Uongo unanitesa, je nifanyeje niepuke aibu hii?

Uongo unanitesa, je nifanyeje niepuke aibu hii?

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
11,402
Reaction score
23,012
Nimekuwa muongo sana tangu nikiwa mvulana. Sasa nimekuwa baba mtu mzima ila bado nadanganya hata vitu visivyo na maana najikuta nimedanganya.

Nifanyeje ili niishinde kadhia hii maaana nina aibika na kuumbuka na kudanganya huku najikuta tu tayari nimesha danganya.
 
Nimekuwa mwongo sana tangu nikiwa mvulana. Sasa nimekuwa baba mtu mzima ila bado nadanganya hata vitu visivyo na maana najikuta nimedanganya.
Nifanyeje ili niishinde kadhia hii... maaana nina aibika na kuumbuka na kudanganya huku najikuta tu tayari nimesha danganya
Usikute tayari umeshatudanya kuhusu hilo tatizo ulonalo, Muongo haaminiki kabisa.
 
Dah umenifurahisha we jamaaa... haya baba mi ckushangai kuna watu waongo automatically
 
Dah umenifurahisha we jamaaa... haya baba mi ckushangai kuna watu waongo automatically
Ukiona hivyo yamemfika. Hasara zimekuwa nyingi kuliko faida. Huenda kazi nimepoteza, biashara zimepotea, marafiki wamepotea yaani uwongo umefukuza Kila kitu hadi mke
 
Uongo ni Asili ya mtu wala hauna dawa...maana Mimi kuna mtu mzima namjua lakin kwa uongo anatisha
 
Nimekuwa muongo sana tangu nikiwa mvulana. Sasa nimekuwa baba mtu mzima ila bado nadanganya hata vitu visivyo na maana najikuta nimedanganya.

Nifanyeje ili niishinde kadhia hii maaana nina aibika na kuumbuka na kudanganya huku najikuta tu tayari nimesha danganya.
Ccm uongo ni jeshima kubwa, kwahiyo endelea kupiha fix tu kamaaccm wenzako.
 
Inawezekana una ugonjwa wa anxiety au inferiority complex, hivyo unajawa na hofu ya kusema kweli. Tafuta tiba.
 
Kuna Mzee hapa kazn kwangu nimuomgo hatar
Lkn wajita na wasukuma ndyo waongo sana,kwani ww watoka kwenye makabila hayo Mkuu!
 
Back
Top Bottom