Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 36,229
- 60,549
Habari za Yesu zinanishangaza sana, yaani Nje ya Biblia hakuna mahali pengine unaweza kuzipata, kana kwamba nyakati zake hakukuwa na watu.Dini zote ni uongo.
Biblia ni uongo.
Quran ni uongo pro max.
Hakuna Allah.
Hakuna Yesu.
Hakuna Mungu.
Hakuna Shetani.
Akina Herode na kina Nebkadineza hadi leo Picha zao zipo ila za Yesu zimebaki ni za kubuni tu.
Ukuu wa Mungu nao ni wa nashaka sana, Shetani ni kama amenzidi nguvu. Maovu na waovu ni wengi kuliko watu wema.
Maafa kil leo na Mungu hawezi kuzuia, mafuriko, matetemeko, ukame na njaa vinaendelea kutia ushahidi na mashaka juu ya Uwepo na Ukuu wa Mungu.
Siasa za hovyo za kuuana na kutekana na bado siasa za kidini zinasema Watawala hutoka kwa Mungu. Hii maana yake Biblia ni kitabu kilichotungwa na wajanja kufanya Manipulation ya watu