Unyanyasaji wa kikabila idara ya Uhamiaji

Nimefatilia kitambulisho tangu 2016 ndo juzi nimekipata kwahivo endelea kuwa mvumilivu
Sina tatizo sana na muda wa ufuatiliaji wa hivyo vitambulisho, kinachonipa ukakasi ni ubaguzi wa kikabila wa wazi wazi ambao unafanywa na watu wa uhamiaji bila hoja za msingi!!
Elly255
 
Siku chache zilizopita, ilinibidi kujongea katika ofisi za uhamiaji kwa ajili ya kupata sahihi ya afisa ya uhamiaji katika fomu za kitambulisho cha utaifa (kwenye hizi fomu kuna sehemu ambayo inabidi isainiwe na uhamiaji).Kilichonikuta ndio kimenifanya niandike huu uzi.
Baada ya kufika ofisi husika na fomu zangu, swali la kwanza nililoulizwa ni, "wewe ni kabila gani"? Baada ya kumjibu yule mdada alieniuliza, kilichofuata alinikabidhi fomu nyingine ambayo ina page 9, iliyojaa maswali ambayo kiukweli yamejaa ukakasi sana; Mfano: Mahali walipozaliwa babu na bibi yako mzaa baba (mkoa,wilaya,tarafa,kata,kijiji), Mahali walipozaliwa babu na bibi yako mzaa mama (mkoa,wilaya,tarafa,kata,kijiji). Mahali ambapo babu au bibi yako alifariki (mkoa,wilaya,tarafa,kata,kijiji), na maswali mengine mengi ya aina hiyo (imagine kujibu page 9 za maswali ya aina hiyo).

Lakini, kilichoni irritate zaidi, niligundua kwamba si waombaji wote wanajazishwa hii fomu (wengine wanasainiwa kirahisi kabisa bila kujaza chochote); na kinacho determine wakujazishe au wasikujazishe hilo lifomu ni *kabila* lako!! Kuna makabila fulani ukienda pale ukitaja, wanakusainia bila tashwishwi nyingi, ila kuna makabila mengine ndo process inakua ndefu mno (nimetumia muda wa siku mbili ofisi ya uhamiaji kukamilisha hilo,while my other colleagues spent hardly 15 minutes for a similar purpose!!). Fikiria unamuona mtu mnaefanya nae kazi, yeye anakuja na fomu zake, anaulizwa kabila anataja kabila fulani, anaambiwa lete fomu zako, anasainiwa... Huku wewe umekaa pembeni unahangaika kujaza page 9 za maswali yanayotia ukakasi, hadi wenzako wanakushangaa kwani wewe vipi? Mbona sisi hatujasumbuliwa?
Siku ya kwanza, nimejaza hilo lifomu lao nikaambiwa niliache, nirudi next day saa tatu asubuhi (hapo nilitumia masaa 6 ofisi za uhamiaji). Nimerudi siku ya pili, nikaambiwa subiri, baada kama ya nusu saa yule mdada akatoka. Nilisubiri kwa zaidi ya masaa sita tena, ambapo ndipo niliweza kukamilisha mchakato huo na wakanisainia fomu yangu hatimaye (namshukuru sana yule kijana alienihudumia siku ya pili, alikua ni mstaarabu na mnyenyekevu sana na hata yeye alionyesha kushangazwa kwa nini nimezungushwa vile).
Nimesikitika sana, kwamba kumbe sisi makabila mengine ni second grade citizens ndani ya nchi yetu!!
Kwa nini kuwe na preferential treatment (huduma tofauti) kwa raia wanaohitaji huduma ya uhamiaji, ambayo iko based kulingana na kabila??

"Mnaulizana makabila mnataka kutambika?"- Hayati Julius Kambarege Nyerere kwenye hotuba ya mkutano mkuu wa CCM, ukumbi wa Chimwaga Dodoma mwaka 1995.
 
Kama unatoka mipakani lazima kidogo wakufuatilie kujua si rahisi kujaziwa kirahisi,ungejaza tu
 
Kwanini ukusema natoka chatu, na kabila langu ni mchatu international airport
 
Sina tatizo sana na muda wa ufuatiliaji wa hivyo vitambulisho, kinachonipa ukakasi ni ubaguzi wa kikabila wa wazi wazi ambao unafanywa na watu wa uhamiaji bila hoja za msingi!!
Elly255

Tafadhali naomba ujibu yafuatayo:

1. Ni makabila gani hayo husika yanayoulizwa sana.

2, Tuwekee hiyo fomu hapa inayoonyesha ni kipengele kipi kinahoji kabila la mtu.

Tujiepushe sana na upotoshaji na uchochezi.
 
Exactly on point!!
Nawashangaa sana wanaoleta point ya 'makabila ya mipakani'.
Wanyakyusa ni kati ya makabila ambayo yana muingiliano mkubwa sana na nchi za jirani (Malawi na Zambia); Tukubaliane tu kwamba kabila kuwa mpakani wala si hoja ya huu ubaguzi unaofanywa na uhamiaji, maana hiyo ingekua ni hoja, Wanyakyusa wala wasingepona!! Vivyo hivyo kwa Wachagga na hata wasukuma!!
Watafute hoja nyingine!!
cariha
Ni uonevu flani tu ulioendelezwa na watu flani hapo zamani sasa wanaendeleza. Ni kero sana
 
Ungewaambia wewe ni Ngosha.
Halafu huwezi amini mkuu, baadae nilikuja kujuta nikasema ningejua ningewaambia tuu kuwa mimi ni msukuma, wangenisainia fasta nikasepa zangu!!
Sema ndio hivyo, sikufahamu kinachofuata baada ya hilo swali, kwa hiyo sikuona sababu ya kudanganya.
mtzedi
 
Kama unatoka mipakani lazima kidogo wakufuatilie kujua si rahisi kujaziwa kirahisi,ungejaza tu
Naomba ufafanue zaidi kuhusu 'makabila ya mipakani'?? Mipaka ipi hiyo??
Wanskyusa, Wachagga, Wasukuma yote hayo ni makabila ambayo wanapakana na nchi jirani, ila wao hawapati shida hii, ukishasema tuu wewe ni Mnyakyusa, fasta wanaanguka sahihi na kukupigia mhuri.
Hebu tuelezane vizuri hiyo mipaka inayozungumzwa ni ipi??
Ndumbula Ndema
 
@Ndumula Ndema
Kuna wachaga wa kenya au wanyakyusa wa Malawi? Nijibu kwanza hili
 
Tafadhali naomba ujibu yafuatayo:

1. Ni makabila gani hayo husika yanayoulizwa sana.

2, Tuwekee hiyo fomu hapa inayoonyesha ni kipengele kipi kinahoji kabila la mtu.

Tujiepushe sana na upotoshaji na uchochezi.
1.Makabila yanayoulizwa sana kivipi? Naona hujaelewa vizuri huu uzi, nakuomba usome tena. Kuna baadhi ya makabila (kama la kwangu), ukifika pale uhamiaji kwa ajili ya kusainiwa fomu za NIDA na watu wa uhamiaji, wanakuuliza ni kabila gani? Ukitaja tuu baadhi ya makabila, process inakua ni ndefu kwako:Wanakupa fomu nyingine separate (sio ile ya NIDA) yenye page 9 yenye maswali ya kutosha hadi kuhusu makaburi na details za mababu na mabibi zako (na walikozaliwa-mkoa,wilaya,tarafa,kata,kijiji).
2.Hujaelewa, rudia tena huu uzi. Hakuna fomu inayouliza kabila lako.
Ila iko hivi (narudia)-Kwenye fomu za NIDA kuna kipengele ambacho inabidi kisainiwe na watu wa uhamiaji, ukifika uhamiaji na ile fomu ya NIDA, swali la kwanza, kabila lako ni lipi?? Ukitaja baadhi ya makabila (mfano mchagga,msukuma,mnyakyusa) wanakusainia fasta wanakugongea mhuri, unaondoka zako-hardly 15minutes. Ila sasa, ukitaja baadhi ya makabila (ambayo nadhani uhamiaji wanatuona ni 2nd grade citizens); Process inarefuka upyaaaa!! Wanakupa fomu nyingine sasa ina page kama 9 hivi ukukuruke nayo!! Huko ndo unaulizwa hadi taarifa za mababu na mabibi, hadi vyeti vyao vya kuzaliwa (absurd)!!!
Hivyo ndivyo ilivyo, naomba usome kwa umakini uelewe, wala sina nia ya kuleta uchochezi wa aina yoyote ule!!
Richard
 
Anyway,mkuu kabla ya kupata signature kuna maswali 2,3unaulizwa,kama unakula kula kucha ndo unapewa hiyo form
Wala si kweli. Labda wewe unatoka 1st class tribes ndio maana hujawahi kupata hii adha ndio maana unatumia hadi kauli za kejeli!! Ambao tumepata hii adha tunajua tunachokiongelea mkuu.
Ndumbula Ndema
 
Mhhhh pole ila wale ambao mikoa yao imepakana na nchi jirani ndio wanaulizwa sana maswali
 
Kilimanjaro haijapakana na nchi jirani? Vipi kuhusu Mbeya?
Nimeshuhudia Mchagga na Mnyakyusa wakisainiwa fomu zao za NIDA hapo uhamiaji wa macho yangu mawili bila maswali yoyote!!! Hardly 10-15 minutes
Labda ufafanue zaidi unamaanisha nini unaposema "....wale ambao mikoa yao imepakana na nchi jirani....". Maana ingekua hivyo Mnyakyusa na Mchagga wasingepona mkuu.
Wazolee
 
Back
Top Bottom