Uno (Harmonize) vs Baba lao (Diamond)

Kwanini unalazimisha kila MTU apende unachpoenda wewe? Yaani kwa kifupi uno ngoma mbovu,hiyo ya mond ndio takataka haifai kabisa tupa kwenye dastibini unasemaje mnazi wa wcb?
 

Umefumaniwa
 
Mnafosi bifu mpate miseleleko eeeeeh tunawakwepa.
Umia kivyako Chief usinishirikishe kwenye maumivu yako.

Kwangu mimi ni ngoma kali sana naamsha nayo Hawaii kama sina akili nzuri
Ulitakiwa useme hiviii Mimi ni shabiki wa mond hata akinya hadharani ntamshabikia
 
Hivi wewe mwehu unaijua bilioni 11 kweli au unaisikia, acheni kuwa mnaota ndoto za mchana
Dolla 5 million x2300 Tzs ukizidisha jibu baki nalo..haina haja ya kubishana sana kati yenu ninyi wawili...
 
Utapata vidonda vya tumbo mkuu ondoa chuki upone
Nimeamua kumshabikia huyu kijana anayekua the Kondeboy the Harmonize anayekimbizana kukamilisha kulipa mil 500 kwa kampuni ya Diamond.. Hakuna cha ulcers Mkuu. Nimeamua kupiga chini huyu bishop asiye na nidhamu. Ni vivu hataki wa kumsikia au kuonekana wewe ni threat kwake anaanza kukufanyia mizengwe.
 
Sikiliza muziki acha maisha ya watu,Nina imani mpka hapo ulipo umedate na watu si chini ya wanne,Je nawe hutofika mbali kimaisha?
Issue ni kuheshimu hao ulio date nao.
 
Huo wimbo wa mondi ni wa utani, hata hakuwa serious. Cha ajabu mmeuweka na levo ya Uno..
Yaonyesha jamaa ni balaa..
 
Hatufuatilii maisha ya mtu sisi tunasikiliza mziki mzuri..
We Harmonize ni mzuri pia kwa binafsi yangu. Ngoja Kondeboy aanze kufanya na colabo. Tena aanze na Peter wa PSquire ambaye ni mtuhumiwa kwa Bwana Naseeb.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…