naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,989
- 5,510
shukrani ya punda mateke!! hawa wasauzi si naskia wamesaidiwa sana na waafrika wenzao hususan watanzania kwenye harakati zao wakati huo apartheid imepamba moto?!
Mimi sihitaji kuambiwa nimewaona kwa macho yangu wengi walikuwa wakiishi maeneo ya mwenge na savei pia wengi wamesoma UDSM si kuwa mdogo kivile tena kama wazimbabwe wengi baada ya uhuru waliporudi kwao walipata nafasi nzuri tu za uongozi. Hawa wa south ndio usiseme hata punda zilizopo kwao asili yake ni Singida ndio mchango wao. Leo hii wamesahau yote wanawafanyia hivyo ndugu zetu inauma sana.