Mkuu najua kama Serikali ya Tanzania hawafanyi sensa ya kujua idadi ya watu wa dini mbalimbali. Lakini CIA wanaweza kufanya sensa kwa siri yenye kuwapa makadirio. Kwa waliosoma hesabu au sayansi hadi level ya juu wanajua njia za kukadiria vitu flani. Kwa mfano watu wa tafiti za madini, mafuta na gesi wanafanya hesabu na kujua hapa chini kuna tani kadhaa za dhahabu au mapipa kadhaa ya ges au mafuta ambayo tutachimba labda miaka 20. Wanafanya hivyo bila kuchimba na kupima madini yote kwenye mzani au kuhesabu mapipa yote ya gesi/mafuta. Sasa nitakupa mfano hawa jamaa wanavyoweza kukusanya data za makadirio:
- Kupitia baadhi ya formu tunazojaza za kupatiwa misaada ya neti za mbu kwa hisani ya watu wa marekani.
- Kupitia takwimu za misaada ya dawa kama ARV.
- Kupitia katika taasisi zetu nyingi za serikali tunazoombwa kujaza dini zetu, Mfano Formu za kujiunga shuleni na vyuoni. Si unajua sikuhizi tunavyotumia ICT infrastructure kuhifadhi taarifa na wakati huo mifumo yetu sio secure.
- Watu wanaojiunga kupata ajira taasisi mbalimbali wanajaza dini yao, hapa usishangae watu wa idara nyeti wanajua makadirio ya idadi ya waumini wa kila dini na ndani ya hizo idara kuna watu ni moles wa kupeleka taarifa kwa majasusi wa nje ya nchi kama CIA.
NOTE:
Utaona kwamba kati ya hizi njia nilizopendekeza nyingi zinahusisha watu waliosoma angalau kiwango cha kugushi vyeti ( kidato cha 4) ambao hata ushahidi wa waliotumbuliwa kwa mambo ya vyeti feki (fake /bandia) wengi ni wakristo. Ushahidi ni watu waliotumbuliwa vyeti feki na serikali wengi ni hao waliosemwa na CIA.
Pia kwa mambo ya kwenda kupata ARV na chanjo mbalimbali ni rahisi sana kuwapata wa dini hiyo iliyoonesha wapo wengi kwa sababu ya aina ya maisha yao (eg. Kunywa pombe na kufanya ngono zembe na ndio maana waliko watu hao wengi ndio gesti nyingi na mikoa hiyo maambukizi ni mengi kuliko Zanzibari na maeneo mengine ya waumini wengi wa upande wa pili).
Jambo jingine hao wanaojiunga taasisi mbalimbali kwa mambo ya elimu na ajira kwa miaka mingi walikuwa watu wa dini hiyo iliyooneshwa asilimia kubwa na CIA kwa sababu mbalimbali. Ushahidi ni malalamiko ya muda mrefu ya waislam ( kumbuka wazee wa kulalamikia mfumo kristo au mfumo katoliki).
Mwisho kabisa haya ni maoni yangu na wala sio tafiti rasmi ya kisayansi, naweza kuwa nimepotosha au kosea mambo mengi niliyopendekeza. Nakaribisha kukosolewa.