Uongo Wikipedia kuhusu Dini Tanzania

Uongo Wikipedia kuhusu Dini Tanzania

Mnajua msiwe mnaonyesha ujinga wenu mbele ya wengi mnajidhalilisha ili muonekane mnachangia, mada nyingine kama hamna cha kuchangia mnakausha tu au muulize tu mjifunze.
Mkuu, nashangaa sijui kwa nini hili limekuuma... Kama mnataka zaaneni ili muweze kuwa wengi kuliko wa upande wa pili... Its not our faulty that we are more than you guys...
 
Mkuu, nashangaa sijui kwa nini hili limekuuma... Kama mnataka zaaneni ili muweze kuwa wengi kuliko wa upande wa pili... Its not our faulty that we are more than you guys...

Hainiumi kitu ni kuwa ni kitu sensitive kinaandikwa kwa mujibu wa CIA bila kuwepo kwa ridhaa ya nchi yetu mimi sipingi tu hivyo hata wangeandika vipi kwa maana hiyo source inabidi itoke kwetu sio CIA.

Mi nataka tu hatua ichukuliwe na watu wetu huku kupinga takwimu ambazo kwetu hazipo wala haziwezi kupatikana kwa utaratibu tulionao.
 
Wikipedia hata wewe uki-subscribe tu unaweza kuweka chochote ukipendacho. Hivyo usiiamini kwa 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli. Hata Yeye aki-subscribe anaweza kubadilisha na kuweka figures anazotaka. Wikipedia unasoma na kuamini at your own risk. Yapo mengi tu ya kwel, ila hayakosekanii machache yasiyo ya Kweli, kwa kusudi au bahati mbaya. User discretion advised.
 
WIKIPEDIA NI SHAMBA LA BIBI..so mkuu wala usipate shida..kama UNAZO DATA SAHIHI nenda UKAEdit tu..pale kila mtu anaweza fanya yake..mfano kaangalie "yule Mkuu wa mkoa" wamemwandikaje..utacheka

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu kuhusu CIA kujua kila kitu sio kweli hizo hadithi za wajinga

Mitume na Manabii pamoja na Mashetani hawakujua kila kitu hata malaika hawajui kila kitu kwa mujibu wa imani yangu na kwa mujibu wa wanasayansi pia na kwa mujibu wa mtu yoyote.

Nimewapa link hapo CIA wakikiri kuwa huwa wanadanganya public sana kupitia media na njia nyingine.

Takwimu wanazitoa wapi yaani simple logic tu halafu hizo ni za kwao na mimi nachoshangaa kabisa ni kuwa hiyo issue serikali yetu long time haikutaka kujua idadi hiyo

Nachokwambia mfano wangeandika kuwa raisi wetu ni Lowasa lazma wahusika wangehusika lakini kwenye hili tena ambalo huwa wanalikataa sana mbona hawachukui hatua kutoa hizo data za uongo
Mnajua msiwe mnaonyesha ujinga wenu mbele ya wengi mnajidhalilisha ili muonekane mnachangia, mada nyingine kama hamna cha kuchangia mnakausha tu au muulize tu mjifunze.

Haya hii hapa link inayokuonesha jinsi CIA WANAVYOTUMIA MEDIA KUPOTOSHA WATU
https://www.google.com/amp/www.glob...edia-to-distribute-disinformation/5424860/amp
Kinacho kusumbua wewe wala hakita badilisha walicho kiandika wikipedia, na nadhani wengi pia hawaijui wiki pedia inafanyaje kazi na wala hawajui CIA inafanyaje kazi. Hivyo endeleeni kudanganyana
 
Kinacho kusumbua wewe wala hakita badilisha walicho kiandika wikipedia, na nadhani wengi pia hawaijui wiki pedia inafanyaje kazi na wala hawajui CIA inafanyaje kazi. Hivyo endeleeni kudanganyana

Kubadilika hata wasipobadilisha lakini watu wetu watake action hata kukataa hizo takwimu.

CIA INAFANYA KAZI PIA KWA MANIPULATION YA INFORMATION KATIKA BAADHI YA KAZI ZAO KASOME HAYA MAMBO MBONA YAKO WAZI.
 
Ndugu nakwambiiaa niiliweka UNKNOWN na ukitaka kujua kaangalie historia ya editing kwenye hiyo page
Sasa kumbe na wewe ulishabadilisha hapo! Waache na wengine waweke kile wanachopenda, maana mmeamua mfanyie ka mchezo kwenye hiyo page.
 
Sasa kumbe na wewe ulishabadilisha hapo! Waache na wengine waweke kile wanachopenda, maana mmeamua mfanyie ka mchezo kwenye hiyo page.

Kasome kaka vizuri kuanzia juu usiwe unaamka tu na kudandia mada
 
povu la nini si uhesabu na wew uje na data zako, sasa unabisha nini wakati hauja hesabu....

Kweli we teacher student sasa ina maana huelewi mimi serikali ya tanzania ikiniambia mko asilimia mia mi ntakubali sio CIA
 
Naelewa mkuu lakini
Inakataa nilishajaribu nikaweka unknown wamefuta jaribu wewe

Kingine mamalaka zetu ziko wapi kuona kama data za nchi zinawekwa za hovyo inatakiwa wakemee
unakemeA wikipedia?, get serious
 
kama unadini uli

ulishahesabiwa, hata walioenda kwenye kikombe loliondo walihesabiwa

Inawezekana ndugu, lakini kama ni hivyo serikali yetu si ikubali tu itutangazie kwani wakristo wakiwa wengi kuna shida gani
 
Unajua maana ya ESTIMATE?.Kama unajua maana yake jibu liko hapo.
 
Kaka kwaheri naona wewe hata kusoma hujui wapi nimeonesha kuwa nimeamini.

Mi nimekuonesha wao walivyobanwa wakakubali na tume ya kwao huko.

Sasa watetee useme pia kuwa hiyo link makusudi wameitengeneza ili kutudanganya kwa hivyo pia watakuwa bado waongo vilevile
It has been verified by a source who claims she was there that then-CIA Director William Casey did in fact say the controversial and often-disputed line “We’ll know our disinformation program is complete when everything the American public believes is false,”
--- hivi ndivyo link yako anavyoanza kuelezea kua imethibitishwa na chanzo/mtu "anaedai" alokuepo wakati director wa CIA akikiri hilo!!! Na wewe unaniita mimi mjinga kwa kukuuliza unaiamini vipi hiyo link? Kweli wewe umekua brain washed!!!!!
 
It has been verified by a source who claims she was there that then-CIA Director William Casey did in fact say the controversial and often-disputed line “We’ll know our disinformation program is complete when everything the American public believes is false,”
--- hivi ndivyo link yako anavyoanza kuelezea kua imethibitishwa na chanzo/mtu "anaedai" alokuepo wakati director wa CIA akikiri hilo!!! Na wewe unaniita mimi mjinga kwa kukuuliza unaiamini vipi hiyo link? Kweli wewe umekua brain washed!!!!!

Ndugu soma article yote ikiwezekana play video kabisa.

But spreading disinfo is precisely what the CIA would — and did — do.

This 1975 clip of testimony given during a House Intelligence Committee hearing has the agency admitting on record that the CIA creates and uses disinformation against the American people.


Question: “Do you have any people being paid by the CIA who are contributing to a major circulation — American journal?”

Answer: “We do have people who submit pieces to American journals.”

Question: “Do you have any people paid by the CIA who are working for television networks?”

Answer: “This I think gets into the kind of uh, getting into the details Mr. Chairman that I’d like to get into in executive session.”

(later)

Question: “Do you have any people being paid by the CIA who are contributing to the national news services — AP and UPI?”

Answer: “Well again, I think we’re getting into the kind of detail Mr. Chairman that I’d prefer to handle at executive session.”

It’s easy enough to read between the lines on the stuff that was saved for the executive session. Then-CBS President Sig Mickelson goes on to say that the relationships at CBS with the CIA were long established before he ever became president — and that’s just one example. Considering 90% of our media today has been consolidated into six major corporations over the past decade, it’s not hard to see that you shouldn’t readily believe everything you see, hear or read in the “news.”

“I thought that it was a matter of real concern that planted stories intended to serve a national purpose abroad came home and were circulated here and believed here because this would mean that the CIA could manipulate the news in the United States by channeling it through some foreign country,” Democratic Idaho Senator Frank Church said at a press conference surrounding the hearing. Church chaired the Church Committee, a precursor to the Senate Intelligence Committee, which was responsible for investigating illegal intelligence gathering by the NSA, CIA and FBI.

This exact tactic — planting disinformation in foreign media outlets so the disinfo would knowingly surface in the United States as a way of circumventing the rules on domestic operations — was specifically argued for as being legal simply because it did not originate on U.S. soil by none other than CIA Director William Casey in 1981.
 
Back
Top Bottom