Unyama wa wasouth Afrika

Unyama wa wasouth Afrika

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
374,255
Reaction score
866,579
1429243163981.jpg1429243163981.jpg
 
Hivi hawa ndiyo tulioua ndugu zetu tukipigania uhuru wao? Hawa ndio tuliwahifadhi na kuwalisha katika nchi yetu wakati wote wakidai uhuru? Mbona sasa wanaonyesha kukosa utayari wa kujitawala? Afadhali kaburu kuliko namna hii!.
 
Tabby mi nimekaa kule sijawahi kuona watu wenye rohombaya na wapenda ngono kama wazulu
 
Last edited by a moderator:
matukio haya wangefanya waislam ingeitwa ugaidi lakini sababu wafanyaji ni makafiri yaitwa uhalifu na violating of right to live

Hii ni hoja nyepesi na ya kipuuzi kabisa kuangalia kila tukio kwa mlengo wa kiimani, wanaoumizwa kule ni wageni bila kujali imani zao
Huu ni ukengeufu wa kimaono unapotanguliza imani yako kwenye lolote lile....!!! Badilika albuluushiy, wewe pamoja na wote wenye mtazamo kama wako
 
Ila ndio unafiq uliojaa humu ndani ayo mambo yangefanyika sehemu ambazo kuna waislam wengi kungekua na kelele sana humu lakini kwa sababu ni wazee wa divai watu wanajifanya hawaoni huu ukatili. Ifike mda tuache unafiq.
 
Tusiige tusiyoyafahamu, tusiwe brainwashed kiasi hiki, tusiaminishwe vitu visivyo na ithibati, tusiishi katika ulimwengu wa inferiority complex kwamba hili liko hivi kwasababu ya imani yangu au yako
Dhana ya ugaidi waachieni waarabu na wamarekani hao ndio wana siri kubwa kuhusiana na dhana nzima ya ugaidi, ni ngoma yao hiyo acha warindime nayo
 
Hatuna tatizo dhidi ya dhana juu ya ugaidi tunachozungumzia ni weledi wa wana jf. Haya matukio yakitokea hata hapa tz ikawa aliefanya ni muislam au maeneo ya wsislam wengi haya mambo ndio hutokea na watu bila kufikiri nje ya box wanaanza kuushambulia uislam ilo liko wazi.
 
Una uhakika wanaofanya hayo hakuna ndugu zako,kitu gani kinakufanya uamini kwamba SA hakuna waisilamu?.....uvivu wa kufikiri ndo unaowafanya kila kitu mnaonewa

Mkuu achana nae huyo! Anaonekana ni M.p.u.m.b.a.v.u sana..... baada ya kujadili analeta *&#@-$*
 
matukio haya wangefanya waislam ingeitwa ugaidi lakini sababu wafanyaji ni makafiri yaitwa uhalifu na violating of right to live

Ivi ------ ni nani?? Acha kuita wenzako makafiri wkt wao pia wana Mungu wanamtukuza na kumuabudu, rudi kwenye mada kama Mungu wako ni Wa kweli endelea kumtukuza usishurutishe wenzako kukufuata.

Wanaofanyiwa fujo Afrika kusini ni wageni na sio maswala ya imani. Jamani waisilamu wenzangu tubadilike.
 
Watu wa ZA niwazembe wanayaacha mazungu yamewatawala na yanawaua wa bongo. Shameee
 
Sio siri ndugu zetu ma mama mdogo siku zote maisha yao ni lawama tuu,, wanajisi kuonewa tuu kila jambo,, badirikeni bana,,, sasa kama hili la mauaji south lina uhusiano gani na dini?
 
Hatuna tatizo dhidi ya dhana juu ya ugaidi tunachozungumzia ni weledi wa wana jf. Haya matukio yakitokea hata hapa tz ikawa aliefanya ni muislam au maeneo ya wsislam wengi haya mambo ndio hutokea na watu bila kufikiri nje ya box wanaanza kuushambulia uislam ilo liko wazi.

Usikwazike na wana JF wao ni sehemu ndogo mno katika uma wa watanzania zaidi ya milioni 40, na akitokea mtu akawa na mwelekeo huo kemea bila woga lakini kwa hekima
 
Tabby mi nimekaa kule sijawahi kuona watu wenye rohombaya na wapenda ngono kama wazulu

Na ukishakuwa na mwanamke wa kizulu sahau kuhusu kumuacha ving'ang'anizi sana ukirud bongo atakomaa na anaweza kukufata hawana dogo wale
 
Last edited by a moderator:
Na ukishakuwa na mwanamke wa kizulu sahau kuhusu kumuacha ving'ang'anizi sana ukirud bongo atakomaa na anaweza kukufata hawana dogo wale

Vipi kuhusu kuchepuka....vipi Xhosa...
 
Back
Top Bottom