FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
Dah umeme ulikatika tangu jana asubuhi hadi muda huu haujarudi.
Wiki yenu moja mliyotangaza si imeshaisha? Turudishieni umeme.
Mimi niliona wameandika tarehe 7 mpaka 17.
Bado.
Dah umeme ulikatika tangu jana asubuhi hadi muda huu haujarudi.
Wiki yenu moja mliyotangaza si imeshaisha? Turudishieni umeme.
Hii Afu Nyie Mnachekesha Kweli,kwan Mkiitoa Ccm Ndo Kina Cha Maji Cha Mtera Kinaongezeka?Af Ukawa Ikiingia Ndo Itakua Jenereta La Kusupply Umeme?
acha upumbavu wa kutetea vitu kwa ajili tu ya mahaba yako CCM ni chanzo cha yote haya kama utashindwa kushirikisha ubongo kujua ukweli ni upi pole sana
Kigambon wamekata toka jana tarehe 13 saa mbili asubuh mpaka mida hii naandika hii reply ni saa 12 asubuh ya tarehe 14 umeme hatujauona...watu tunaenda mihangaikon nguo ziko kama vile zimetapikwa na mbuzi..hii sector nayo inahitaj mabadiliko
We Jamaa Ni Mpumbavu Kweli Kwan Ccm Ndo Inaleta Mvua?Ccm Ndo Inaendesha Mashine Za Tanesco?Ccm Ndo Inaharibu Miundombinu Ya Umeme?Acheni Ujinga Sio Kila Kitu Ni Siasa Tu....
lakin mkuu mbna kwenye mshahara wanataja kima cha chini??