Unywaji wa energy drinks

Unywaji wa energy drinks

Halaf ieleweke wazi kuwa hakuna kinywaji amabacho sio sumu,kuanzia soda,juisi,maji pia n sumu,bia n sumu,konyagi n.k....only the dose can determine iwe sumu au iwe chakula......hata oxygen ikiwa nying n sumu na unakufa bcoz of oxygen toxicity.....mkiwa mnawaza madhara ya kila mnachoingiza tumboni walahi hamtakula chochote.....cha msng n kutumia right dose as indicated by producers
Umenikumbusha mwalimu wangu wa toxicology alikuwa anasema "everything is poison,but poisoning depends on dose"
 
Dah wanangu kitaa wanachanganya Na pombe Kali sijui hii ipoje
 
Hata Ukinywa maji ukaamini yatakufanya Uperform vizuri kitandani Hakika utaperform..!!
 
Tangu ninywe energy huwa nikinywa zingine nahisi ulimi kuchachuka sijui mazoea labda niache rasmi kuitumia maana niliapa eli ninywe energy kuliko bia
 
Halaf ieleweke wazi kuwa hakuna kinywaji amabacho sio sumu,kuanzia soda,juisi,maji pia n sumu,bia n sumu,konyagi n.k....only the dose can determine iwe sumu au iwe chakula......hata oxygen ikiwa nying n sumu na unakufa bcoz of oxygen toxicity.....mkiwa mnawaza madhara ya kila mnachoingiza tumboni walahi hamtakula chochote.....cha msng n kutumia right dose as indicated by producers
Umeongea kisomi sana..

Toxic dose..hata dawa tu za kawaida ukioverdose hiyo tayari ni sumu mwilini..cha msingi ni kutokuoverdose tu
 
haa ha ha.. Hapo ndo huwa wazungu wanajiulizaga Inakuwaje Placeblo inatibuu..!! Imani inaweza kumove milima mzee baba acha kabisaa... Imani ni zaidi ya dawa japo sio kila mahali...
Imani pasipo scientific reason imekufa.
 
Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kunywa kwa wingi energy drinks wakitumia hvyo wakidhani huo mbadala wa chakula.

Sijajua if elimu ya kutosua inatolewa kwa nguvu kazi hii ya taifa mana ukitembelea vibanda vngi utakuta vijana wengi wamebeba mo. Energy.

Mamlaka zinazohusika tafadhalini sana.
Ukizidisha zina madhara eti lakin watu wanabugia tu.
 
Dawa zinatibu kwa reason.
Ukiuliza dawa naweza kukupa majibu.

Lakin swala la milima kuhama
Hapo ni imani pamoja na Mungu

Watendao miujiza na imani zao huwa wana add na kitu kimoja
Either imani kwa Mungu ndo hutenda miujiza au imani kwa Nguvu za giza(shetani) pia hutena miujiza
haa ha ha.. Hapo ndo huwa wazungu wanajiulizaga Inakuwaje Placeblo inatibuu..!! Imani inaweza kumove milima mzee baba acha kabisaa... Imani ni zaidi ya dawa japo sio kila mahali...
 
Ukitaka kujua vijana wanaangamia ni wimbi ilo la unywaji energy drink na vipi mpaka vya 600sasa ilipokuwa mpaka elf/3 ndio kidogo watu walikuwa wanawaza atoe buku 3 ila huu mbadala wa mpaka vya 600 ni janga sana kwa taifa
Madereva wa Malory
Dereva bodaboda ndio usiseme toka wamezuiwa viloba sasa ni ya kupima au mo energy.
 
Usifikir wew rikoboy hata uwe na imani kubwa vip huwez tenda miujiza peke yako.

Lazima uchague unaiman kwa Mungu au kwa shetani
haa ha ha.. Hapo ndo huwa wazungu wanajiulizaga Inakuwaje Placeblo inatibuu..!! Imani inaweza kumove milima mzee baba acha kabisaa... Imani ni zaidi ya dawa japo sio kila mahali...
 
Kuna siku niliinywa nikate hangover Bali ilinibadilikia mpaka nikashindwa kutembea mapigo ya moyo ni kama roho ilitaka kuacha mwili toka ile siku hata harufu yake tu nahisi moyo unataka kuacha mwili
 
Dawa zinatibu kwa reason.
Ukiuliza dawa naweza kukupa majibu.

Lakin swala la milima kuhama
Hapo ni imani pamoja na Mungu

Watendao miujiza na imani zao huwa wana add na kitu kimoja
Either imani kwa Mungu ndo hutenda miujiza au imani kwa Nguvu za giza(shetani) pia hutena miujiza
Unajuwa ili kuprove dawa inatibu au laa huwa watu wnaapewa Placebo na really drug then follow up inafanyika..!! Wew unadhani why??? Imani ipo mzeee... Mechanism ya dawa inaeleweka ila Imani ngumu sana
 
Everything is poison depending on the dose unywaji wa energy drinks mara kwa mara si mzuri pia unaweza kuanza experience side effects kama kuishiwa nguvu kwenye magoti kizunguzungu moyo kutanuka nk hizi mambo hufanya kazi zaidi kwenye excitatory neurotransmitters glutamate na aspartate ambazo hutumia ATPs na nyingine huzuia kazi za inhibitory neurotransmitters GABA so hapa ukiacha kula na kutumia hizi mambo unapunguza ATP bank yako yaani glucose iliyohifadhiwa na mwili wengine hutumia hii kujibust kwaajili ya tendo la ndoa tambua tu unatengeneza dependance hayo ni machache kutoka kwangu
 
Back
Top Bottom