Unyama uliofanywa na vyombo vya Ulinzi na Usalama

Kwani ni LAZIMA kuandamana kudai vibali? Walikuwa na kibali cha maandamano? Haya ndo tunayosema kila siku, Fuateni utaratibu!! Vinginevyo mtaendelea kulalamika kuonewa, wakati hamfuati utaratibu. Na usipofuata utaratibu, utapigwa tu!
Hakuna mtawala alie tayari kutoa haki, haki hudaiwa, haki hupiganiwa. Ili mmea uote lazima mbegu Ife.
 
Hakuna mtawala alie tayari kutoa haki, haki hudaiwa, haki hupiganiwa. Ili mmea uote lazima mbegu Ife.
Basi tangulieni wenyewe kwenye maandamano, Lisu, mbowe na lema; siyo kuwarubuni na kuwatanguliza watoto wa maskini kwenye maandamano..tena wengine wavuta bangi! Mbona wamekimbia nchi, njooni andamaneni
 
Nimeisikiliza...Kama kweli idadi ya vifo ni kubwa na mateso mengi ni jambo baya..
Lakini swali ni kuwa maafa yalitokea majumbani au mitaani/barabarani? Halafu maalim atafanya jambo la maana Kama ataite belea pia familia ya Askari yule aliyechinjwa Kama kuku
Askari yule si polisi, alikwenda kufanya nini kwenye uchaguzi na sheria haimruhusu?
Inaonyesha hujaangalia mpaka mwisho umeandika kwa jaziba tu
 
Basi tangulieni wenyewe kwenye maandamano, Lisu, mbowe na lema; siyo kuwarubuni na kuwatanguliza watoto wa maskini kwenye maandamano..tena wengine wavuta bangi! Mbona wamekimbia nchi, njooni andamaneni

Mbona mnaweka majeshi na vifaru ya kazi gani au katiba ndivyo ilivyoandikwa?
 
Kwani ni LAZIMA kuandamana kudai vibali? Walikuwa na kibali cha maandamano? Haya ndo tunayosema kila siku, Fuateni utaratibu!! Vinginevyo mtaendelea kulalamika kuonewa, wakati hamfuati utaratibu. Na usipofuata utaratibu, utapigwa tu!

Maandamano kwa mujibu wa sheria hayataki kibali , yanataka taarifa tena ukitaka
 
Wahutu kwa kawaida yao (Mu-7, Kagame, Nkurunziza) hawaondoki. 2025 akiwa mzima anabadili katiba ama anatafuta Mhutu mwenzie humo CCM. Tutaendelea hivi kwa muda mrefu sana. Na kwa vile ni waoga wa kuandamana, we are in for it.
2025 kama ataifikisha ofisini basi ni majaliwa ya muumba.
Na cha ajabu ni kuwa hali itakuwa kama ya kule Zimbabwe, kwamba eti Mugabe amechaguliwa na 90% ya Wa Zimbabwe na siku amechomolewa ofisini 90% ya Wazimbabwe ndio wameingia mtaani kushangilia
 
Siamini hata kdg kama vyombo vyetu vya ulinzi na amani vinaweza kuonea watu bure, HAPANA. Lazima kuwe na sababu, kutofuata amri au maelekezo: Mkiambiwa fuateni utaratibu hamsikii, mnataka vurugu, kutaka kuiingiza nchi kwa machafuko. Dawa ya moto ni moto, hapana chezea amani yetu, kaa mbali na chokochoko. Kuna baadhi ya watu wamelewa kwa ajili ya amani, siku tukiingia kwenye vurugu kama Libya tunaanza kujuta. Lazima amani, utulivu na mshikamano wetu ulindwe kwa nguvu zote.
Huna adabu!!
 
Mzee wa historia Bw.Ameir ambae ni miongoni mwa waathirika wa matukio ya Uchaguzi wa Oktoba 2020.

Majeraha hayo yametokana na kipigo na mateso aliofanyiwa na vyombo vya Ulinzi wanaolipwa kwa kodi ya Wananchi akiwemo Mzee Ameir ambae hajawakosea jambo lolote kachukuliwa kwake wakampeleka wanako kujuwa wao na kumfanyia unyama huo. Mzee Ameir hapungukiwi miaka 80 kwa kukisia.

Allah ndie mlipaji
View attachment 1632457

View attachment 1632458

Mkoloni mweusi ana njaa sana ya madaraka. No wonder haki za binadamu si muhimu kwao!
 
Basi tangulieni wenyewe kwenye maandamano, Lisu, mbowe na lema; siyo kuwarubuni na kuwatanguliza watoto wa maskini kwenye maandamano..tena wengine wavuta bangi! Mbona wamekimbia nchi, njooni andamaneni
Unafurahia mauwaji ushetani huo.
 
Askari yule si polisi, alikwenda kufanya nini kwenye uchaguzi na sheria haimruhusu?
Inaonyesha hujaangalia mpaka mwisho umeandika kwa jaziba tu
Kwa hiyo kwa kuwa siyo polisi ndiyo achinjwe??!!
 
Kama hutii sheria na unafanya vurugu hadi kurusha mawe na silaha kwa polisi, unategemea nini? Nafikiri jibu unalo
Jifunze kujibu unaloulizwa?
Hao majeshi yako na yale ya kukodi ya Burundi kwa kuwauwa raia ndio wamewalinda?

Polisi ina kazi gani ?
 
Back
Top Bottom