Uongo uliowahi kufanikiwa zaidi

Uongo uliowahi kufanikiwa zaidi

Clayton Paul

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
2,130
Reaction score
4,391
FB_IMG_16876385943133093.jpg

Ni uongo gani uliwahi kufanikiwa kukamata akili yako au maisha yako kwa muda mrefu.
Mimi binafsi

1. Shule
Nilienda kutafuta majibu ya maswali amabayo sikuwa nayo. Kumbe kusoma koote kule ilikuwa najifunza namna ya kujifunza.

2. Serikali
Nilidhani ipo kwaajiri yetu kumbe ipo kwa ajili ya watu hata tusiowajua. Nilidhani kuwa Serikali in awamu lakini kumbe Kuna Serikali Permanent ( Deep State ) ambapo wote ni vibaraka .

3.Sayansi
Niliamini Mambo mengi yamegunduliwa na Sayansi kumbe ilikuwa inajaribu kuelezea namna yalivyo tu.
Niliamini inatatua matatizo lakini kumbe ndio mfadhili namba Moja wa matatizo. Inatatua Moja inaleta kumi.

4.Cancer ni ugonjwa
Nilikuja kustuliwa kuwa kansa ni symptom.
Signo ( Tafsiri/ Ujumbe ) mbaya au protini kuwa mbaya. Gene zinapokea signal zincode protini inayotakiwa. Na Kama cell zote ni protin bhasi cell zinaundwa kutokana na signal ,mfano ukiwa na kidonda Autosignal inatoa taarifa regeneration ya ngozi inafanyika.

5. Kuweka akiba Benki unapata faida.

Ebhana weee ni mengi .
Ndugu msomaji funguka yako asee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom