luka

Lúka (Hungarian: Vágluka) is a village and municipality in Nové Mesto nad Váhom District in the Trenčín Region of western Slovakia.

View More On Wikipedia.org
  1. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mathayo na Luka daktari wa Rafikiake na Paulo nani anadanganya kuhusu kifo cha Msaliti Yuda?

    Mathayo 27:5: Yuda akaenda akajinyonga. Matendo ya Mitume 1:18: Akanunua shamba kwa ujira wa uovu, akaanguka kifudikoni, akapasuka katikati, matumbo yake yote yakamwagika.
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Una Luka Modrić, Kevin De Bruyne na Toni Kroos: Unaanzisha nani, nani benchi na nani unamuuza?

    Una wachezaji watatu wa kiwango cha juu kwenye kiungo cha kati: Luka Modrić, Kevin De Bruyne na Toni Kroos. Unatakiwa kufanya maamuzi matatu: mmoja aanze kikosi cha kwanza, mmoja akae benchi na mwingine auzwe. Kuanzisha: ......? Benchi: ......? Kuuza: .......? Kevin De Bruyne Luka Modrić...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Uongo wa Injili ya Luka

    Uongo wa Injili ya Luka Hapa kuna mifano muhimu inayoonyesha kwamba Injili ya Luka si historia sahihi, bali ina makosa, upotoshaji, na hadithi zilizorekebishwa: 1. Luka hakuwahi kuwa shahidi wa macho (Luka 1:1–4) Luka 1:1–2 👉 Tatizo: Luka anakiri wazi hakuwa shahidi wa macho Anategemea...
  4. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania “Kama Ilivyokuwa Siku za Nuhu, Ndivyo Itakavyokuwa Siku za Mwana wa Adamu” — Luka 17:26

    “Tulikuwa tunaishi kana kwamba jua halitaacha kuchomoza… mpaka lilipoacha.” Utangulizi: Mwakitosi hakuwa mtu wa kawaida. Alikuwa na hulka ya kupenda mambo ya anga, si kwa upuuzi wa mitandao ya kijamii wala filamu za kisayansi — bali kwa tafakuri ya kina na uchunguzi usio na lebo. Alikuwa na...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini tukio hili la kuvunjwa miguu halipo katika injili ya Marko, Mathayo wala Luka? Yohana kajichanganya kwenye simlizi

    (Yohana 19:31-33) Kwa kuwa ilikuwa siku ya maandalizi, Wayahudi hawakutaka miili ibaki msalabani siku ya Sabato, hasa kwa sababu Sabato hiyo ilikuwa siku kuu ya ibada. Hivyo waliomba kwa Pilato miguu ya wale waliokuwa wamesulubiwa ivunjwe na miili iondolewe. Kisha askari wakavunja miguu ya wa...
Back
Top Bottom