casanova69
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 2,396
- 2,239
avatar yako tuu inaonesha wewe ni binti ya Kagame.Hii ni kero kubwa unawezaje kumjudge mtu kwa sura yake
avatar yako tuu inaonesha wewe ni binti ya Kagame.Hii ni kero kubwa unawezaje kumjudge mtu kwa sura yake
[emoji1] [emoji1] [emoji1] makubwa haya sura ya mtu si maumbile tu yanini kuhukumiana jamani, sisi wote watanzaniaavatar yako tuu inaonesha wewe ni binti ya Kagame.
hahaa inashangaza tuna watanzania wenye asili ya Asia lakini atukubali watanzania wenye asili ya Rwanda,Congo, msumbii etc[emoji1] [emoji1] [emoji1] makubwa haya sura ya mtu si maumbile tu yanini kuhukumiana jamani, sisi wote watanzania
Si ndo ubaguzi wenyewe huo mkuu, hafu huwa tunasingizia ubaguzi wa rangi tuhahaa inashangaza tuna watanzania wenye asili ya Asia lakini atukubali watanzania wenye asili ya Rwanda,Congo, msumbii etc
hawa wengi majangilihahaa inashangaza tuna watanzania wenye asili ya Asia lakini atukubali watanzania wenye asili ya Rwanda,Congo, msumbii etc
mkuki kwa nguruwe,sisi tukibaguliwa tunalialia sana lakini kuwabagua wengine ni sawa.Si ndo ubaguzi wenyewe huo mkuu, hafu huwa tunasingizia ubaguzi wa rangi tu
Mbona hawana wasiwasi na wahindi au waarabu?Wanawakomalia wasomali na Wahabeshi?sasa mzaramo au makabila ya moro, dodoma, singida, etc uwe na wasi wasi nae wa nini?? makabila ya mpakani kama ngara, kigoma lazima uwe na umakini nayo
Hayo makabila ie wanyakyusa na wachagga, ni shida kuwa na mapandikizi au wahamiaji haramu,halafu wakadai wametokea hayo makabila na wasigundulike.Kilimanjaro haijapakana na nchi jirani? Vipi kuhusu Mbeya?
Nimeshuhudia Mchagga na Mnyakyusa wakisainiwa fomu zao za NIDA hapo uhamiaji wa macho yangu mawili bila maswali yoyote!!! Hardly 10-15 minutes
Labda ufafanue zaidi unamaanisha nini unaposema "....wale ambao mikoa yao imepakana na nchi jirani....". Maana ingekua hivyo Mnyakyusa na Mchagga wasingepona mkuu.
Wazolee
Ndugu yangu naomba niseme kwamba, kwa Tanzania hii kuna idadi ya makabila yanayotambulika kuwa haya ndio hasa yenye asili na nchi hii, na kuna watu wenye asili ya nchi za Asia ambao walikuja karne kadhaa kabla ya mkoloni wakaonana ma wenyeji (mfano, Wapemba) hao ndio raia halisi wa Tanzania. Sasa maeneo mengi ya mipakani hasa kanda ya magharibi ambako miaka ya 1960 hadi 70 na miaka ya 1990 kulikuwa na machafuko ambako raia wao kadhaa walikimbilia nchini na kujichangaya na waTanzania halisi. Pamoja na changamoto kubwa ya udhibiti idara ya uhamiaji inajitahidi kuhakikisha wazamiaji hawapati huduma za raia.Hakuna kitu kitakacho justify unachojaribu kusema.
Kwa hiyo msukuma yeye ni Mtanzania zaidi kuliko mrangi kwa mfano??
Kuna shida katika hilo.
Halafu, hivi mtu ambae ana proof ya kuzaliwa Tanzania, ana proof ya kusoma Tanzania kuanzia primary hadi chuo kkkuu ana proof ya kuajiriwa ndani ya Tanzania kwa zaidi ya miaka 7; halafu una wasiwasi nae?? Kama utatilia mashaka Utanzania wa mtu wa aina hii, that speaks more of the weakness of immigration department than the legality of citizenship of that person!! FRESHMAN
Hoja yako ya kwanza si kweli: Kwa taarifa yako, kuna mapandikizi wengi tuu wanajiita wanyakyusa lakini in fact ni Wamalawi, na hata wakiongea wanasikilizana sana na wanyakyusa, na ni ngumu ku tell apart. Nashangaa pia mfano wako umetolea kwamba ni ngumu mnyarwanda kujiita mnyakyusa na asigundulike, na ni kweli, kwa sababu wanyakyusa na wanyarwanda wapo mbali mbali kabisa; Lakini, ni rahisi sana Mmalawi kujiita Mnyakyusa na wala asigundulike (tembea uone-inaonekana hujawahi kufika mikoa ya Nyanda za juu kusini specifically Mbeya).Hayo makabila ie wanyakyusa na wachagga, ni shida kuwa na mapandikizi au wahamiaji haramu,halafu wakadai wametokea hayo makabila na wasigundulike.
Pia hata kama uki fake, ukajidai wewe ni mojawapo ya hayo makabila, sidhani kama ukisema wewe ni mnyakyusa, halafu una lafudhi ya kinyarwanda utaeleweka, utapa shida hapo pia.
Pia kuna makabila ambayo yako pande mbili za mipaka. Mfano huko Kigoma kwa wahutu, pia kuna wacongo nk. Huwezi kukuta mchagga wa Kenya. Hata kama wale wataita wana asili hiyo lakini utofauti upo. Kwingine ni shida sana. Mhutu anaweza kujipakazia kuwa ni mha nk.
Hitimisho lako sasa, mi hoi!!kwani hiyo idara ya uhamiaji hawana watu wa hilo kabila lako linalobaguliwa au na wao wamebaguliwa kwenye ajira
Si vyema kumbagua muafrika mwenzako kwani wote tukienda ujerumani tunaitwa nyani
Tena tunabagua weusi wenzetu akipita mzungu anatetemekewa kabisamkuki kwa nguruwe,sisi tukibaguliwa tunalialia sana lakini kuwabagua wengine ni sawa.
Wewe utakuwa wa mipakani tu tena magharibi!kwani umgeni wewe hii nchi kwa sasa inmpasuko
Verification ni muhimu sana tusije tukasajiri watusi na wahutu pia wasomali halafu tukajuta baadae. Kwanini na wewe hata babu zako huwajui?? Ni aibu kwa kijana kama wewe tutowajua ndugu zako lazima ujue historia yako!Siku chache zilizopita, ilinibidi kujongea katika ofisi za uhamiaji kwa ajili ya kupata sahihi ya afisa ya uhamiaji katika fomu za kitambulisho cha utaifa (kwenye hizi fomu kuna sehemu ambayo inabidi isainiwe na uhamiaji).Kilichonikuta ndio kimenifanya niandike huu uzi.
Baada ya kufika ofisi husika na fomu zangu, swali la kwanza nililoulizwa ni, "wewe ni kabila gani"? Baada ya kumjibu yule mdada alieniuliza, kilichofuata alinikabidhi fomu nyingine ambayo ina page 9, iliyojaa maswali ambayo kiukweli yamejaa ukakasi sana;
Mfano: Mahali walipozaliwa babu na bibi yako mzaa baba (mkoa, wilaya, tarafa, kata, kijiji), Mahali walipozaliwa babu na bibi yako mzaa mama
(mkoa, wilaya, tarafa, kata, kijiji).
Mahali ambapo babu au bibi yako alifariki (mkoa,wilaya,tarafa,kata,kijiji), na maswali mengine mengi ya aina hiyo (imagine kujibu page 9 za maswali ya aina hiyo).
Lakini, kilichoni irritate zaidi, niligundua kwamba si waombaji wote wanajazishwa hii fomu (wengine wanasainiwa kirahisi kabisa bila kujaza chochote); na kinacho determine wakujazishe au wasikujazishe hilo lifomu ni *kabila* lako!! Kuna makabila fulani ukienda pale ukitaja, wanakusainia bila tashwishwi nyingi, ila kuna makabila mengine ndo process inakua ndefu mno (nimetumia muda wa siku mbili ofisi ya uhamiaji kukamilisha hilo,while my other colleagues spent hardly 15 minutes for a similar purpose!!).
Fikiria unamuona mtu mnaefanya nae kazi, yeye anakuja na fomu zake, anaulizwa kabila anataja kabila fulani, anaambiwa lete fomu zako, anasainiwa... Huku wewe umekaa pembeni unahangaika kujaza page 9 za maswali yanayotia ukakasi, hadi wenzako wanakushangaa kwani wewe vipi? Mbona sisi hatujasumbuliwa?
Siku ya kwanza, nimejaza hilo lifomu lao nikaambiwa niliache, nirudi next day saa tatu asubuhi (hapo nilitumia masaa 6 ofisi za uhamiaji).
Nimerudi siku ya pili, nikaambiwa subiri, baada kama ya nusu saa yule mdada akatoka. Nilisubiri kwa zaidi ya masaa sita tena, ambapo ndipo niliweza kukamilisha mchakato huo na wakanisainia fomu yangu hatimaye (namshukuru sana yule kijana alienihudumia siku ya pili, alikua ni mstaarabu na mnyenyekevu sana na hata yeye alionyesha kushangazwa kwa nini nimezungushwa vile).
Nimesikitika sana, kwamba kumbe sisi makabila mengine ni second grade citizens ndani ya nchi yetu!!
Kwa nini kuwe na preferential treatment (huduma tofauti) kwa raia wanaohitaji huduma ya uhamiaji, ambayo iko based kulingana na kabila??
Sina shida kabisa na verification. Tatizo langu ni pale ambapo hiyo verification in inakua biased. Ni kweli umesema vyema kwamba verification ni muhimu sana.... Kwa hiyo kusajili Wamalawi na Wakenya kama Watanzania mamluki hilo sio tatizo? Hii verification ingekua inafanyika kwa watu wote... Sio makabila fulani fulani tuu; Huo unakua ni ukabila wa wazi kabisa!! Na kwa taarifa yako tu, wapo Wamalawi wengi tuu wanaojiita Wanyakyusa.Verification ni muhimu sana tusije tukasajiri watusi na wahutu pia wasomali halafu tukajuta baadae. Kwanini na wewe hata babu zako huwajui?? Ni aibu kwa kijana kama wewe tutowajua ndugu zako lazima ujue historia yako!
Hao unaosema ni wamalawi na wakiongea wanasikilizana na wanyakyusa, hilo ni sahihi. Lakini je hayo maeneo yana shida na uhamiaji haramu? Wenzetu wanasema "if it ain't broken, why fix it"?Hoja yako ya kwanza si kweli: Kwa taarifa yako, kuna mapandikizi wengi tuu wanajiita wanyakyusa lakini in fact ni Wamalawi, na hata wakiongea wanasikilizana sana na wanyakyusa, na ni ngumu ku tell apart. Nashangaa pia mfano wako umetolea kwamba ni ngumu mnyarwanda kujiita mnyakyusa na asigundulike, na ni kweli, kwa sababu wanyakyusa na wanyarwanda wapo mbali mbali kabisa; Lakini, ni rahisi sana Mmalawi kujiita Mnyakyusa na wala asigundulike (tembea uone-inaonekana hujawahi kufika mikoa ya Nyanda za juu kusini specifically Mbeya).
Hao wataita pia unawajua vizuri kweli? Hata lugha yao inafanana na Wapare na wanaweza kusikilizana. Naona watu wengi mnatumia lugha ya "makabila ya mipakani" ku justify ubaguzi unaofanywa na uhamiaji; Lakini ukiangalia facts kwa makini unaona kabisa kuwa tatizo sio makabila ya mipakani. Roman Israel Esq
Mkuu makabila ya mipakani lazima verification iwe tight ukilinganisha na makabila kama wazaramo, watengereko, nk. Sasa kama walikubagua wewe mzaramo then itakuwa kuna shinda lakini kama unatoka mipaka ya magharibi kweli ni lazima wakufanyie tight verification kutokana na background ya mipaka hiyo!Sina shida kabisa na verification. Ttaioz langu ni pale ambapo hiyo verification in inakua biased. Ni kweli umesema vyema kwamba verification ni muhimu sana.... Kwa hiyo kusajili Wamalawi na Wakenya kama Watanzania mamluki hilo sio tatizo? Hii verification ingekua inafanyika kwa watu wote... Sio makabila fulani fulani tuu; Huo unakua ni ukabila wa wazi kabisa!! Na kwa taarifa yako tu, wapo Wamalawi wengi tuu wanaojiita Wanyakyusa.
Babu zangu nawajua vizuri sana, hilo wala sio tatizo (Mwenyezi mungu azilaze roho zao mahali pema peponi). UCD
Huwezi kuwa na fomu tofauti kwa watu nchi hiyo hiyo moja.sasa mzaramo au makabila ya moro, dodoma, singida, etc uwe na wasi wasi nae wa nini?? makabila ya mpakani kama ngara, kigoma lazima uwe na umakini nayo