morenja
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 4,518
- 1,855
EBU NGOJA TUONE!
NI KWELI 14 / 09 2015.
WALIHAIDI.
ii
Mpaka ccm itoke madarakani ndio ahadi zitatimizwa .sumaye kasema ccm ni kama mtandao wa simu.na kweli mtandao wa simu unanunua kifurushi kuongea dakika 5 internet mb 8 msg elfu 10.masàa 24 .niembie kama sio kutudhiaki na laghahi .Unaweza tumia msg elfu 10 kwa Massa 24.ataa ukifanya hesabu kuandika .kutuma mpaka kufika iwe dakika 1 achalia mbali kujibiwa .ndani ya Massa 24 kuna dakika 1770 .hizo msg elfu 10 utamalizaje .usisahau jinsi Makufuli anavyo mwaga ahadi kama hana akili nzuri.