Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 44,375
- 105,197
Wapi nimesema si kwamba nilishawahi kufanya hivyo?Wewe umeelezea tu kuwa inawezekana kufanya hivyo na si kwamba ulishawahi kufanya hivyo au huwa unafanya hivyo.
Wapi nimesema si kwamba nilishawahi kufanya hivyo?Wewe umeelezea tu kuwa inawezekana kufanya hivyo na si kwamba ulishawahi kufanya hivyo au huwa unafanya hivyo.
Hebu nitajie hizo ibada za kuabudu Muhamad,Ibrahimu na Yesu kama mizimu...wanaabudu vp?Kwanza tambua hakuna dini hata moja ambayo haiambatani na mizimu. Watu wanaomba mizimu mingi mfano mzimu wa Adam; Ibrahim, Yesu, Muhammad , Musa. etc. Suala la mizimu ni msingi na kiunganishi na Mungu hakuna mtakatifu,mtukufu wala mwema mathalani we ni mfu basi ni mzimu.
Hakuna nilipokwambia umeshawahi kufanya hivyo au hukuwahi kufanya,ndiyo nimekuuliza kutaka kujua kama umewahi kufanya hivyo?Wapi nimesema si kwamba nilishawahi kufanya hivyo?
Na ndio maana nimekuuliza, kivipi unauliza swali ambalo nimekwisha jibu?Hakuna nilipokwambia umeshawahi kufanya hivyo au hukuwahi kufanya,ndiyo nimekuuliza kutaka kujua kama umewahi kufanya hivyo?
Labda nilighafilika,ulijibu vp?Na ndio maana nimekuuliza, kivipi unauliza swali ambalo nimekwisha jibu?
Nenda kwenye majengo yao utashuhudia mwenyewe mm naweka maiki pembeniHebu nitajie hizo ibada za kuabudu Muhamad,Ibrahimu na Yesu kama mizimu...wanaabudu vp?
Basi facts zake aweke sawa, hii mpya kusikia kuwa kuwa mwafrika anafia nchi.Prof amefact hapo
Kwanza nawasalimu kwa amani na furaha juu ya wrote walio katika mda huu macho. Mm binafsi ni MTU ambae najipambanua kuwa napinga na nazichukia dini za nje ndani ya bars la Afrika.
Na katika hili sitaacha kuwakumbusha watu wa Afrika ya kuwa tusikubali kuamini kuwa Afrika hakukuwa na hakuna dini. Dini za Mashariki ya kati zinamafunzo yasio sahihi kwa Afrika kwa sababu zifuatazo.
1. Zinamfanya mwafrika kuwa duni na masikini wa akili,(fikra),Mali na tamaduni(mtindo wa naisha. Kunafaida nyingi sana kufungamana na Imani za kiafrika kuliko hizo za nje ambazo hazina uhalisia.
2. Zinachochea Ubaguzi, Chuki,Kisasi n.k.
3. Hazitambui uwepo wa MTU mweusi popote duniani na hazimthamini.
4. Zipo Afrika kupeleleza na kutimiza matakwa yao tu. NB: Pamoja na matatizo mengi yanayosababishwa na dini hizo ila pia zinamafundisho mengi ya uwongo. Hata aibu hawana na hii yote imetokana na watu kushindwa kukubali vitu vya msingi na kufanya uwongo kuwa ukweli.
1. Shetani ni kiumbe na anaishi.
Watu kwa makusudi wanajitia ujinga na kufikia hatua ya kuamini kuwa shetani aliumbwa na anaishi duniani. Maovu yote yametokana na yy na mazuri ni kwa mungu. Mafundisho ya namna hii yanaonyesha ni kwa namna gani wamekuwa wakitudanganya. Iba,UA,Dhurumu alafu singizia shetani amekushawishi.
2. Kifo kinasababishwa/kuletwa na malaika anaetekeleza amri ya mungu. Mafundisho haya yanazihirisha ni namna gani mafundisho yao yote ni batiri na ni yauongo. Mazingira na hali yako ndio hupelekea kifo.
3. Kuna Malaika duniani na wanaishi na kufanya kazi zao.
4. Shahawa ni najisi na haitakiwi. Sisi sote ni matokeo ya shahawa.
5 Uchawi haupo na usiamini kutenda. Hapa naamini wote mnajua nguvu za giza zilivyo na athari ktk ulimwengu huu wa Mwili.
https://https-www-jamiiforums-com.0.freebasics.com/threads/ukweli-usiosemwa-juu-ya-dini-za-kiafrika.1589649/?iorg_service_id_internal=925946837445621;AfrVJkx5iXIEADh0
Saizi wameungana kwa denda mashehe na mapandre yaani full kunyonyana mate. Denda tu na hawa watu wanajua wanachofanya na wamoja.
INAENDELEA
Unaweza ukashuhudia kitu ila usielewe ni nini hasa kinachoendelea.Nenda kwenye majengo yao utashuhudia mwenyewe mm naweka maiki pembeni
Awali ulikuwa unaenda kama shabiki sasa nenda kama unataka jifunza na kuelewa na amini utanpa jawabuUnaweza ukashuhudia kitu ila usielewe ni nini hasa kinachoendelea.
Nani kasema Mungu hayupo?Sasa km unaamini uchawi upo
Unashindwaje kuamini na nguvu ingine(ya Mungu)kuwepo?
Ungesema kuna mafundisho baadhi ya uongo wanatulisha ama baadhi wanapotosha ningekuelewa,rudia kuandika Uzi huu
Ww unadai wao ni Ndugu na Ww ila wao hawakutambui. Wakiwa huku wanajifanya wote wamoja ila Ww nenda kule utatengwa na kunyanyapawa zaidi ya mbwaBasi facts zake aweke sawa, hii mpya kusikia kuwa kuwa mwafrika anafia nchi.
Mimi ni ndugu na muislam yoyote, ata awe anatoka makorokoroni. Suala la fulani ananitambui au hanitambui hilo kwangu halina umuhimu. Sisi tunafundishwa, Baya hulipwa kwa jema. Kwaio ondoa dhana kama kuna Muislam anafia Saudia, huo ni ujinga wa kupitiliza. Inaonekana watu hawajui hata chimbuko la Jina Saudia.Ww unadai wao ni Ndugu na Ww ila wao hawakutambui. Wakiwa huku wanajifanya wote wamoja ila Ww nenda kule utatengwa na kunyanyapawa zaidi ya mbwa
Mimi ni ndugu na muislam yoyote, ata awe anatoka makorokoroni. Suala la fulani ananitambui au hanitambui hilo kwangu halina umuhimu. Sisi tunafundishwa, Baya hulipwa kwa jema. Kwaio ondoa dhana kama kuna Muislam anafia Saudia, huo ni ujinga wa kupitiliza. Inaonekana watu hawajui hata chimbuko la Jina Saudia.
Kwa uchache tu, Jina Saudia limetokana na ukoo wa kifalme Al Saudi. Kabla ya hawa jamaa, hakukuwa na taifa liitwalo Saudia Arabia.Hebu tujuze kuhusu Saudia_hata kwa uchache
Amelewa na utamaduni wa watu huyoHebu tujuze kuhusu Saudia_hata kwa uchache
Watu ndio wana-frustrate kwa kubeba mizigo ya watu na kuacha ya kwao. Mm nawakumbusha huo mzigo sio wako muutue na mbebe wenu.Frustration jina hili pekee linanifanya nitafakali sana uzi wako nahisi umechanganyikiwa
Kuna watu wanashabikia hilo na wanakaririshwa vyuoni.Mwalimu JK aliwahi kusema "moja ya dhambi kubwa iliyofanywa na ukoloni ni kuwaaminisha waafrika kua hawakua na tamaduni zao na kama wangekua nazo,basi zilikua ni ushenzi tu"