Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,234
- 17,826
Kuna co workers hapa wanakipenda sana hicho kinywaji. Uenda kina ulaibu so wanakuwa addicted.Wengi ni bendera fata mkumbo,hawajui wanainywa kwa sababu ipo hasa. Kuna mmoja niliona anakunywa zaid ya mbili kumuuliza akasema anasikia itampa nguvu hakufafanua nguvu gani

