Uoga wako wa utotoni uliishaje?

Uoga wako wa utotoni uliishaje?

Natumai hamjambo wananzengo.

Karibu kila mmoja wetu utotoni alikuwa mwoga, hasa mida ya usiku hata ukitumwa ndani pekee ako huendi mpaka usindikizwe bt kuna tukio moja lilikokua sababu ya ule woga kutoweka hivo karibuni hapa kushare namna uoga ule ulimalizika.

Binafsi siku1 tulienda harusi ya mbali kidogo na washkaji, tukaazimia saa4 usiku ndo utakua muda wa kurudi, muda ulipofika wenzangu wakagoma kurudi, dah! nilitokwa kijasho chembamba maana kesho yake nilipaswa kwenda shule.

Nilijitoa mhanga wa kurudi peke angu huku nikijesemea liwalo liwe, nilitembea kwa woga sana huku nikilia kwa majuto kwa nini nilienda bt hatimaye nilifika home na tangu siku hiyo uoga uliisha.

Je, kwa upande wako woga wako ulimalizikaje?
mi mpka leo naogopa fanye finye maggots
 
Nilikuwa sipendi kuoga, of course mpaka sasa! utotoni kukubali kuoga mpaka nitishiwe mende. Ukubwani kuoga mpaka nitishiwe kunyimwa mbunye na shemeji yenu, mara nyingi inabidi tuoge wawili na bafuni lazima maji yenye mdalasini, iliki n.k yawepo.
nadhani utakua mweusi sana ajili ya kutokuoga mara kwa mara.
 
mimi haujaisha nalala na Mwanga (Tochi) hadi leo
Naogopa kuogelea
Naogopa majengo marefu
yani mambo ni mengi
so ukiendaga vijijini ambako hamna umeme hua unafanyaje wakati wa kulala
 
Mimi naogopa wadudu Kama jongoo, snake, mjusi simuogopi ila panya namuogopa.......

Naogopa kulala peke yangu nyumba nzima so ikitokea naachwa mwenyewe natafuta shosti aje tulale wote...

Naogopa kuangalia movie za kutisha zile za kuchomana visu na kuuana kikatili siwezi kuangalia.... Ikifika sehemu ya kutisha nageuza uso pembeni
 
mkuu we ni zaidi ya mwoga hadi maigizo unayaogopa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom