Uoga wako wa utotoni uliishaje?

Uoga wako wa utotoni uliishaje?

Nilikuwa naogopa kutembea usiku pekeangu, ila alikujaga bro angu nilipokuwa naishi akanidanganya "sisi kwetu huwa sio waoga tunalindwa na mizimu et baba anatembeaga had saa nane usiku na haogopi"😂😂😂😂😂 toka hapo uoga ukaisha alaf nikaanza kupenda kutembea usiku kuliko mchana
 
Bado ninao
Malaria ndo mgonjwa unaongoza kwa vifo Tanzania ukimwi wa nna sijui! Kinachowatesa wengi ni kuwa wanauhusisha na kifo moja kwa moja. Ukweli ni kwamba ugonjwa una dawa hahahah
 
Kinachoongelewa kwenye mada hii ni uoga wa utotoni. Huo ndiyo mimi bado ninao!
 
mimi haujaisha nalala na Mwanga (Tochi) hadi leo
Naogopa kuogelea
Naogopa majengo marefu
yani mambo ni mengi
Kuogelea endelea kuogopa hivyo hivyo. Maji hayazoeleki. Kuna dogo mmoja mtaalam wa kuogelea alikufa Coco Beach mchana kweupe, ule upande wa kulia karibu na vibanda vya mihogo.

Ninaogelea kwenye swimming pool tu tena maji yasivuke kiunoni.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
mm sitaki maji ya aina yoyote kwakweli
Kuogelea endelea kuogopa hivyo hivyo. Maji hayazoeleki. Kuna dogo mmoja mtaalam wa kuogelea alikufa Coco Beach mchana kweupe, ule upande wa kulia karibu na vibanda vya mihogo.

Ninaogelea kwenye swimming pool tu tena maji yasivuke kiunoni.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nilikuwa jasiri sana nilikuwa siogopi kabisa nakumbuka kipindi hicho msimu wa maembe tulikuwa tunadamka usiku sana kweda kutafuta maembe tangu kipindi hicho nilikuwa jasiri sana
 
Mimi kwetu nimezaliwa wa kike peke yangu, kwa hiyo nilikua nalala chumba cha peke yangu, nilikua naogopa na ikifika usiku nalala na taa mpaka asubuhi, mama alikua ananitegea nimelala anaingia anazima taa,

Cha ajabu uoga huo haujaniisha hadi leo, siku Mr akisafiri sizimi taa hata moja ndani ya nyumba, kuanzia za sitting room,jikoni, bafuni, taa za nje koridoni na za chumbani zinawaka usiku kucha mpaka asubuhi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena nahamishia watoto wote chumbani kwangu ili nisione kama niko peke yangu mpaka akirudi ndio maisga ya kawaida yanaendelea, sijui huu uoga utaniisha lini mimi
 
Kuogelea endelea kuogopa hivyo hivyo. Maji hayazoeleki. Kuna dogo mmoja mtaalam wa kuogelea alikufa Coco Beach mchana kweupe, ule upande wa kulia karibu na vibanda vya mihogo.

Ninaogelea kwenye swimming pool tu tena maji yasivuke kiunoni.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Hapo huogelei bali unajichovya😂
 
Mimi kwetu nimezaliwa wa kike peke yangu, kwa hiyo nilikua nalala chumba cha peke yangu, nilikua naogopa na ikifika usiku nalala na taa mpaka asubuhi, mama alikua ananitegea nimelala anaingia anazima taa,

Cha ajabu uoga huo haujaniisha hadi leo, siku Mr akisafiri sizimi taa hata moja ndani ya nyumba, kuanzia za sitting room,jikoni, bafuni, taa za nje koridoni na za chumbani zinawaka usiku kucha mpaka asubuhi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena nahamishia watoto wote chumbani kwangu ili nisione kama niko peke yangu mpaka akirudi ndio maisga ya kawaida yanaendelea, sijui huu uoga utaniisha lini mimi
Una jini linaitwa 'cheketu' lazima libanduliwe baada ya hapo uoga kwako utakuwa nadharia tu...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957] jf kuna vituko sana mpka raha
 
Sio imani tu haya mambo yapo saizi nipo mlima bulbul nafanya maombi na ww nitakuweka kwenye maombi ya usiku usijari
Usiniweke kwenye maombi yako ndugu, nina imani yangu na nitamwomba Mungu ninaemwamini, hayo mambo ya majini mimi siyaamini usije tu ukajikuta unaniweka kwenye maombi ya majini na hivo unasali kweny sinui milima gani[emoji3][emoji3][emoji3]

Shukrani in advance
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957] jf kuna vituko sana mpka raha
Hawa ndio wale wanaoamini hata paka akilia nje ni pepo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom