokea,WAINGEREZA NA BAADHI YAO WAKAANZA DHULUMA lakini kusema kazungukwa na maadui sio kweli
Ntakupa mf ukuongelea UJERUMANI Mtu atasema VW , BENZ, AUDI , BMW na viwanda vya kila aina hali kadhlika ITALY , UINGEREZA NA nchi nyingi za ULAYA.
Lakini Israel muulize mtu yoyote huwa tunaaijua wakati ikiua Wapalestina kwa silaha wanazosaidiwa na USA.
Sasa China usifananishe na ISRAEL kwa maana population yya ISRAEL NI NDOGO SANA hivyo hawana sababu ya kuwa hata na masikini kwa misaada yote wanayopokea.
Sasa propaganda imepigwa na bado inapigwa kuonesha Israel ni Taifa kubwa kama vile lina uwezo wa kutengeneza chochote mara MOSAD ndio best agency duniani yaani ni propaganda mwanzo mwisho na huu uongo wao wameanzaa makarne na makarne yaliyopita.
Kumbe wewe ni mdini
Post yako ni nzuri ila koment zako zinaonyesha unaugua ugonjwa wa udini km babu yako hapo juu
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Naona umewakamata..Hakuna aliye-edit akaleta mrejesho.Kila mmoja anaona rahisi kuedit habari Wikipedia Ila hakuna anayeleta mrejesho.
Wikipedia sio reliable 100% lakini hawaandiki vitu vya Uongo pia.
Acha kufuga ujinga,nani kakwambia kua Kanzu ndio Dini?Wewe hizo takwimu zimekuathiri kwa namna GAni???
Na unataka mamlaka zichukue hatua gani????
Ili iweje kwani hizo takwimu za Wikipedia zinatumika kwenye masuala ya nchi yetu???
Na hilo halipingiki Muslim ni wachache tanzani kuliko christian
Kwa mfano mimi nimesoma waislam nimekuja kukutana nao advance mkuu
Na waislam wapo baadhi ya mikoa tu kuna baadhi ya sehemu huwa wanawashangaa hata kanzu wanaita GAUNI
Sent using Jamii Forums mobile app
Israel waislamu ni wengi kuliko christians,tumia hicho kisimu chako kupata elimu kuliko kukitumia kwa kutokwa povu humu jf au kuandika usichokijua.Israel kuna dini nyingi tofauti wapo Judaism, Islam na pia Christians.
Kama vile ninavyoelewa Taifa la Marekani, Urusi na China ni mataifa makubwa kabisa na waislamu ni wachache .
Sasa kama kuongea facts kuhusu israel ni kuonekana MDINI hayo ni mawazo yako.