Uongo wa TANESCO mwisho leo - September 14, 2015

Uongo wa TANESCO mwisho leo - September 14, 2015

Huku Tunduma majanga kabisa unakatwa saa moja au mbili kurudi usiku tano kasoro leo wamevunja rekodi wamekata saa sita kasoro asubuh
 
mkuu barabara inahtaji usimamizi na plans ya how to locate amount ya kutosha haidepends much na natural resources lakini umeme unadepends much on natural resources like gas and rain,hata kungekua na usimamizi vipi still kama hizo resources hazipo usimamizi na plans are nothing.

Yaaani wewe huna akili kabisaaaaaaaaaaaaaa.....sisemi kiushabiki wa kisiasa-...ILa ukweli mtupu
 
Hata vijijini ccm walikokuwa wanategemea kuvuna kura,umeme wa rea umekatwa ni giza nene,so serikali ya ccm inashindwa karibia kila inachokianzisha
 
Hata vijijini ccm walikokuwa wanategemea kuvuna kura,umeme wa rea umekatwa ni giza nene,so serikali ya ccm inashindwa karibia kila inachokianzisha
 
Tumaini Makene bebeni hoja hii, mpeni lowasa awaambie Watanzania tutazalisha umeme wa uhakika.

hii ni fimbo Mungu anatupatia, Piga huyo nyoka, Mkoloni Mweusi kichwani kabisa. Saizi watu hawana umeme , hawaingizi pesa. Hali ni mbaya. Hostility every corner of this country.

Drillers huku kwetu, millers na wajasiliamali wengine hali ni mbaya, mwezi wa tatu huu.

huko Dar wanalalamika leo mgao wameupata wiki tu? Sisi huku tunaoga, tulala, tunaamka mgao, na bili ya umeme ipo palepale 😡

Huku mkoa mgao ulianza mwezi wa saba na haupumziki kila siku, ni saa 12 asbh mpk saa 6 usiku na sasa tumezoea.

#Ukawa bebeni ajenda hii tutafurai hata kama mnatudanganya ni Bora kuliko Uongo wa CCM miaka 54. Walimdanganya bibi na mimi mjukuu? No way.

CCM imechoka
 
Last edited by a moderator:
Hii Afu Nyie Mnachekesha Kweli,kwan Mkiitoa Ccm Ndo Kina Cha Maji Cha Mtera Kinaongezeka?Af Ukawa Ikiingia Ndo Itakua Jenereta La Kusupply Umeme?
Kwani hii inahusu kina cha Maji !ni uzembe tu kwa sasa ukiuliza Tanesco shida ni nini hawasemi kwa kuwa bosi wao CCM anajua alishapiga hela za ESCROW na sasa Tanesco hoi hawana cha kulipia hata mafuta ndio maana wanakazana na gesi.Tukiwa na serekali serious ,issue ya Umeme na maji ya bomba itakuwa hisptoria sehemu kubwa ya nchi.Ebu check wenzenu wa Kenya na Uganda hawana hata hayo maporomoko wala gesi lakini ulishasikia shida ya umeme kama ya kwetu!wako serious wanajua viwanda vitakufa.Hivi leo mimi nimlete mwekezaji kweli aje kufanya nini!waliopo hoi
 
Magufuli kwisha kazi, toka ameanza kampeni hajawahi kutamka neno umeme. Anaongelea kuleta mageuzi ya viwanda bila umeme, like a headless chicken.

Mtanzania, kataa mgao wa umeme, kataa CCM kataa Magufuli. Hawana jipya kubadili kitu kwenye umeme, CCM ni ile ile

Nimekusoma mkuu.Viwanda bila umeme ni kama kutwanga maji kwenye kinu.Tukutane Octoba
 
Dah umeme ulikatika tangu jana asubuhi hadi muda huu haujarudi.

Wiki yenu moja mliyotangaza si imeshaisha? Turudishieni umeme.


Makakati wa sasa ni kuhakikisha RADIO MAGAZETI, TV STATIONS HAZIRUSHI HABARI ZA UKAWA, HILI NDILO UPDATE KWA SASA

Inashangaza sana kushuhudia ukandamizaji nchini, wa kitaalamu sana unaendelea, na hasa kwa watu wasiojua nini kinaendelea.
Inashangaza sana kushuhudia ukandamizaji nchini, wa kitaalamu sana unaendelea, na hasa kwa watu wasiojua nini kinaendelea
 
Mnamlalamikia nani..???subirini kofia,tshirt,kanga,zipauke .maana Watanzania kweli wa ajabu sana..ukipita mitaaani utasikia. Maneno ya kiushabiki shabiki tuu heti..Hapa kazi tuu,Magufuli ndio jembe.. Sasa tunawaambia Hapo Giza tuu...,Ukawa Mwanga kwa sanaaa.maana tumechoka kwa kweli Hila janga la umeme CCM mpaka wanamsingizia Mungu duuu ,Heti mvua inyeshe maji yajae.???
 
Soko la kariakoo ni mwezi sasa na zaidi hatuujui umeme wao ,malofa na wajinga tumeamua kuchoma pesa zetu kwa kuwasha majenereta tu sababu hatuna namna na gharama ni kubwa sana kulinganisha na kipato na vikwazo vilivyopo....Watz tunaomba mchague mabadiliko kwa sababu tumechoka aisee miaka 50 na zaidi wimbo wa umeme ni ule ule na sasa upo kwa sauti kubwa..
 
Hii Afu Nyie Mnachekesha Kweli,kwan Mkiitoa Ccm Ndo Kina Cha Maji Cha Mtera Kinaongezeka?Af Ukawa Ikiingia Ndo Itakua Jenereta La Kusupply Umeme?
Unajua we utakuwa taahira.., definitely..! Kwani Kenya wananini cha kituzidi kiasi wao Nairobi hawana mgao na sisi tunao?! Kwani umeme so tunaulipia.., kwani mafuta Uarabuni si yapo? Maji kwenye mabwawa so yapo? Gesi si ipo? Jua, makaa ya Mawe na upepo si vipo?! Sasa kwanini tuendelee kuteseka namna hii, tumemkosea nini Mungu?!
 
Huku Arusha ndio tunakoma maana usiku wanakata na mchana wanakata ni zaidi ya mwezi na nusu tunateseka bila maelezo . Labda tutapata umeme baada ya uchaguzi
 
We Jamaa Ni Mpumbavu Kweli Kwan Ccm Ndo Inaleta Mvua?Ccm Ndo Inaendesha Mashine Za Tanesco?Ccm Ndo Inaharibu Miundombinu Ya Umeme?Acheni Ujinga Sio Kila Kitu Ni Siasa Tu....

Kadri navyojitahidi kusoma post yako nisichukie nashindwa kwa kweli unatia hasira sana.
Tanesco umeme wa shida nchini ni matokeo ya uongozi mbovu kina cha maji ni tatizo jingine kushindwa kutatua ama kuja na njia mbada ni tatizo la uongozi.urasimu wa tanesco rushwa uzembe kutokujali hakuhusiani na mvua wal msimu ni uongozi mbaya.kwa kweli tatizo ni uongozi na ujue siasa ni kila kitu cja binadamu huwezi kukwepa siasa na ukicheza nayo matokeo yake ni tanesco
Tunailaumu ccm sababu ndio chama kinachotawala na viongozi wake ndio wameshindwa kusimamia haya halafu bungeni Ndiooooooooo
Tumeichoka hii hali
 
Wanakata saa 12 asubuhi wanarudisha saa 6 usiku.ivi ni kweli kitaeleweka tungojee iyo gas kutoka mtwara.
 
Back
Top Bottom