Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,269
- 866,646
- Thread starter
- #21
Na ukishakuwa na mwanamke wa kizulu sahau kuhusu kumuacha ving'ang'anizi sana ukirud bongo atakomaa na anaweza kukufata hawana dogo wale
Halafu sio wachoyo kabisa ila kwa wivu wanastahili tuzo. Mwanamke wa kizulu anaweza kugawa hata mpaka kwa ndugu zako na asione soo ila akikukuta wewe japo na msg tu ya mapenzi kitanuka mbaya