robhil mfwegekamo
Senior Member
- Jan 10, 2018
- 155
- 67
Hapo kwenye lugha naweza kubaliana nawe.
Tanzania hakuna anayeweza kuandamana akiona wanajeshi wanafanya usafi pale lugalo barracks nani ataweza andamanaHapo kwenye lugha naweza kubaliana nawe.
Tanzania hakuna anayeweza kuandamana akiona wanajeshi wanafanya usafi pale lugalo barracks nani ataweza andamana
Mbwembwe za watu hapa Bongo ukipiga risasi hewani mchana Posta hakuna atakayebaki ofsini wote ni mbio kuelekea majumbani
Ni mara kadhaa sasa nimeona na kusikia watu wakisema kuwa eti serikali inaogopa.
Kwamba inaogopa maandamano yanayopangwa kufanyika tarehe 26 mwezi Aprili.
Watu wasemao hivyo wanasema hivyo kwa sababu wamejiaminisha kuwa kama serikali ingekuwa haiyaogopi hayo maandamano basi baadhi ya viongozi wasingeyazungumzia hata kidogo.
Si ajabu hata hapa atajitokeza mtu atayesema kuwa hata mimi nayaogopa hayo maandamano na ndo maana nimeanzisha tena uzi unaoyahusu.
Sasa jana rais Magufuli naye kazungumzia watu kuandamana. Na si mara yake ya kwanza kufanya hivyo. Keshafanya hivyo mara kadhaa huko nyuma.
Magufuli kutaja neno ‘maandamano’ hiyo jana imekuwa nongwa. Watu wanataka kutuaminisha kwamba hayo maneno ya mitandaoni huko kuhusu hayo maandamano yanamnyima raha na usingizi rais kwa sababu mpaka yeye kayazungumzia hiyo jana.
Mimi sidhani kama serikali inaogopa. Ninachokiona ni serikali yenye watu wanaojua na kutambua kinachozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii. Kujua na kutambua huko si uoga. Si kuogopa.
Kuogopa ni pale ambapo wale waliokuwa wanapiga sana kelele za maandamano kutokujitokeza na kuandamana siku ambayo walikuwa wamepanga kuandamana. Huo ndo uoga na huko ndo kuogopa.
Maana tayari wameshaambiwa ole wao waandamane. Wataenda kusimulia yatayowapata. Sasa siku ya siku ikifika na hakuna anayeingia barabarani, huko ndo kuogopa.
Lakini mtu kusema kuwa kasikia kuna watu wamepanga kuandamana au Ngabu kuja kuanzisha nyuzi hapa kuhusu hayo maandamano, sioni uoga hapo.
Kwa hiyo, mimi nadhani na naamini kuwa wote wasemao kuwa serikali inaogopa wanasema hivyo kujipa faraja tu.
Wanajiaminisha kuwa serikali inaogopa ili wajisikie vizuri tu. Wajione na wao kelele zao dhidi ya serikali zina athari ingawa kiuhalisia sivyo hivyo.
CCM inaogopaje wakati archtect wa maandamano na mipango mingine miongoni mwao ni hao hao .........katika madai ya waandamanaji ushaona waliposema
CCM iondoke
Samia aondoke
au
Majaliwa aondoke ??
wanataka tu aondoke FARU na genge lake !!
Kwa nini aondoke? Kafanya nini hadi astahili kuondoka?
Muondoeni 2020 kupitia njia ile ile iliyomuweka hapo alipo!
wanasema anauwa chama ....na walifanya makosa in the fist place ...hawakuwa makini kwenye vetting and they were taken by suprise becuase of lowassa stuff ...they blame it as failure of intelligence ,..within the party and national level [state]
katika watu hatari kwake kwa sasa ni hao hao ....
Katika ubora wako. Samahani Mkuu wewe ndiye Julius Magembe au mwingine?
Wewe mwenyewe mwanzo mwisho unazungumzia ninaona ninadhani si ndo faraja ya kufikirika hioWanapenda sana kujipa faraja za kufikirika!
Wewe mwenyewe mwanzo mwisho unazungumzia ninaona ninadhani si ndo faraja ya kufikirika hio
Ni mara kadhaa sasa nimeona na kusikia watu wakisema kuwa eti serikali inaogopa.
Kwamba inaogopa maandamano yanayopangwa kufanyika tarehe 26 mwezi Aprili.
Watu wasemao hivyo wanasema hivyo kwa sababu wamejiaminisha kuwa kama serikali ingekuwa haiyaogopi hayo maandamano basi baadhi ya viongozi wasingeyazungumzia hata kidogo.
Si ajabu hata hapa atajitokeza mtu atayesema kuwa hata mimi nayaogopa hayo maandamano na ndo maana nimeanzisha tena uzi unaoyahusu.
Sasa jana rais Magufuli naye kazungumzia watu kuandamana. Na si mara yake ya kwanza kufanya hivyo. Keshafanya hivyo mara kadhaa huko nyuma.
Magufuli kutaja neno ‘maandamano’ hiyo jana imekuwa nongwa. Watu wanataka kutuaminisha kwamba hayo maneno ya mitandaoni huko kuhusu hayo maandamano yanamnyima raha na usingizi rais kwa sababu mpaka yeye kayazungumzia hiyo jana.
Mimi sidhani kama serikali inaogopa. Ninachokiona ni serikali yenye watu wanaojua na kutambua kinachozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii. Kujua na kutambua huko si uoga. Si kuogopa.
Kuogopa ni pale ambapo wale waliokuwa wanapiga sana kelele za maandamano kutokujitokeza na kuandamana siku ambayo walikuwa wamepanga kuandamana. Huo ndo uoga na huko ndo kuogopa.
Maana tayari wameshaambiwa ole wao waandamane. Wataenda kusimulia yatayowapata. Sasa siku ya siku ikifika na hakuna anayeingia barabarani, huko ndo kuogopa.
Lakini mtu kusema kuwa kasikia kuna watu wamepanga kuandamana au Ngabu kuja kuanzisha nyuzi hapa kuhusu hayo maandamano, sioni uoga hapo.
Kwa hiyo, mimi nadhani na naamini kuwa wote wasemao kuwa serikali inaogopa wanasema hivyo kujipa faraja tu.
Wanajiaminisha kuwa serikali inaogopa ili wajisikie vizuri tu. Wajione na wao kelele zao dhidi ya serikali zina athari ingawa kiuhalisia sivyo hivyo.
wenzako wakina kiranga wako busy kwenye forum za wazungu wewe umejikita kwenye taarabu kama mume wakoUmeelewa ulichokisoma?
Eti ndio mtu anaeishi first world lakini mawazo na tabia za third world kweli wewe ni nyani ndani ya zoo za wazunguEndelea kunifuatilia.
I’m your superior.