Uongo wa dini za kihuni za Mashariki ya Kati(Middle East)

Basi mtumikie shetani Kama hutaki kumtumikia Mungu, sijakaririshwa Bali ni uamuzi wangu mwenyewe baada ya kujiuliza lengo la kuepo kwangu duniani na baada ya kuuona udhaifu wangu
Shetani sio kiumbe na uwongo tu kusema ni kiumbe na anatenda kazi ya ushawishi wa uovu.
Shetani ni kiumbe asiyekuwepo na kuundwa kwake ni uthibitisho kuwa vitabu na imani za mashariki ya kati ni MBINU za kuitawala dunia kwa masilahi binafsi
 
Mababu zako walikuwa wanaomba mizimu,kwa unavyofikiri wewe mizimu ni nini? Yani kwa akili yako mtu ambaye amekufa na tukamzika ndiyo awe na nguvu ya kuweza kutatua matatizo yetu ambao sie tuko hai?
 
Uislamu umeletwa na waarabu na ukristo umeletwa na wazungu na hao wote walikuwa na imani za mababu zao ambazo ziko kinyume na uislamu na ukristo,halafu pia hoja ya kwamba nani kaleta dini haina mashiko sana kwa sababu hata sasa kuna wahindi kibao waislamu huja hata huku Tz kwa ajiri ya dini na tunajua wahindi wana imani zao za asili. Hizi dini zimesambaa sehemu nyingi duniani ila waafrika kwa vile tumezoea kulalamika basi tunajiona kama hizo dini tuliletewa sie tu
Mleta uzi kaongelea afrika
Hayo mabara mengine will speak for themselves
 
Mababu zako walikuwa wanaomba mizimu,kwa unavyofikiri wewe mizimu ni nini? Yani kwa akili yako mtu ambaye amekufa na tukamzika ndiyo awe na nguvu ya kuweza kutatua matatizo yetu ambao sie tuko hai?
Kwa nini yehova alikuwa anataka damu,achinjiwe kondoo ikiwezekana hata mtu!!!!
Kama sio uchawi ni nini?!!!
 
Ushawahi kwenda hospitali hata mara moja na kukutana na doctor kisha ukamtaka athibitishe kuwa kweli ni doctor?
Umekeremisha kua kila anayevaa nguo nyeupe ni dokta na ndio maana huoni umuhimu wa kuhoji. Vazi leupe ni sare wanayovaa wafanyakazi wa hospitalini kuanzia manesi, madokta hadi sekretali

Sasa utajuaje kua uliyemkuta hapo ni dokta na sio nesi au sekretali wa hiyo hospitali, na hata kama ni dokta kweli we utajuaje kua dokta huyo ana taaluma ya kutibu ugonjwa unao umwa bila kuhoji??

Natoa hela yangu sitibiwi bure nina haki ya kuhoji ili nijihakikishie na ni lazima nidai vithibitisho kuonesha namna gani naithamini afya yangu.
 
Ndio maana nikakuuliza hilo swali,ushawahi kutaka uthibitisho wa huyo aliyevaa koti jeupe kuwa kweli ni doctor pale unapoenda hospitali? Maana huwa tunasikia wamekamatwa ma doctor feki ila baada ya muda wamekwisha toa hiduma kwa watu,sasa ndio nauliza kama wewe huwa unataka uthibitisho kwanza?
 
Mbona unauliza swali ambalo nimekwisha jibu?
 
Kwanza nawasalimu kwa amani na furaha juu ya wrote walio katika mda huu macho. Mm binafsi ni MTU ambae najipambanua kuwa napinga na nazichukia dini za nje ndani ya bars la Afrika.

Na katika hili sitaacha kuwakumbusha watu wa Afrika ya kuwa tusikubali kuamini kuwa Afrika hakukuwa na hakuna dini. Dini za Mashariki ya kati zinamafunzo yasio sahihi kwa Afrika kwa sababu zifuatazo.

1. Zinamfanya mwafrika kuwa duni na masikini wa akili,(fikra),Mali na tamaduni(mtindo wa naisha. Kunafaida nyingi sana kufungamana na Imani za kiafrika kuliko hizo za nje ambazo hazina uhalisia.

2. Zinachochea Ubaguzi, Chuki,Kisasi n.k.

3. Hazitambui uwepo wa MTU mweusi popote duniani na hazimthamini.

4. Zipo Afrika kupeleleza na kutimiza matakwa yao tu. NB: Pamoja na matatizo mengi yanayosababishwa na dini hizo ila pia zinamafundisho mengi ya uwongo. Hata aibu hawana na hii yote imetokana na watu kushindwa kukubali vitu vya msingi na kufanya uwongo kuwa ukweli.

1. Shetani ni kiumbe na anaishi.
Watu kwa makusudi wanajitia ujinga na kufikia hatua ya kuamini kuwa shetani aliumbwa na anaishi duniani. Maovu yote yametokana na yy na mazuri ni kwa mungu. Mafundisho ya namna hii yanaonyesha ni kwa namna gani wamekuwa wakitudanganya. Iba,UA,Dhurumu alafu singizia shetani amekushawishi.

2. Kifo kinasababishwa/kuletwa na malaika anaetekeleza amri ya mungu. Mafundisho haya yanazihirisha ni namna gani mafundisho yao yote ni batiri na ni yauongo. Mazingira na hali yako ndio hupelekea kifo.

3. Kuna Malaika duniani na wanaishi na kufanya kazi zao.

4. Shahawa ni najisi na haitakiwi. Sisi sote ni matokeo ya shahawa.

5 Uchawi haupo na usiamini kutenda. Hapa naamini wote mnajua nguvu za giza zilivyo na athari ktk ulimwengu huu wa Mwili.

https://https-www-jamiiforums-com.0.freebasics.com/threads/ukweli-usiosemwa-juu-ya-dini-za-kiafrika.1589649/?iorg_service_id_internal=925946837445621;AfrVJkx5iXIEADh0

Saizi wameungana kwa denda mashehe na mapandre yaani full kunyonyana mate. Denda tu na hawa watu wanajua wanachofanya na wamoja.

INAENDELEA
Mmmh
 
Mababu zako walikuwa wanaomba mizimu,kwa unavyofikiri wewe mizimu ni nini? Yani kwa akili yako mtu ambaye amekufa na tukamzika ndiyo awe na nguvu ya kuweza kutatua matatizo yetu ambao sie tuko hai?
Kwanza tambua hakuna dini hata moja ambayo haiambatani na mizimu. Watu wanaomba mizimu mingi mfano mzimu wa Adam; Ibrahim, Yesu, Muhammad , Musa. etc. Suala la mizimu ni msingi na kiunganishi na Mungu hakuna mtakatifu,mtukufu wala mwema mathalani we ni mfu basi ni mzimu.
 
Kwa nini yehova alikuwa anataka damu,achinjiwe kondoo ikiwezekana hata mtu!!!!
Kama sio uchawi ni nini?!!!
Walikuwa wanaomba Mungu kupitia msaada na maombi ya waliotangulia ili kuweka uzito wa maombi. Dini ipi haiombi kwa kuhusisha walikufa? Wanaposema kwa jina la Yesu wanamaana gani?. Neno mzimu wametoa ila ukweli ni kupitia mzimu wa Yesu.
 
Thibitisha mungu yupo kwanza maana naona umeanza na soga
Huyo ameaminishwa dini za Africa hazifundishi kuhusu mungu Bali ni mashetani,mizimu na ushetani. Kukataa dini sio kumkataa mungu na hili linajizihirisha kupitia uwepo wa dini na madhehebu tofautitofauti
 
Back
Top Bottom