Energy drinks hizi zinakuwa na kiwango fulani cha Cafein ambacho kinachangamsha mwili, kuondoa uchovu, kinakupa stamina na nguvu. Wengi huwa wanaziogopa, na hata mtu akikuona unakunywa anakwambia blah blah blah! Unakuta mtu anavuta sigara, anakunywa soda, konyagi au biere lakini anakwambia energy drinks zina madhara. Hoja ya msingi, ni unakunywa kwa kiasi (chupa moja kwa siku), na hunywi mara kwa mara, yaani isiwe kila siku we unagonga tu, too much is harmful! Side effects inatokea sana kwa watu wako sensitive to cafein! Pia ni 'booster' nzuri kama unataka 'kunjunja' na hujala msosi wa nguvu au mwili umechokachoka, try it!