Uoga wako wa utotoni uliishaje?

Uoga wako wa utotoni uliishaje?

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,469
Natumai hamjambo wananzengo.

Karibu kila mmoja wetu utotoni alikuwa mwoga, hasa mida ya usiku hata ukitumwa ndani pekee ako huendi mpaka usindikizwe bt kuna tukio moja lilikokua sababu ya ule woga kutoweka hivo karibuni hapa kushare namna uoga ule ulimalizika.

Binafsi siku1 tulienda harusi ya mbali kidogo na washkaji, tukaazimia saa4 usiku ndo utakua muda wa kurudi, muda ulipofika wenzangu wakagoma kurudi, dah! nilitokwa kijasho chembamba maana kesho yake nilipaswa kwenda shule.

Nilijitoa mhanga wa kurudi peke angu huku nikijesemea liwalo liwe, nilitembea kwa woga sana huku nikilia kwa majuto kwa nini nilienda bt hatimaye nilifika home na tangu siku hiyo uoga uliisha.

Je, kwa upande wako woga wako ulimalizikaje?
 
Mie utotoni sehemu za starehe ilikua marufuku makubwa..sijawah kaa bar had umri wa 22yrs
Hom huez ikuta chupa ya bia hata kidg.
Kufanya kazi siku ya jumamos marufuku Wala kusafiri...hata kufua handkerchief nilikua nashindwa moyo unanisuta mno!

Shetani ana nguvu...Sana!
 
Mie utotoni nilikuwa naogopa mawingu,mvunja chungu(huyu nilikuwa nikisumbua kunywa uji wakimleta tu,uji unamalizwa fastaaaaa) na mjusi

Sijui hata ilikuwaje nikaacha kuogopa mawingu lakini mvunja chungu na mijusi naiogopa hadi sasa,nikiona hivyo vitu najisikia kulia
 
Nilikuwa sipendi kuoga, of course mpaka sasa! utotoni kukubali kuoga mpaka nitishiwe mende. Ukubwani kuoga mpaka nitishiwe kunyimwa mbunye na shemeji yenu, mara nyingi inabidi tuoge wawili na bafuni lazima maji yenye mdalasini, iliki n.k yawepo.
 
Nilikuwa naogopa vitu kama kinyonga, nyoka n.k...lakini kutembea usiku sijawahi kuogopa
 
Nilikuwa natishiwa chuga. Yani mtu anajificha sehemu afu anachukua chupa tupu anapuliza dah nilikuwa naogopa sana.
Af kuna mzee alikuwa anafukua vyoo.mfupi mweusii.muda mwingi anatembea kifua wazi dah ilikuwa nikimuona navuka barabara bila kuangalia magari aisee
 
Nilikuwa sipendi kuoga, of course mpaka sasa! utotoni kukubali kuoga mpaka nitishiwe mende. Ukubwani kuoga mpaka nitishiwe kunyimwa mbunye na shemeji yenu, mara nyingi inabidi tuoge wawili na bafuni lazima maji yenye mdalasini, iliki n.k yawepo.

Daah we jamaa utakuwa unatoka tanga🤣🤣🤣
 
mimi haujaisha nalala na Mwanga (Tochi) hadi leo
Naogopa kuogelea
Naogopa majengo marefu
yani mambo ni mengi
Nyie mnaoogopa Giza ndo watamu sasa nalisababisha Giza maksudi hapo Sasa utaanza kuimba mapambio tu..😂
 
Ni muoga ndio ila nashukuru huwa naumudu!.. sijisifii ila uoga ukizidi nao ni tabu!..
Nilikuwa muoga wa pikipiki nikiisikia tu mi moja kwa moja uvunguni mwa kitanda!.. Sasa moja ya bro wangu yule ndo alikuwa mtu anaekomesha kenge..! Alikuwa ananishika ananipakia then anaiwasha Sasa ilikuwa Kama napokezana nayo yenyewe ikilia nami nalia..😂
Nikaja kuona naogopa upuuzi tu!.

Sindano naogopa mpk leo na ukubwa huu sema sahivi naivumilia tu sio kuiogopa..😂 I don't like that stuff Kobe kabisa... Daktari akiwa anaiandaa lzm nianze kumuongelesha hapo huwa nabalance uoga na stori ya kumuongelesha huwa inapatikana hapohapo akishachoma na stori inaisha. 😂
Udogoni hunichomi sindano bila kunidanganya na biskuti au pipi na hapo si kwamba ndo mwisho bado ntapalangana vilivyo..😅

Viumbe navyoogopa mpk leo ni nyoka I don't like this shit!, Ila huwa akiwa kwenye mazingira yangu ntajitahidi atoke ili nikae kwa amani.. jamii ya viumbe vinavyokula nyama Simba fisi n.k nafikiri siku nikikutana navyo ntatoka mbaliga miguu mpk uguse kisogo si kwa ulaji ule ninaouona kwenye tv jamaa inakukamata shingo mpk unadanja dadeki..😅
 
Mie utotoni sehemu za starehe ilikua marufuku makubwa..sijawah kaa bar had umri wa 22yrs
Hom huez ikuta chupa ya bia hata kidg.
Kufanya kazi siku ya jumamos marufuku Wala kusafiri...hata kufua handkerchief nilikua nashindwa moyo unanisuta mno!

Shetani ana nguvu...Sana!
mkuu kwa hiyo uliumalizikaje huo uoga?
 
Natumai hamjambo wananzengo.

Karibu kila mmoja wetu utotoni alikuwa mwoga, hasa mida ya usiku hata ukitumwa ndani pekee ako huendi mpaka usindikizwe bt kuna tukio moja lilikokua sababu ya ule woga kutoweka hivo karibuni hapa kushare namna uoga ule ulimalizika.

Binafsi siku1 tulienda harusi ya mbali kidogo na washkaji, tukaazimia saa4 usiku ndo utakua muda wa kurudi, muda ulipofika wenzangu wakagoma kurudi, dah! nilitokwa kijasho chembamba maana kesho yake nilipaswa kwenda shule.

Nilijitoa mhanga wa kurudi peke angu huku nikijesemea liwalo liwe, nilitembea kwa woga sana huku nikilia kwa majuto kwa nini nilienda bt hatimaye nilifika home na tangu siku hiyo uoga uliisha.

Je, kwa upande wako woga wako ulimalizikaje?
Bado ninao
 
Mimi hadi leo naogopa sana papuchi, huwa nawaza 'ngoma' tu nikiwaka itakuwaje!
 
toka niliona maiti ya baba angu mzazi nikiwa la tatu mpka leo huwa siogopi ila kabla ya hapo giza tu lilikuwa linanitia hofu.
Siku hizi hata niangalie maiti mbaya vipi huwa sioti.

Ila ndoto nyevu sasa.....
 
Mie utotoni nilikuwa naogopa mawingu,mvunja chungu(huyu nilikuwa nikisumbua kunywa uji wakimleta tu,uji unamalizwa fastaaaaa) na mjusi

Sijui hata ilikuwaje nikaacha kuogopa mawingu lakini mvunja chungu na mijusi naiogopa hadi sasa,nikiona hivyo vitu najisikia kulia
kwa hiyo wakitokea ndani hapalaliki?
 
Nilikuwa natishiwa chupa. Yani mtu anajificha sehemu afu anachukua chupa tupu anapuliza dah nilikuwa naogopa sana.
Af kuna mzee alikuwa anafukua vyoo.mfupi mweusii.muda mwingi anatembea kifua wazi dah ilikuwa nikimuona navuka barabara bila kuangalia magari aisee

VAR...: utakuwa na busha!
 
toka niliona maiti ya baba angu mzazi nikiwa la tatu mpka leo huwa siogopi ila kabla ya hapo giza tu lilikuwa linanitia hofu.
Siku hizi hata niangalie maiti mbaya vipi huwa sioti.

Ila ndoto nyevu sasa.....
ndoto nyevu zinakutesa kwani huna manzi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom