Tit 4 Tat
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 736
- 1,000
Ndio ni jini hata ww unalo lkn lakwako linaitwa 'mkodombe' linakusaidia kwenye matumizi madogo madogo ya ubishi.mkuu hadi kuwa mwoga ni jini? haya madhehebu mapya yanawaharibu akili.
Ndio ni jini hata ww unalo lkn lakwako linaitwa 'mkodombe' linakusaidia kwenye matumizi madogo madogo ya ubishi.mkuu hadi kuwa mwoga ni jini? haya madhehebu mapya yanawaharibu akili.
Bora hivyo mkuu. Kifo cha maji hapana.Hapo huogelei bali unajichovya[emoji23]
we jamaa unaelekea... mungu akunusuru tu mapemaNdio ni jini hata ww unalo lkn lakwako linaitwa 'mkodombe' linakusaidia kwenye matumizi madogo madogo ya ubishi.