Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,493
- 21,453
Aiseee nina rafiki yangu ni muongo balaa hata akisema anaenda choon hua simuamini.... Uongo unakera sana, unashusha heshima yako, huaminiki mbele ya jamii, unadharaulika, naona umeshaanza kuona watu wanakufanyia hayo ndio unajuta. pole sana anza sasa kusema ukweli kila ukitaka kusema uongo ilaani hiyo roho chafu.