Kwani kuna mahali nilikuambia kuwa Luka alikuwa miongoni mwa mitume 12 wa Yesu? Sijasema hivyo popote.
Luka na Marko ni wainjili, hawakuwa miongoni mwa mitume 12 wa Yesu. Nadhani unafahamu kuwa baada ya mitume wale 12 wa mwanzo, waliongezwa wengine 70 kipindi Yesu bado yupo Duniani, hawa hawakuitwa mitume, bali waliitwa mashemasi. Na katika kundi hilo unampata pia Stafano, shahidi wa kwanza kufia imani ya Kikristo. Lakini hawa 70 walimwona na kumsikia Kristo wao wenyewe. Wapo wanaosema kuwa Luka alikuwa miongoni mwa hawa, lakini Luka mwenyewe kwenye injili yake anasema aliyoyaandika ni kufuatana na maelezo ya wale walioshuhudia wenyewe juu ya yale aliyonena Kristo, na matendo waliyoyaona. Hivyo Luka akiwa na uelewa mzuri wa kuandika, aliongea na mitume wa Kristo, na kuweka kwenye maandishi.
Lakini ufahamu pia, hata hao mashemasi 70 au 72 wa mwanzo, wapo walioandika injili, wanatajwa 13, lakini injili zao, japo hazikukataliwa, hazikuingizwa kwenye biblia kwa sababu tofauti tofauti. Mojawapo:
1. Kuwa na maelezo ya matukio machache sana, sababu mojawapo ni kutokuwe na Yesu toka mwanzoni, kulenga tu matukio fulani ambayo wao waliyaona ni muhimu na kuacha mengine mengi. Hivyo injili hizo zinatambulika na Kanisa, na zimetunzwa, ingawa siyo sehemu ya biblia. Kwa hiyo hizi injili 4, ndizo zilizoonekana kubeba matukio karibia yote I muhimu, zikiwa na contents zinazofanana sana. Ufahamu kuwa hata injili ya Petro na Thomaso hasikujumuishwa kwenye biblia, kwa sababu z0ilikuwa na matukio machache. Hivyo huwezi kuipuuza injili ya Luka eti tu kwa vile hakuwa miongoni mwa wale mitume 12, wakati kuna injili kama ya mtume Petro na Mtume Thomaso haikuingizwa kwenye biblia kwa sababu ya kuwa na matukio machache. Inaweza kutokea mtu ambaye hakushuhudia tukio akawa na moyo na hamu sana ya kupata taarifa na kudocument kila alichoambiwa kwa uhakika na wale walioshuhudia, kuliko yule ambaye aliyashuhudia yote, yeye akayachagua tu aliyoyaona ni muhimu zaidi.
Na Yohana kwenye injili yake analisema hili, kuwa Yesu alitenda mengi ambayo hayajawekwa kwenye biblia, bali yaliyoandikwa yameandikwa ili mpate kuamini na kusaidiki.
Tulia usome bila jaziba , usiandike vitu visivyoelewekaLakini mathayo aliandika hiyo miaka miasita kabla ya uzushi na wala hakujipa utume na kadanganya umma kuwa katelemshiwa kama mzushi mwamedi
Hapana tito kundi moja na mwamedI manabii wa uongo na matapeli kama uliweza kumwamini tapeli mwamedi kuwa ukifa utakuwa unatomba malaya 72 kwa kila asubuhi si Unaweza mkubali na tito kama mtume wako?Tofauti ni kuwa unamtambua Tito Kama ni Nabii wako
hapana mashoga ni wale mtume wao walioambiwa waoshe mboo zao wakitoka kuingilia tupu za wanaume wenzao katika iman na wanyamaLakini unaweza kuandikwa kuwa nyingi wengine mumezaliwa mashoga , au vipi?
Kisichoeleka ni kile mzushi alioteshwa aanzishe diniTulia usome bila jaziba , usiandike vitu visivyoeleweka
Mathayo 28:18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
“Akanijibu akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.”
“Yesu akawaambia, Amin, nawaambia, ninyi mlionifuata, katika kuzaliwa upya, Mwana wa Adamu atakapoketi katika kiti cha enzi cha utukufu wake, ninyi nanyi mtaketi katika viti vya enzi kumi na viwili, mkiyahukumu makabila kumi na mawili ya Israeli.”
“Ahimidiwe Bwana, Mungu wa Israeli, kwa kuwa amewajia watu wake na kuwakomboa; naye ametuinulia pembe ya wokovu katika nyumba ya Daudi, mtumishi wake.”
“Amemsaidia Israeli, mtumishi wake, akikumbuka rehema zake; kama alivyosema na baba zetu, kwa Ibrahimu na uzao wake hata milele.”
Hayo ni mafundisho ya Nabii wako TitoKisichoeleka ni kile mzushi alioteshwa aanzishe dini
Hapana tito kundi moja na mwamedI manabii wa uongo na matapeli kama uliweza kumwamini tapeli mwamedi kuwa ukifa utakuwa unatomba malaya 72 kwa kila asubuhi si Unaweza mkubali na tito kama mtume wako?
Hapana tito kundi lake ni nabii mwamedi aliyesema kaota aanzishe dini na ukimwani ukifa utaenda kutomba malaya 72Endelea kumtambua Tito kama nabii wende ukachomwe ,
Injili ya Luka:
“Utambulisho wa Luka kama mwandishi unategemea hasa vifungu vya ‘sisi’ vilivyomo katika kitabu cha Matendo ya Mitume (kuanzia Matendo 16:10), ambavyo vinaonyesha kwamba Luka alikuwa mshirika wa Paulo katika huduma yake na aliandika simulizi la shughuli zake. (Biblia ya Amplified, Ukurasa 1153)”
Ushahidi pekee waliyonayo kuhusu Luka kuwa mwandishi pekee wa Injili hii ni dhana dhaifu inayotegemea neno “sisi”. Hili, kwa kiwango cha juu kabisa, ni jambo la kipuuzi! Dhana hii inaonyesha yafuatayo:
- Injili hii huenda ilibadilishwa au iliandikwa na watu wengine zaidi ya Luka.
- Mahali ilipoandikwa (kutungwa) haijulikani.
- Tarehe ilipoandikwa pia haijulikani.
Inafaa pia kutajwa kwamba mwandishi wa kitabu cha Matendo ya Mitume naye pia hajulikani, kama inavyoonyeshwa hapo juu:
“Ingawa mwandishi hajitambulishi kwa jina, ushahidi kutoka nje ya Maandiko na hitimisho linalotokana na kitabu chenyewe husababisha kufikia kauli kwamba mwandishi alikuwa Luka. (Kutoka NIV Bible Commentary [1], ukurasa 1643)”
Nabii tito mwenzake ni mzushi mwemedi hao ni manabii wauongo waliotabiriwa watakuja kupotosha ummaHayo ni mafundisho ya Nabii wako Tito
Mkuu waelezeDini zote ni uongo.
Biblia ni uongo.
Quran ni uongo pro max.
Hakuna Allah.
Hakuna Yesu.
Hakuna Mungu.
Hakuna Shetani.
Nabii tito mwenzake ni mzushi mwemedi hao ni manabii wauongo waliotabiriwa watakuja kupotosha umma
Tunaongelea injili ya Luka , usitoke kwenye madaSawa mtoa Mada:
Luka alikuwa Mwongo:
Muhamadi ndio mtume pekee wa kweli wa Allah:
Hadi akachaguliwa kuwa ni mtume wa mitume:
Aliruka Mbinguni akawaswalisha Nabii Iburahimu, Musa, Isa na kundi la Majini Waislamu:
Injiri ya Uwongo inakuwashia nini:Tunaongelea injili ya Luka , usitoke kwenye mada
Inayomuwasha ni wewe unayekuja na habari nyengine zisizohusu threadInjiri ya Uwongo inakuwashia nini:
We soma tu hicho kitabu chako Cha Majini:Inayomuwasha ni wewe unayekuja na habari nyengine zisizohusu thread