Uongo wa dini za kihuni za Mashariki ya Kati(Middle East)

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Messages
6,068
Points
2,000

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2015
6,068 2,000
Kwanza tambua hakuna dini hata moja ambayo haiambatani na mizimu. Watu wanaomba mizimu mingi mfano mzimu wa Adam; Ibrahim, Yesu, Muhammad , Musa. etc. Suala la mizimu ni msingi na kiunganishi na Mungu hakuna mtakatifu,mtukufu wala mwema mathalani we ni mfu basi ni mzimu.
Hebu nitajie hizo ibada za kuabudu Muhamad,Ibrahimu na Yesu kama mizimu...wanaabudu vp?
 

popbwinyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
4,558
Points
2,000

popbwinyo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
4,558 2,000
Sasa km unaamini uchawi upo
Unashindwaje kuamini na nguvu ingine(ya Mungu)kuwepo?
Ungesema kuna mafundisho baadhi ya uongo wanatulisha ama baadhi wanapotosha ningekuelewa,rudia kuandika Uzi huu
Kwanza nawasalimu kwa amani na furaha juu ya wrote walio katika mda huu macho. Mm binafsi ni MTU ambae najipambanua kuwa napinga na nazichukia dini za nje ndani ya bars la Afrika.

Na katika hili sitaacha kuwakumbusha watu wa Afrika ya kuwa tusikubali kuamini kuwa Afrika hakukuwa na hakuna dini. Dini za Mashariki ya kati zinamafunzo yasio sahihi kwa Afrika kwa sababu zifuatazo.

1. Zinamfanya mwafrika kuwa duni na masikini wa akili,(fikra),Mali na tamaduni(mtindo wa naisha. Kunafaida nyingi sana kufungamana na Imani za kiafrika kuliko hizo za nje ambazo hazina uhalisia.

2. Zinachochea Ubaguzi, Chuki,Kisasi n.k.

3. Hazitambui uwepo wa MTU mweusi popote duniani na hazimthamini.

4. Zipo Afrika kupeleleza na kutimiza matakwa yao tu. NB: Pamoja na matatizo mengi yanayosababishwa na dini hizo ila pia zinamafundisho mengi ya uwongo. Hata aibu hawana na hii yote imetokana na watu kushindwa kukubali vitu vya msingi na kufanya uwongo kuwa ukweli.

1. Shetani ni kiumbe na anaishi.
Watu kwa makusudi wanajitia ujinga na kufikia hatua ya kuamini kuwa shetani aliumbwa na anaishi duniani. Maovu yote yametokana na yy na mazuri ni kwa mungu. Mafundisho ya namna hii yanaonyesha ni kwa namna gani wamekuwa wakitudanganya. Iba,UA,Dhurumu alafu singizia shetani amekushawishi.

2. Kifo kinasababishwa/kuletwa na malaika anaetekeleza amri ya mungu. Mafundisho haya yanazihirisha ni namna gani mafundisho yao yote ni batiri na ni yauongo. Mazingira na hali yako ndio hupelekea kifo.

3. Kuna Malaika duniani na wanaishi na kufanya kazi zao.

4. Shahawa ni najisi na haitakiwi. Sisi sote ni matokeo ya shahawa.

5 Uchawi haupo na usiamini kutenda. Hapa naamini wote mnajua nguvu za giza zilivyo na athari ktk ulimwengu huu wa Mwili.

https://https-www-jamiiforums-com.0.freebasics.com/threads/ukweli-usiosemwa-juu-ya-dini-za-kiafrika.1589649/?iorg_service_id_internal=925946837445621;AfrVJkx5iXIEADh0

Saizi wameungana kwa denda mashehe na mapandre yaani full kunyonyana mate. Denda tu na hawa watu wanajua wanachofanya na wamoja.

INAENDELEA
 

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
5,938
Points
2,000

chilubi

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
5,938 2,000
Ww unadai wao ni Ndugu na Ww ila wao hawakutambui. Wakiwa huku wanajifanya wote wamoja ila Ww nenda kule utatengwa na kunyanyapawa zaidi ya mbwa
Mimi ni ndugu na muislam yoyote, ata awe anatoka makorokoroni. Suala la fulani ananitambui au hanitambui hilo kwangu halina umuhimu. Sisi tunafundishwa, Baya hulipwa kwa jema. Kwaio ondoa dhana kama kuna Muislam anafia Saudia, huo ni ujinga wa kupitiliza. Inaonekana watu hawajui hata chimbuko la Jina Saudia.
 

ManchoG

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Messages
1,280
Points
2,000

ManchoG

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2017
1,280 2,000
Mimi ni ndugu na muislam yoyote, ata awe anatoka makorokoroni. Suala la fulani ananitambui au hanitambui hilo kwangu halina umuhimu. Sisi tunafundishwa, Baya hulipwa kwa jema. Kwaio ondoa dhana kama kuna Muislam anafia Saudia, huo ni ujinga wa kupitiliza. Inaonekana watu hawajui hata chimbuko la Jina Saudia.
Hebu tujuze kuhusu Saudia_hata kwa uchache
 

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Messages
5,355
Points
2,000

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2015
5,355 2,000
Mwalimu JK aliwahi kusema "moja ya dhambi kubwa iliyofanywa na ukoloni ni kuwaaminisha waafrika kua hawakua na tamaduni zao na kama wangekua nazo,basi zilikua ni ushenzi tu"
 

Forum statistics

Threads 1,355,859
Members 518,781
Posts 33,121,559
Top