Joa Andrea
New Member
- Dec 15, 2019
- 4
- 3
Watch your language brother. Hawa ni dada zetu. Remember respecting others equate respecting yourself...life is very simple and ease. Dont make it difficult for absolutely no reason at all.
labda kwa mwanaume ila sio mwanamkeWatu hawajui tu life begins at 30 plus
😂😂😂😂😂😂😂😂😂hatari na nusu
😃😃😃KabisaHili swali hajawahi kuulizwa tangu mwaka uanze.
I know, you know, I'm Mr. Right for you baby.😘😘😘😘Nakuhamu ujue jamani
Am blessed to have you dearI know, you know, I'm Mr. Right for you baby.
Evening lady...!

Well and I hope your weekend is going good princess.😘😘😘Am blessed to have you dear
Evening my dear!
Mkuu hebu acha kusimanga watu. Sio kila mtu anapenda kuoa under 30 kuna wengne wanapenda over30 kwakuwa wanajielewa na wamepitia kila aina ya starehe na changamoto zote.Ni kama mkulima wa mbaazi kwenda na ndoano shambani kuvuna samaki sato. Yani kuna vitu vigumu kuliko hata kuchemsha maharage kwa mwanga wa jua.
Truth be said, for it shall set you free na pia tukumbuke dawa chungu ndo inaponya ugonjwa. Yani uwe na miaka zaidi ya 30 afu "am looking for mr right" ??!! Ulikua wapi mda wote au ndo ulikua bado unajimwambafai na kadegree kako umekongoroka sasa "am looking for mr bla bla bla"
Ukweli mchungu, HAUTAMPATA ! Jiandae kisaikolojia. Mosi "mr right" kama jina lake lilivyo ni right anahitaji mwanamke mbichi (fertile, young and beautiful) vitu ambavyo wewe shangazi yetu huna hata kimoja.
Shangazi utavuna ulichopanda jeuri, kiburi, ujuaji na ufeminism wako kuolewa kwako chance ni 0.01% na atakae kuoa ni mwanaume wa ovyo ovyo tu no high value man will go for an old, infertile ugly thing like you. HATA kama ni wewe imagine una hela ya kutosha utaenda kununua gari used mbovu au mpya ?!!
Yani miaka 5 mbele wewe ni mti usizaa matunda a.k.a bua, ok haujanielewa a.k.a makapi menopause hii hapa afu mwanaume mwenye akili nafasi ushawishi na rasilimali akufuate wewe. Wanawake mjifunze kua mda wenu wa kua na soko ni mchache sana sasa ufeminism na viburi either vya kisomo au 50 kwa 50 ngangari mtakula jeuri yenu.
Ushauri wangu 30 plus unmarried pokea kwa mikono miwili chochote ilimradi kinapumua hicho ndo halali yako. Ebu kua serious, yani high value man akuoe wewe wakati there tons of young, beautful girls full of life out there then that will be the stupidiest "mr bla bla bla".
Hiyo story ya mwenzako iga sasa wewe ndipo utajua kuwa ulikuwa haujui kuwa hujui.......Mwenzangu, Sinach ameolewa akiwa na 39 yrs, kapata mtoto Wa kwanza mwaka huu Alisa na 45 yrs. Halafu kuwa single kuna ndoa kuvunjika, kufiwa nk, lakini yote yanaonekana ni matatizo ya wanawake, mfyuúu!
Aiseeeeee
Punguza masimango
Duuh.. kumbe kichwa cha uzi kina mislead!!!Ni kama mkulima wa mbaazi kwenda na ndoano shambani kuvuna samaki sato. Yani kuna vitu vigumu kuliko hata kuchemsha maharage kwa mwanga wa jua.