Huo Mkwanja amewekeza wapi? Hivi zile Karanga ziliishiwa wapi? Nimezisahau jina. Offcourse alikiri kuna mtu alitumia jina so atakuwa analipwa ila sasa sijaona machinga wakikimbizana nazo tena.Cha muhhimu ni kumiliki mkwanja kama wa chibu basi nyingine mbwembwe
Diamond kaja kawakuta wakina afande sele wanaisifia gari ya kuhongwa ya mil 8 leo hii ana zaidi ya billion 11
Waja wameshaenda kwenye youtube channel ya Naira baada ya nyimbo ya diamond kutokaSoapy - Naira Marley
Pembe la ng'ombe halifichiki mkuuSir sikiliza vizuri hizo ngoma kati ya Soapy na Baba lao ni ngoma mbili tofautii.
Tatizo letu ni kwamba wewe umesema inafanana na Soapy mimi nitabeba kama lilivyo nitapeleka nakokujua nitakao wapelekea kama nao ni mazuzu hawatasikiliza hizi ngoma watabeba na kuwalisha wengine pumba.
Sikiliza hizo ngoma
hizi ni zile nyimbo za comedy,ambazo huwaga zina hit vibaya mno,nikuulize swali ule wimbo wa plakata rhumba unajua kilichoimbwa mule ndani? nadhan hata utakua ni shahid jins ulivyosumbua ule wimbo.Baba lao nyimbo mbovu, kijana kolabo ndizo zinambeba...
NB: nyimbo ya baba lao ameiga beats na jinsi ya kucheza kutoka kwa msanii wa nigeria anayeitwa naira marley.
Same o same o sht!!
Unazingua... Weka hizo ngoma hapa..Kwenye comment tuache story za kuponda au kusifia, wewe weka jina la mkali wako hapo kisha tutahesabu kura.
Unaandika mara moja tu kuliko kurudia rudia.
Kura yangu ni kwa: Harmonize - Uno
Mtoe diamond umeuweke rayvanny,diamond ni level nyingine ndo baba laaaaooh
Ulichoulizwa na ulichojibu ni vitu vitatu tofauti...BTW nani alilwambia huyo mwingine hapandi wanawakee? Acha chuki uende mbinguni mkuuUNO ndiyo habari ya Mujini na Vijinini!!!! Mimi siyo Shabiki wa mambo ya Muziki lakini kwa dharau la huyu Diamond na kukosa heshima kijamii kila siku kupanda wanawake na kuwatelekeza basi Konde Boy ndiye mwenye sifa zote kwa nidhamu na kazi nzuri, Na nina Imani kubwa sana kuwa Konde Boy atafika mbali mno kimziki na kimaisha na kwa mfano mwema katika jamii. Keep it up Konde Boy, the Harmonize
BASHITE baba lao la uzuzu na umbumbumbuHio ni nyimbo au kaswida??
Kweli Mond kaanza kupoteza mwelekeo ,,hadi bashite ati nae baba lao
B 11?? Ndio hata top ten ya wasanii tajiri Africa asiwepo?Cha muhhimu ni kumiliki mkwanja kama wa chibu basi nyingine mbwembwe
Diamond kaja kawakuta wakina afande sele wanaisifia gari ya kuhongwa ya mil 8 leo hii ana zaidi ya billion 11