Msaada: Nina aibu kupita kiasi, nifanyeje kuondokana na hali hii?

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
35,784
107,297
Wakuu, sorry if I will sound weird, ila hakuna jinsi bora kusema labda naweza pata tiba.

Nifanyeje ili niweze kuondoa aibu? Mwanzo jilijua ni utoto itapotea with ages ila mpaka umri huu hali iko vilevile na ndio kwanza inazidi kukua.

Huwa nawaza hivi siku nafunga ndoa mimi nitafanyaje? Naamini kabisa sitaweza kusimama mbele za watu.

Hivi kuna jambo lolote naweza fanya ili kuondoa hali hii kweli? As a man hadi najikuta nahisi kuna kitu nimekosa.

Msaada tafadhali wa kimawazo.
 
Conquer your fears, anza pole pole mpaka utazoea ila kikubwa tafuta hela....ukiwa na million kumi mfukoni isiyokuwa na matumizi rasmi unaweza goma kupisha msafara wa Raisi maana utajiona huna tofauti na leprezidaa
 
Nina tatizo kama lako

Nikaenda kwa psychologist nikajua nitapata labda dawa fulani, au kitu flani cha haraka

Nikashangaa anashauri the obvious; acha nyeto, tafuta outlets(sports, nenda church nk), jilazimishe kuwa karibu na watu, tengeneza ratiba ya siku na uifate, fanya mazoezi....

Najaribu nashindwa, psychologist nae nikaanza kumuonea aibu nishamtema.

Hapo kwenye 'jiamini tu' 'jilazimishe' pagumu hapo
 
Watu wasiri nyie😆😆😆
Kumbe na wewe ni mule mule
 
Nina tatizo kama lako

Nikaenda kwa psychologist nikajua nitapata labda dawa fulani, au kitu flani cha haraka

Nikashangaa anashauri the obvious; acha nyeto, tafuta outlets(sports, nenda church nk), jilazimishe kuwa karibu na watu, tengeneza ratiba ya siku na uifate, fanya mazoezi....

Najaribu nashindwa, psychologist nae nikaanza kumuonea aibu nishamtema.

Hapo kwenye 'jiamini tu' 'jilazimishe' pagumu hapo
Pole sana mdogo wangu,Mungu akusaidie
 
Back
Top Bottom