Unyama wa wasouth Afrika

Unyama wa wasouth Afrika

Kumbe chanzo kilikuwa mfalme wao alipotangaza kuwa wageni wote wafungashe virago waondoke, na kwenye taarifa ya habari ya BBC na DEUCHE WELL kanukuliwa akisema kuwa tangazo lake lile lilinukuliwa vibaya

Kama wamemnukuu vibaya mbona hajawazuia yana roho mbaya tu
 
Hatuna tatizo dhidi ya dhana juu ya ugaidi tunachozungumzia ni weledi wa wana jf. Haya matukio yakitokea hata hapa tz ikawa aliefanya ni muislam au maeneo ya wsislam wengi haya mambo ndio hutokea na watu bila kufikiri nje ya box wanaanza kuushambulia uislam ilo liko wazi.

unauhakika gan kuwa wanayofanya hayo hakuna waislam ndan yake?
 
Back
Top Bottom